Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

1 Vote
Nina mashaka juu ya haya ambayo sisi binaadamu tunavyozidi kukua,kubadilika,kughadhabika na utu pia kututoka. UBINAAMU Tunaishi katika hali ambazo jamii ndio tunayo-iogopa zaidi kuliko hali zetu...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Upvote 1
70 Votes
Kuna vitu ni vigumu kuvisahau kwenye maisha yangu, vipo vyenye kufurahisha na vile vyenye kuleta maumivu moyoni mwetu. Jambo la kushukuru ni namna Mungu ameweka kitu kusahau ili maisha yaendelee...
35 Reactions
122 Replies
9K Views
Upvote 70
4 Votes
SITAKI UMASIKINI, NI ZAMU YA MABADILIKO. Habari wana Jamii Forum katika jukwaa la story of change. Andiko hili limelenga kuonesha nini tufanye ili kuondokana na umasikini wa aina zote hasa wa...
2 Reactions
1 Replies
694 Views
Upvote 4
1 Vote
Habari ndugu msomaji wa andiko langu la leo ijumaa 17 september 2021 litaangazia maendeleo yetu katika jamii na taifa kwa ujumla naomba ungana na Mimi tushere wote hizi pointi MAENDELEO NI...
1 Reactions
0 Replies
387 Views
Upvote 1
3 Votes
Kijana wa kidijitali anaamka asubuhi na mapema. Badala ya sala,kijana huyu anachukua simu yake na kuwasha data. Hapa ndipo ratiba ya kijana huyu inapoanza. [emoji3578]Anaingia Instagram. Hapa...
1 Reactions
10 Replies
983 Views
Upvote 3
3 Votes
Katika BIBLIA kuna maandiko kadhaa yanayoonesha ahadi za Mwenyezi Mungu kwa taifa la Israel pindi alipokuwa akiwatoa utumwani Misri. Ni ahadi ya kuwapeleka katika nchi ya maajabu, nchi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Upvote 3
1 Vote
Serikali Imewekeza sana kwenye miundombinu ya sekta ya elimu kwa miaka sasa, uwekezaji huo unaanzia Elimu ya msingi, sekondari za kata, vyuo vya ufundi na vyuo vikuu na kumekuwa na ongekezo kubwa...
1 Reactions
0 Replies
923 Views
Upvote 1
1 Vote
Utetezi,ni mchakato wa kupata msaada mkubwa kwa sababu fulani au sera fulani yaani kuwapa watoto wa mitaani sauti kwa kuwataka wawe na nguvu na ushawishi wachukue hatua ili waweze kujitetea na...
0 Reactions
2 Replies
599 Views
Upvote 1
1 Vote
Nini maana ya tatizo la nguvu za kiume? Hili ni tatizo linalohusisha hali tofauti kwa wanaume ambalo linaweza kuathiri njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume. - wanaume wengi wamekuwa wakipata hofu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
1 Vote
. ********* “Where’s your dad?” My friend Maria asked me with curiosity. It was a visiting day at our school “Well, I don’t have a dad” I turned and answered her without pressure, I was already...
0 Reactions
1 Replies
596 Views
Upvote 1
1 Vote
Habari zenu wanajamvi ni matumaini yangu wote ni wazima. moja kwa moja nianze kuelezea namna wananchi watakavyo fanikiwa kulivusha Tiafa letu kutoka katika uchumi huu wa kati. yafuatayo ni...
1 Reactions
0 Replies
445 Views
Upvote 1
1 Vote
Nawasalimu wanajukwaa wenzangu, salamu iende mbali zaidi kwa wewe kijana mwenzangu ambaye hapo ulipo sio muajiriwa, muajiri wala hujajiajiri.Salamu hii iwe chachu ya kuleta jibu juu nani anapaswa...
1 Reactions
0 Replies
545 Views
Upvote 1
14 Votes
1. Utangulizi Inawezekanaje tutumie vyuo vikuu kukabiliana na tatizo la ajira ikiwa wahitimu wa vyuo hivyo ndilo kundi linaloongoza kwa kusota mitaani bila ajira? Japo ni kweli kuwa tatizo la...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Upvote 14
2 Votes
Ndugu wazalendo wana JamiiForums hususani jukwaa la Stories of Change Kwa afya niliyonayo leo ninawaombea wote pia Mungu awaunganishe na Mimi katika andiko langu hili mkiwa na afya njema mungu...
2 Reactions
0 Replies
631 Views
Upvote 2
1 Vote
1. UTANGULIZI Awali ya yote naomba kuwashukuru Jamii Forums kuandaa hii story of changes kwa wale watakao shiriki kila mmoja atakuwa na mtazamo wake ivyo itawapelekea jamii forum kupata mawazo...
1 Reactions
3 Replies
525 Views
Upvote 1
1 Vote
ELIMU KUHUSU CHANJO KWA UJUMLA Habari za muda huu wana JF hususan wa jukwaa hili la “stories of Change”, Karibuni tushirikishane elimu kuhusu Chanjo zote zinazotolewa hapa nchini, iwe umewahi...
1 Reactions
0 Replies
967 Views
Upvote 1
3 Votes
Habari za muda huu, kifuatacho ni kisa cha kweli kuhusu madawa ya kulevya jinsi yalivyomtesa kijana Sulemani Gwakisa. === COCAINE/KOKENI...
1 Reactions
0 Replies
834 Views
Upvote 3
1 Vote
Tanzania bado ina safari ndefu ya kumwinua mkulima ili ajikwamue kutoka kwenye kilimo cha kujikimu kwenda kwenye kilimo cha kibiashara ambacho kitamwezesha kuwekeza kwenye sekta hiyo kikamilifu...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Upvote 1
2 Votes
Katika kitabu kitakatifu cha Biblia kuna simulizi maarufu ya safari ya wana wa Israeli kutoka uhamishoni Misri kuelekea katika nchi waliyoahidiwa na Mwenyezi Mungu. Nchi iliyokuwa na kila aina ya...
2 Reactions
0 Replies
536 Views
Upvote 2
1 Vote
Ukiondoa mchezo wa soka ambapo jambo kuu ninalojivunia ni kuishi katika zama moja na magwiji wawili wa soka duniani Muagentina Lionel Messi na Mreno Christiano Ronaldo, jambo jingine ninalojivunia...
1 Reactions
0 Replies
542 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom