https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp
"Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) ulianza na Wanachama (wajumbe) 15 kupitia makundi ya WhatsApp. Tulianzisha NETO kwasababu ya...
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana...
Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli...
Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil zamani sasa Lake Energies, inafukuza wafanyakazi wake kiholela bila kufuata sheria za kazi.
Mtumishi anaondolewa kazini bila kupewa barua yoyote ile wala kulipwa...
Sekretariet ya utumishi wa umma(PSRS) hawapokei simu.
Yaani sioni umuhimu wa wao kuweka namba za simu kama mtu unaweza kupiga kwa dakika 30 na haipokelewi.
Pia mfumo haukubali mabadiliko, mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.