Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es...
Habarini wakuu.Maisha yana funzo kubwa sana,ukiwa na roho nyepesi waweza kukata tamaa.
Ilikuwa ni siku ya jumamosi asubuhi,mwezi wa kumi mwaka 2019,miezi miwili tangu nihitimu shahada yangu ya...
FURSA
Fursa ni mwanya, nafasi ama uwezekano wa kufanikisha jambo fulani (kwa minajili ya makala hii–tafsiri hii inatufaa).
Nikupe mfano:
Chukulia mmefungwa kwenye chumba, tuseme watu mia moja na...
Let me tell you something that will blow your mind, the other day on my way back home in the late evening I came across an old man who was selling watermelon. His price list reads 1 for TSh.3,000...
Nimezaliwa mwanzoni mwa miaka ya themanini katika hospitali ya Mwananyala iliyopo wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salam.Mimi ni mtoto wa kwanza na pekee wa kiume kwa mama mwenye watoto 3.
Baada...
UHURU WA KIFEDHA (FINANCIAL FREEDOM)
Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo.
Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato...
Kuna sehemu niliona pameandikwa kwa lugha ya kiingereza
“Start with mindset”
-Anza na fikra-
Fikra ni namna unavyochukulia jambo, au ni mawazo ya mtu juu ya jambo fulani maishani au juu ya maisha...
WanaJF salaam,
Naitwa Dayone, kitaaluma mimi ni mwalimu na karibu tujadili mfumo wa elimu yetu na jinsi elimu ilivyo na thamani kubwa kwa watoto wetu wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Nchi yetu...
Akichangia hoja ya Waziri Mkuu kwenye kikao cha 11 cha Bunge la 12 Spika wa Bunge Muheshimiwa Job Ndugai aliwasihi waheshimiwa wabunge kufikiria na kuchangia juu ya tatizo la kupungua kiwango cha...
In the 21st century change and development have been a target and a biggest priority in most of the developing nations especially in the African continent which led to bigger advancements in the...
NGURUMO NDANI YA MSITU MNENE
“Mgeni aje mwenyeji apone”,,, usemi huu maarufu uliotumiwa na kuturithisha kwa miaka mingi hakika tumekua na tumeishi nao. Mgeni alietujia ni mgeni aliyejaa...
Sina shaka hapo ulipo kuna watu wamekuzunguka kwa maana unahusiana nao kindugu,kiurafiki, ujirani wafanyakazi wenzio pia hata wafanyabiashara wenzako.Katika hao watu wanaokuzunguka wapo wenye...
Tanzania ni taifa lenye watu wa hali mbali mbali, wengi wao wakiwa ni wavuja jasho, walala hoi, kula kwao ni kwa mahangaiko, wanachokipata kwa siku huishia mdomoni mwao huku walio juu hawakumbuki...
Tanzania ni taifa lenye watu wa hali mbali mbali, wengi wao wakiwa ni wavuja jasho, walala hoi, kula kwao ni kwa mahangaiko, wanachokipata kwa siku huishia mdomoni mwao huku walio juu hawakumbuki...
Understanding the Power of Information a Key to Prosperous Life
Photo source: Internet
“The best serves the purpose”
IN this fast-moving world our absolute need isn’t money —as most people...
Here are the Keys for Unlocking and Releasing Your Potential
Photo source: Internet
As soon as we become adult, everybody’s preoccupied with absolute desire to...
Na JOVIN Geofrey
Ukimuona, hutaamini! Muonekano wake na anachokifanya vinastaajabisha, kuvutia na vinadhihirisha kuwa hakuna kinachoshindikana ukidhamiria. Ukimuona, utaamini kuwa hakuna mipaka...
Utangulizi.
Kumekua na malalamiko mengi pamoja na changamoto katika huduma ambazo zinatolewa kwe Taasisi na Mashirika ya serikali kama vile elimu duni katika shule za umma, matibabu duni na...
Navuta picha ya kijana wa kitanzania anayewakilisha vijana wengi wa kiafrika vijana waliokosa mbinu za kujikwamua kiuchumi, kijamii, vijana wasiojua ni nini wafanye kutoka hapo walipo kwenda...
Wasaidizi wa ndani wanahitajika duniani kote. Nchi za Magharibi zimeboresha mikataba na maslahi ya wafanya kazi wa ndani, matokeo yake ni wachache wenye uwezo wa kuajiri wafanya kazi hao. Hao...