MASHAURI KUMI (10) JUU YA UTAWALA BORA TANZANIA
Nawasalimu kwa Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwangu mimi uzalendo sio kuvaa bendera, bali ni kufanya mambo anuai kwa ajili ya...
DEVELOPMENT BY PEOPLE
With stiv
Economic development is a complex puzzle, it need three dimensional approach involving every tool and resources you have, not only by just construction of roads...
Ukweli uko wazi sasa na sio swala la siri tena. Maisha yetu yanategemea asilimia 30 akili ya darasani na asilimia 70 juhudi zetu na akili zetu za kuzaliwa. Nikiwa kama mwanafunzi wa elimu ya juu...
Saratani ya matiti hutokea zaidi kwa wanawake, ingawa WANAUME pia wanaweza kuipata. Watu wengi hawafahamu kama wanaume pia wanayo matiti hivyo wanaweza kupata saratani ya matiti (American Cancer...
KUA UYAONE.
Nilizanini majengo, marefu yalopangana
Nikahisi na viungo, vinono vilivyonona
Hivi nilimeza tango, na ya leo sio jana
Kumbe kua uyaone, fumbo lisilo kikomo.
Nilibuni ni kisomo...
Jitihada za kupunguza matatizo na vifo kwa mama wajawazito ni kipaumbele dunianii kote, jitihada hizi zinatiliwa mkazo Zaidi kwenye nchi zinzoendelea kama Tanzania. Mwaka 2015 shirika la afya...
THE NEW ERA OF CLIMATIC WAR
It's the war of every specie.
Non of them worthy survival unless they win this war.
The beauty of the world is currently buried in our own hands actions. Human...
Being a pharmaceutical science students made me curious about many things right after I was admitted in St Francis University. One day in 2018, a pharmaceutical student association leader stood...
Ilikuwa joto na kelele Ijumaa alasiri huko Mwanza Mjini, biashara kama kawaida katika Duka la Vifaa linalomilikiwa na Mzee Kitalu, anayejulikana pia kama Baba Jafari, ambaye alikuwa kwenye...
Je umewahi kujiuliza ni kwa nini watu waliofanikiwa kwenye maisha ni wachache kuliko ambao hawajafanikiwa? Kwa nini idadi ya wanafunzi wanaofika chuo kikuu ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao...
Kama ilivyo ada Leo nakuja na hizi tafakuri alafu ujitafakari...watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji sana.
Hahaha kuna jamaaa nilikutana nae analalamika...
Kilimo ni uti wa mgongo katika nchi nyingi za dunia ya tatu, kwa bahati mbaya sana serekali za nchi zetu hazijaweka mikakati juu ya uwezeshaji wananchi wake katika swala zima la kilimo. Katika...
Kwa mana rahisi tunaweza kufasili duka la mtandaoni kuwa ni jukwaa maalumu kwaajili ya kuuzia bidha au huduma mtandaoni. Mfano wa maduka ya mtandaoni ni Amazon, Ebay, Jumia market, na Kikuu...
Mara nyingi tukiwa tunatizamia kufanya biashara fulani ama jambo fulani, huwa tukijikuta tunakwama kwenye situations ambazo ama pengine tunafikiri hatuko vizuri bado, nimekwama sina mtaji, pengine...
Naam, tuanze kwa kupeana shule kidogo. Kuna aina mbili za maisha. Maisha ya hadithi na maisha halisi. Maisha ya hadithi ndio yale uliyoambiwa na wale kipindi uko chuo wanapokuelezea jinsi kilimo...
TAFAKARI NAMI KATIKA MAKALA HII
Kumekuwa na kelele nyingi zinazohusu usawa wa kijinsia, kauli mbiu ikiwa ''Hamsini kwa Hamsini ifikapo 2025''. Kumekuwa na nadharia kuwa wanaume wamekuwa...
UKIMWI sio neno geni kwa watu wengi Tanzania. Watu wengi wameufahamu ugonjwa huu kutoka mashuleni, kwa ndugu au jamii kiujumla. Hali hii imefanya hofu juu ya ugonjwa wa UKIMWI kupungua kwa kiasi...
Despite the fact that statistics shows the rate of youth unemployment in Tanzania has declined during the past five years, the numbers of youth who are unemployed in streets are continuing to...
Usafi ni kitendo cha kuondoa uchafu,vumbi na vitu visivyohitajika tena ilikuweka mazingira katika hali ya usafi na kujikinga na bacteria hatari na vijidudu .
Uchafu ni mkusanyiko wavitu...
The brain is anatomically located inside the skull and physiologically responsible to control almost every metabolic activity in the body for the person to be alive and healthy. The brain in...