hey
najua kuna makabila yanafaidi hii nchi, kama shemeji zangu wa KIBOROLONI, NA BIHARAMULO.......
sasa na mimi MMAKONDE wa NEWALA nataka kazi hiyo ya UAFSA PESA.. wa mangi....
mfano...
Kwa wasiofahamu, Paprika ni zao kama pili pili isiyokali. Tafadhali kwa walioko Dar, fanyeni mini-survey pale kariakoo kuuliza kwa wahindi na wapemba. Mwaka jana walitafuta sana lakini wakakosa...
Wakubwa kwa wadogo hebu nisaidieni, kwa nini inapofika mwajiriwa anadai haki yake huwa inakuwa ngumu sana kwa mwajiri kukubali kulipa madai ya mwajiriwa ata kama ni haki yake???
Hebu naombeni...
Wadau zile nafasi walizo tangaza precision air kama: cabin crew na deadline ilikuwa tarehe 30 APRIL 2012,vp wameshaita watu kwa ajili ya interview? Msaada tafadhali
Habari wakuu.
Sikujua hii post niweke wapi. Kama mtaona humu nimekosea...mezea!
Nina swali la muhimu sana kwangu litakalo nisaidia kufanya maamuzi magumu.
Ni vipi upatikanaji wa part time jobs...
Natafuta kazi (IT TECHNICIAN)
Mimi ni Kijana wa Kitanzania natafuta kazi kama IT Technician.
Nipo very simple and easy to learn hata kwenye Hard working Environments namudu vizuri
Mshahara siyo...
We are a fast growing player in the Construction and Engineering sector and we are seeking to fill the position of Finance Manager.
Reporting to the Chief Executive Officer, the job holder will...
Nation Media Group is the largest independent media house in East and Central Africa with operations in print, broadcast and digital media.
It attracts and serves unparalleled audiences in...
Purpose: To provide HR and Administrative support to the RedR, Nairobi office
Responsible to: Programme Support Manager
Location: Nairobi, Kenya
Position type: Full-time position open to...
Start Date: ASAP
Location: Nairobi
Innovations for Poverty Action (IPA) Kenya is a branch office of an international nonprofit research organization directed by leading development...
Background / General description
The Bank's Africa Region is committed to working with client governments, the private sector and civil society in Africa, as well as its development partners, to...
Wadau,
Kuna ndugu yangu anatafuta kazi ya udreva wa kuendesha gari ya mtu binafsi,kampuni,serikali,gari ndogo au kubwa.
Ana leseni ya udreva, cheti cha VETA, na uzoefu wa miaka 2.
Mwenye...
jamani wana jukwaa na wakaribisha katika mkutano wa injili katika viwanja vya biafra ,pamoja na mafundisho yanayotolewa pia
watumishi wa MUNGU wanaombea vijana tupate ajira na tujitegemee ,mimi...
Wanajamvi wengi wetu tunaotafuta kazi siku ya interview hasa hasa oral ndio siku ya red carpet... Unapiga pamba unayoiaminia yaani unavunja kabati kwa kiswahili cha mtaaa... Suti, tai, saloon kwa...
maana hiyo competition balaa, kazi elf 2 tu bt waombaj zaid ya milion 2..alafu vijitu vikawa vinasema eti tukikosa tukaoge baharini..MUNGU NIBARIKI MIMI, BARIKI WAOMBAJI WENGINE, MUNGU BARIKI...
Kulikuwa na Bandiko hapa la kazi mgodini Songea,sasa kwa baadhi ya watu walioomba wameambiwa shortlist inaandaliwa na vigezo vya kuingia kwenye shortlist inahitajika utume Tsh Laki 6 (600,000)...