AccessBank Tanzania is a full commercial bank providing micro, small and medium-sized enterprises (MSMEs) with a broad range of appropriate financial services. Established in 2007, the bank is...
Kwa muda mrefu nimekuwa na hamu ya kufanya kazi katika mojawapo ya ofisi ya TAKUKURU au Kamisheni ya Maadili ya Viongozi. je nitumie njia ipi nipate nafasi huko? Kazi ninayotaka iwe ya mkataba...
About the Company:
Sao Hill Industries is fully owned by Green Resources AS of Norway (Green Resources | Carbon Offset | African forestry), which has projects in Tanzania, Mozambique and Uganda...
Qualifications ZANGU.
1. Bachelor in computer science/ information systems
2. Data bases ( oracle, my sql, postgress, with good knowledge of sql server).
3. Programing ( java, jsp, j2ee, c/c++...
Mwenzenu nimekumbwa na masahibu ambayo najua wengi pia wamepitia sema tunatofautiana uvumilivu na kuhandle stress.
Napiga mzigo kwenye kampuni binafsi bosi mpya wa sasa nae pia mwajiriwa kama...
Kama mwajili wako anakupa pesa ndogo na wewe unaendelea kukaa hapo wewe ni **********
Imetangazwa kazi,ukaapply ukaitwa kwenye interview ukapewa pesa ndogo na wewe ukajua ni ndogo basi wewe ni...
Tunahitaji walimu wa kufundisha lugha za kimataifa (isipokuwa Kiingereza) kwenye darasa la lugha hapa Arusha. Ikiwa una uzoefu wasiliana nasi kupitia JF au tupigie simu 0786817145. Tunahitaji hasa...
Nimesikia The Guardian la Tarehe 20, mwezi huu lilikuwa na matangazo ya kazi za kumwaga.
Naomba mwanaJF aliye na kipande hicho aturushie hapa tuanze kutuma maombi kwa wahusika.
Natanguliza shukrani.
Natafuta kazi, nimesomea Maendeleo ya jamii jinsia na watoto, hivyo nina Diploma ya Community Development, Gender and children. Pia nina certificate ya computer katika program publishe,M/S word...
wadau nisaidieni wapi nipatekazi za kilimo baada ya kuhitimu shahada ya kilimo. Ninasoma mwaka wamwisho katika chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA) ninahitimu mwezi agost 2011.
Nafasi zifuatazo zinahitaji kujazwa:
One of our clients, a water wells drilling company, has the following vacancies to be filled:
1) Operations Supervisor
Expected Duties:
Below are...
VACANCY ANNOUNCEMENTS
PPF is a social security institution established by Act of Parliament No.14 of
1978. The Act was further amended in subsequent years to reflect and
accommodate...
Ndugu wananchi wa JF! kajana wenu mpendwa ninatarajia kwenda kufanya interview kwenye kampuni moja ya simu ofcoz customercare position xaxaa naombeni msaada wa maswali i mean samples kama kuna mtu...