"Mapinduzi yanaletwa na watu, watu wanaofikiri kama watu wa vitendo na kutenda kama watu wenye fikra” aliwahi kusema Rais wa Ghana Nkwame Nkuruma wakati wa uhai wake.
Maendeleo Teknolojia ya...
Maendeleo ya jamii hutokana na jamii kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi kutokana na demokrasia imara pamoja na utawala bora ambao utaongozwa na...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima.
Andiko hili litalenga zaidi uhusianishaji wa teknolojia katika kusaidia Maisha ya...
LUCAS MESHACK
Hivi karibuni serikali kupitia Bunge lilipitisha sheria ya tozo katika mihamala ya simu kwa njia ya simu. Sheria hiyo ilitokana na mapendekezo ya Bajeti ya Serikali 2021/22 pamoja...
Sote tunakubali uwiano usio na usawa wa kiuchumi kwa maana ya wingi wa wasionacho na uchache wa walionacho unaopelekea baadhi ya mambo ama tabia zetu na hata mahusiano yetu kuathirika kwa namna...
DUNIA NI YA NANI?
Dunia ni yenu (vijana), pia ni yetu (wazee), lakini katika uchambuzi wa mwisho, ni yenu. Nyinyi vijana, mkiwa mmejaa hamasa na nguvu, maisha yenu ndio kwanza yanachanua, ni...
Kabla ya yote ninataka ujifikirie kama mwimbaji anayependa kucheza, ukifanya mazoezi katika chumba chako cha kulala maneno mapya ambayo yalikutokea jana usiku…
AU kama mjasiriamali anayefanya...
Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima.
Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato...
Kwanini plastic welding?
1. Ni shughuli ya mtaji mdogo
2. Watu wengi hawaijui, hivyo utakuwa unique
3. Watu wengi wamekuwa wakitoa vyombo vyao vya plastics vilivyoharibika kwa watu wa screppers...
Leo jumatano ya tarehe 15 Septemba 2021 mwili wa Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Zacharia Hans Poppe utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele mjini Iringa mahali ambako...
Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo ikiwa ni pamoja na kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. Amejaliwa uwezo wa kubadili changamoto yoyote iliyo...
Unajua nini kuna mitandao ya kijamii ukiifuatilia utacheka sana wakati mwingine inasikitisha kwasababu waandishi hawana tena uweledi yaani hawaandiki tena uhalisia wa maisha wanaandika kile bosi...
Regardless of the diverse in cultures and ideologies spread throughout all of humanity, one thing is certain; we all fantasize of becoming prosperous. If you haven't yet subscribe to this fantasy...
How can Africa’s Young Entrepreneurs and Innovators make the AfCFTA’Magic Happen?
The African Continental Free Trade Area Agreements (AfCFTA) It is a plan signed On March 21, African Nations...
Nchi nyingi za kiafrika huwa zinapokea mikopo na misaada kutoka nje ya afrika, ila mikopo hii na misaada inaonekana kuto wanufaisha waafrika kiujumla ila zaidi inawaweka katika mzigo Wa madeni na...
Habari wanajamiiforum, Namshukuru Mungu na natanguliza shukrani za dhati kwenu nyote maisha yangu yanaweza kuwa funzo kwenu vijana mliokosa ajira baada ya kumaliza Chuo.
Mimi ni kijana...
Habari, hi ni stori ya kweli inayo nihusu Mimi mwenyewe.
Nimeguswa kushea na wanajamii Forums, ili kuwatia moyo vijana na watu wengine ambao wanapambana kutoka kimaisha.
Kama Mtanzania wa...
Huwa ni kawaida kuona vitu vinabadilika kutokana na mabadiliko mbalimbali.
Mfano, mavazi, kutoka kwenye makuti au maganda ya mimea kwenda kwenye kuvaa nguo, jinsi ya ufanyaji kazi, kutoka...
UTANGULIZI
Takwimu za soko la ajira kwa mwaka 2018,Zinaonesha kuwa Vijana 800,000 huingia kwenye soko la ajira kila mwaka nchini Tanzania,lakini ni asilimia 10 tu ndio hufanikiwa kuajiriwa.
Zipo...