Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

2 Votes
Utangulizi. Katiba ni sheria na kanuni zinazotungwa ili kuongoza nchi, shirika au taasisi fulani. Katiba ya nchi inatambulika kuwa sheria kuu na sheria mama na ndio msingi wa nchi. Katiba ni...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
Habari za wakati huu wapendwa natumai wote ni wazma wa afya na karibuni kujifunza juu ya mambo yanayoweza kumfanya kijana aweze kutambua uwezo/kipaji na ndoto yake na kufikia malengo yake. Kijana...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 2
1 Vote
Habari wakuu namshukuru Mwenyezi Mungu na natumaini mko salama. Napenda kujumuika nanyi katika ukurasa huu kwa kugusia suala zima la afya hasa nikilenga kwa zile taasisi binafsi au mtu mmoja...
1 Reactions
0 Replies
373 Views
Upvote 1
18 Votes
MAABARA NI NINI Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials)...
11 Reactions
8 Replies
4K Views
Upvote 18
2 Votes
SHAIRI KUHUSU UCHUMI WETU 1.La mgambo limelia, leo nataka wambia Mjini nimeingia, nataka wasimulia Kampeni kuwatia, ya kiuchumi sikia Rabi nijaalie njia, wapate kunisikia 2.Tumeipiga hatua...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 2
3 Votes
Kwa jamii yetu ya Sasa ni ngum Sana kumtambua mtu anayeishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi, au mgonjwa ukimwi kwa kumuangalia kwa macho ya kawaida bila kufanya vipimo vya kisayansi MAKUNDI...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Upvote 3
2 Votes
UTANGULIZI Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba...
2 Reactions
0 Replies
951 Views
Upvote 2
10 Votes
NDOA NI CHANZO CHA UMASKINI AFRICA Wa hali gani wapenzi wasomaji wa jukwaa hili la Hadithi za mabadiliko. Bila shaka ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya. Karibuni katika makala hii ambayo...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Upvote 10
1 Vote
Kuna watu wanatusimanga eti Tanzania ni nchi maskini, na watu wanaamini. Watu wanaishi mbali nje, na saa nyingine hawajawahi onana na wanaoitwa maskini wa Tanzania, lakini wanatusema. Wameweka...
1 Reactions
0 Replies
856 Views
Upvote 1
3 Votes
[CHANZO: Pinterest] Wasifu wa mhenga wa kigeni Kabla hawajazaliwa wazee wa wazee wetu, katika shamba moja mbali sana kutoka kijijini kwetu, alizaliwa mtoto. Kabla hujaweka maneno katika aya...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 3
2 Votes
Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!! Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii. Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
Tanzania imekuwa ikipitia changamoto nyingi sana toka mapinduzi ya kwanza ya viwanda kuanza. Tanzania amekuwa mtazamaji wa mapinduzi haya na sio mshiriki hasa katika nchi yake mwenyewe. Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
Utangulizi Uziwi ni hali ya upotevu wa usikivu. Hali hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile magonjwa,ajali,uziwi wa kuzaliwa nao,kuishi sehemu yenye baridi sana na uchafu wa masikio. Kwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 2
20 Votes
Utalii ni shughuli ya kibinadamu inayohusisha watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa shughuli mahsusi ikiwemo, mapumziko na starehe, biashara, mikutano au matukio mengine yeyote...
6 Reactions
16 Replies
4K Views
Upvote 20
8 Votes
Hii picha nimeitoa mtandaoni Ipo changamoto inayoonekana kwa sasa kukua kwa kasi sana na ambayo isipofanyiwa kazi mapema basi tutakuwa na watoto/vijana wengi wenye matatizo ya kifua. Kwa sasa...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Upvote 8
54 Votes
Vaa viatu vya mzazi/mlezi aliyejibana ili kijana wake apate elimu zaidi huku akiamini kabisa kuwa elimu ni daraja kuelekea mafaniko. Au mfikirie kijana aliyeamua kwa dhati kusoma kwa bidii ili tu...
23 Reactions
81 Replies
6K Views
Upvote 54
1 Vote
Nawasalimu kwa jina la JMT Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila...
1 Reactions
0 Replies
806 Views
Upvote 1
1 Vote
SUFFERINGS TANZANIANS FACE DUE TO IGNORANCE OF THE LAWS. Written by Joseph The latin maxim “ignorantia iuris nocet” which means Not knowing the law is harmful Tanzanians have been stagnant in...
1 Reactions
0 Replies
304 Views
Upvote 1
3 Votes
Sadoth H. Balilonda ( Mjasiliamali ) sadothhenry250@gmail.com +255756536474/+255676436474 Makala hii inatoa muamko ambao unalenga kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali za uchumi kupitia...
2 Reactions
13 Replies
841 Views
Upvote 3
6 Votes
Kwa muda mrefu sana watoto wetu wamekuwa ikiwalazimu kubeba mzigo mkubwa wa madaftari wakati wa kwenda shuleni. Na kwa watu wengi imeshachukuliwa kana kwamba ni hali ya kawaida kumuona wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 6
Back
Top Bottom