Hey Guys, tatizo ambalo pia naliona wazi kwa wengi wenu ni namna ya kuandika cv yako ili imvutie mwajiri na pia kushindana katika soko. Hata kama CV yako ni ya page moja hasa kwa wale fresh lakini...
The Kroc Institute offers students who are accepted into the master's program a full scholarship and a stipend for housing and living expenses for two years.
Click here for more details: Master's...
Hello wazalendo wa nchi yetu nimetoka TCAA kuulizia kama waeshaita watu. Wamesema wameita walioomba nafasi za Ma-director tuu na wanafanya interview kesho wengine mpaka january.
wakubwa habari zenu! jamani hivi hizi kazi za kwenye magazeti huwa wanaita watu kwenye interview au hata kuwapatia watu kazi? mwenzenu mie ni graduate yani nimetuma barua za kazi zisizopungu 70...
Wale wadau waliofanya interview tarehe 11 na 12 July kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya Ajira za utumishi wa umma, majibu yametoka na wajionee wenyewe hapa au kama una ndugu yako...
EWURA EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is a world class
regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of...
Ajira za walimu huenda zikatoka January. Habari ya kusikitisha ni kwamba walimu watakaoajiriwa ni wachache hasa wa Sayansi. Serikali haitaki kukiri haina pesa, ila ukweli ni kwamba kama umekaa...
Habari wakuu!,mi ni graduate-2011 na nimekuwa nikifuatilia matangazo ya kazi hapa JF na kutuma application zangu, nimeitwa kwenye interview 5 na sasa nimeitwa kufanya kazi kwenye kampuni 3...
Two(2) cashiers are needed to work in Pizza Restaurant in Dar es salaam.
Qualifications:
1. At least 6 months experience working as cashier/front office
2. Education: At least form four...
kuna nafasi za kazi zinatangazwa kwenye magazeti ya michezo na udaku kama risasi, mwanasport, dimba na mengineyo. qualifications zao zinakuwa form 4, 6 na vyuo. vipi zinamaslahi au zimekaaje...
habari wana jf......mm msaka ajira nilibahatika kwa mara ya kwanza baada ya kukaa miaka miwili home after graduu. kuitwa kwenye usaili bima ya afya na post ilikuwa "temporary employment" na pepa...
Wadau mimi nimeajiriwa kama mwalim ktk chuo kikuu flan hapa tz. Nina miaka mi4 kazini. Kwa sasa nimechoka kuwatumikia hawa mabwana kwa hiyo naomba mnipe taratibu za kufuata ktk kuacha kazi...
VACANCY
POSITION: QULIEFIED REGISTERED ENGINEER, HIGHLY EXPERIENCED IN ELECTRICAL INSTALLATION IN BUILDINGS. (MORE THAN 5YEARS)
WORK PLACE: ARUSHA
COMPANY: ENERGY SERVICES LTD (ESL)
SALARY ...
Wana jf naomba kama anaefahamu zinapopatikana car seat covers za ngozi halisi anijuze,maeneo ya kariakoo na mnazi mmoja sijaziona gari langu ni aina toyota premio.nawasilisha.
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Nafasi: Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi ( Community Development Assistant ) CDA. Sifa za mwombaji i. Msichana au Mvulana mwenye umri...