Mwishoni mwa miaka 1700's kuelekea mwanzoni mwa 1800 huko Uingereza kulikuwa na mapinduzi makubwa sana ya kilimo. Mapinduzi haya yalichochea kuongezeka kwa idadi ya watu kutokana na wingi wa...
Serikali zote Duniani ni lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya uhakika vya kuendeshea Serikali mapato hayo ni muhimu kwa sababu ndiyo yanayojenga barabara,yanayonunua silaha,yanayonunua madawa na...
Maisha ya ajira nchini yamekuwa magumu lakini tambua Dunia ni kijiji. Ukiwaza kufanya kazi popote Duniani Ni tofauti na mtu anayewaza kufanya kazi popote Tanzania. Wapo watu wamehitimu shahada ya...
Habari zenu wapendwa karibuni katika makala ii ambayo tunaangazia nini chanzo cha umaskini kwa wasomi wa afrika
Kabla sijaanza kuzizungumzia sababu ningependa kuwafamisha wasomaji kua...
Mkoa wa Mara una watu wenye kabila tofauti na nyingi ingawa matamshi yao kwa asilimia kubwa hurandana kwani huwa katika hali ya ukali.
Endapo kama wewe siyo mwenyeji wa Mkoa huo unaweza...
Karibuni tena wapendwa kujifunza tena kupitia JAMIIFORUMS. Na leo tutapata wakati mzuri wa kujifunza juu ya mambo ambayo baadhi ya wajasiriamali/wafanyabiashara wanayakosea na hivo kushindwa...
Jamii yenye ukamilifu wa huduma ni ile inayojitosheleza kupata huduma zote za msingi zinazohitajika Kila siku.
Bahati mbaya sana iliyopo ni kukosekana Kwa baadhi ya huduma za msingi katika jamii...
AKILI NA UBUNIFU NI MTAJI MKUBWA KULIKO FEDHA
Habari za muda huu wanajamii forum leo katika jukwaa hili la story of change nina mada ninayoiwasilisha kwenu naombeni muipokee na ikaweze kubadilisha...
Nawasalimu wana jamiiforums, haswa jukwaa hili pendwa la "stories of change" naimani nyote ni wazima.
Ujumbe huu unalenga kusaidia jamii yote hususani vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi...
Kwanza kabisa niseme asante kwa kuchukua muda wako kusoma thread hii ukimaliza unaweza weka maoni yako na ku vote ili niweze kushinda.
Afya yako ya leo hii ndio chanzo kikubwa cha wewe kufikia...
Mambo yatakayokuwepo miaka 50 Baadae.
Inasikitisha kufahamu ya kwamba mambo yatakayokuwepo miaka 50 ijayo ni matokeo ya yale yanayofanyika leo. Je ni mambo yapi yatakayokuwepo miaka 50 ijayo...
Habari wanaJF, Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya bsc in math and ICT kutoka chuo kikuu Cha Mzumbe Morogoro mwaka 2018.
Kipindi nipo chuo mtazamo wangu nilikuwa nawaza nisome nimalize chuo...
Kama tunataka kupambana na machinga tujifunze kupambana na ulanguzi wa bidhaa unaofanywa na wananchi kwa KUSHIRIKIANA na raia wa Kigeni. Serikali inaona machinga wa Kariakoo na maeneo mengine...
Eti Choo Jamani, Dah!
Moja ya kampeni kubwa kabisa kufanyika katika nchi hii ni “Nyumba Choo”, kampeni inayohamasisha ujenzi na utumiaji wa vyoo bora katika kaya zetu. Haina ubishi, ni suala...
Utangulizi
Nimetembelea Kariakoo Mara nyingi ninapopata fursa ya kufika Dar es salaam. Nimefanya tafiti kwanini bidhaa inayouzwa na machinga iwe nafuu kuliko bidhaa hiyohiyo eneo like inayouzwa...
Nimeamua kuandika kuhusu swala la uvuvi haramu hapa nchini hasa nikiangazia ziwa Victoria Kwa sababu nina uzoefu mzuri kwenye shughuli za uvuvi. Nitaanza kwa kueleza maana uvuvi haramu na hali ya...
ENCOURAGE SOLID WASTE MANAGEMENT TO THE COMMUNITY
Waste management is gradually becoming a serious concern in Tanzania due to limited sorting at source and improper storage, collection...
Utaratibu wowote duniani tunaoufuata binadamu katika kuhusiana, ni matokeo ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja katika kutafuta njia zitakazo rahisisha uwepo wetu katika maisha yetu hapa...
UTAWALA BORA NI KICHOCHEO MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI NA KUVUTIA UWEKEZAJI
Utangulizi.
Nianze Makala haya Kwa kutoa tafsiri/maana ya utawala Bora ambao naumaanisha katika makala yangu hii ya Leo...
Kwa muda nafikiria,fumbuzi sijapatia,
Madhila yanotukia,lini mwisho kufikia,
Huru yakatuachia,mazuri kuyafurahia,
Huwa nawaza ni nani,kumfunga paka kengele.
Kwa siku zinavyosonga,ni mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.