Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

4 Votes
Moja kati ya vitu mahimu sana katika kuinua uchumi wa inchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 4
0 Votes
Utangulizi Kumekuwepo na utokeaji wa maafa mbalimbali kama vile moto, ajali n.k ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisababisha athari ambazo zinaathiri ustawi wa mtu mmoja mmoja na ustawi wa...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Upvote 0
0 Votes
Rushwa. Kila mmoja anapozungumza huona huonekana kama kitu kilichopo mbali sana naye. Mara nyingi inapozungumzwa rushwa inawahusu vigogo au watu walio na nyadhifa katika taasisi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
1 Vote
Moja kati ya vitu muhimu sana katika kuinua uchumi wa nchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 1
4 Votes
Mwanzo wa siku uanzia asubuhi na mapema ambapo jua uchomoza, Mpambanaji anaamka ndani ya familia yake tayari kuianza siku mpya yenye mipango na matalajio mengi. Ukiwa mwenye kiu na chachu ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 4
3 Votes
UTANGULIZI: Kwa muda mrefu kumekuwapo na wimbi la ombaomba katika miji na majiji nchini kwetu. Pamoja na serikali kuchukua hatua mara kadhaa kuwaondo ombaomba hawa lakini tatizo limekuwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 3
14 Votes
Shule za Upili za Ufundi Tanzania (Technical Secondary Schools in Tanzania) ni shule maalumu zilizoanzishwa kwa dhumuni la kuandaa wataalamu. Zilijidhatiti zaidi kuandaa vijana wenye umri mdogo...
7 Reactions
16 Replies
4K Views
Upvote 14
1 Vote
MAENDELEO BILA UMOJA NI UMASKINI Tanzania kama taifa tuliongoza harakati nyingi sana za kiukombozi hasa katika nchi nyingi zilizoko kusini mwa frika. Umaarufu wetu ulitokana na umoja wetu katika...
1 Reactions
2 Replies
636 Views
Upvote 1
4 Votes
Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Upvote 4
0 Votes
Miaka mitano iliyopita nilipata wazo la kugeuza taaluma yangu ya ualimu na passion ya usomaji, kujifunza na kufundisha kuwa ajira. Nikawa na mpango wa kufundisha Kwenye radio, TV, semina...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Upvote 0
2 Votes
Ukweli ni kwamba, ni jambo kubwa sana kutambua NYAKATI, ni muhimu kujua muda gani ufanye Nini? Uwe wapi? na hatima au matokeo ni Nini? Habari yako Mpenzi msomaji. Leo napenda kukuepusha na hatari...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
0 Votes
Elimu tuliyopata mashuleni imeshindwa kutusaidia kutatua changamoto zetu. Mfumo wetu wa elimu umetufanya tuwe ndio mzee Kwa Kila kitu. Na kutokana elimu hii tumeshindwa kujitetea hata pale tunapo...
0 Reactions
2 Replies
526 Views
Upvote 0
2 Votes
Na Smartdunia. Uongozi ni jambo kubwa na lenye umuhimu mno katika ngazi yoyote Ile ya jamii. Iwe ngazi ya familia,kitongoji,kijiji au,kata,tarafa na hata nchi,inahitaji kiongozi wa kufanya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
1 Vote
"Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake",msemo huu uliobeba maana,yamkini unatumiwa na waswahili kufikisha ujumbe kwa watu kua watu wanatakiwa kuishi kulingana na uwezo wao wa kimaisha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 1
0 Votes
AFYA Ni hali ya mtu kua mzima kimwili, kijamii na kiakili. Uzima wa mtu katika nyanja zote una mchango mkubwa juu ya mwenendo wa maisha na maamuzi ya mtu katika nyakati mbalimbali. Uzima wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
3 Votes
SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Upvote 3
8 Votes
“UKIWA Dar es Salaam wauzaji wa maduka ya mchele huwa wanajinadi kwa mbwembwe, ‘mchele safi kutoka mbeya’. Ukishafika Mbeya unakutana na wauzaji wa maduka ya mchele wakijinadi, ‘pata mchele safi...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Upvote 8
1 Vote
Natumaini mnaendelea vema na shughuli za ujenzi wa familia zenu Leo napenda kuongelea sababu zinazochangia kuua elimu katika nchi yetu ya TANZANIA Nitaongelea sababu hizo kutokana na uzoefu wangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 1
0 Votes
Kilimo cha kimkakati ni aina ya kilimo kinacholimwa kwa lengo la kuzalisha mazao yanayotosheleza mahitaji ya nchi na kubaki ziada. Kwa miaka mingi sasa kumekuwa na tatizo la upungufu wa mafuta ya...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Upvote 0
1 Vote
MUSTAKABALI WA ELIMU YA TANZANIA NA UHUSIANO WAKE KWENYE MASOMO YA UJASIRIAMALI. ELIMU YA MSINGI Tunapozungumzia Elimu ya msingi kwenye nchi kama Tanzania ni vizuri kujua umuhimu wa Kuhusisha...
1 Reactions
1 Replies
892 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom