Habari Wadai,
Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu...
Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu...
Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi.
Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda...
Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC
Miaka kumi imepita leo naulizwa...
Imekuwa kawaida Mtumishi kusema ''nina mwaka 2,3 ,4 nk, nahangaikia swala la uhamisho na ugumu upo katika Ofisi za halmashauri hawataki kuruhusu mtu kuhama'', Mtu unaweza jaza kwenye mfumo (ess...
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba kuna changamoto ya ufatiliaji na ulipaji wa stahiki za watumishi hasa Fedha za likizo na malimbikizo ya mishahara.
Ukifatilia kwa maafisa utumishi wanakuambia jaza...
Kumekuwa na tatizo la wakurugenzi na wakuu wa idara Mkoa wa Morogoro hasa Manispaa ya Morogoro kuwazungusha Watumishi hela zao za nauli wakati wa kwenda likizo.
Hili ni tatizo limekuwa...
Nilifanya kazi katika Kampuni ya Erolink Limited kwa takriban miaka mitatu lakini nikiwa hapo moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona na nimeona bado ipo ni Muajiri kutowajibika katika kulipa...
Sisi Watumishi wapya wa Sekta ya Afya katika Halmashauri ya Jiji - Dar es Salaam tunafanya kazi katika mazingira magumu mno.
Tangu tuajiriwe mwanzoni mwa mwezi Novemba 2024, kuna baadhi yetu...
Habari,
Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi...
Kumekuwepo na changamoto kwa wahitimu kukataliwa kutuma maombi ya ajira kwa kupitia ajira portal.
Swali je wahitimu hawa wametelekezwa katika ajira au hawana vigezo, tumaomba ufafanuzi kutoka...
Vijana wameenda kwenye Mahakama za Kanda wamefanya usaili, wengine wamesafiri kwa kutoa nauli zaidi ya shilingi elfu 30 kwenda tu. Kuna wengine walifikia lodge na wengine kwa ndugu. Baada ya...
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka jana 2023 watumishi wamekuwa na kilio kisicho na mtu wa kunyamazisha, kwa maana hakuna mtumishi aliyeomba uhamisho na akapata kibali...
Wilaya ya kisarawe, hivi karibuni kumefanyika uhamisho wa baadhi ya watumishi kwenda vituo tofauti vya kazi, uhamisho huo umefanyika bila malipo ya stahiki ambazo watumishi wanatakiwa kupatiwa ili...
Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers...
Habari,
Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama...
Serikali tunaomba itusaidie MUHAS!
Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana...
OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti...
Habari za Asubui wana JF,
Naomba kuleta mada kwenu kuhusu haya mashirika ya kigeni yanayojiita ya kusaidia binadamu (humanitarian) au kujiita mashirika ya kimataifa yasiokuwa ya kiserikali...
Walimu wakifuatilia kwa maafisa wa idara ya Elimu wanaambiwa hela zipo tutawaingizia kwenye akaunti lakini mpaka sasa ukimya umetawala na hatima ya malipo hayo haijulikani.
Hali hii imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.