Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

1 Vote
USTAWI WA JAMII ni sekta ambayo inadili na uangalizi na utoaji wa huduma stahiki kwa Makundi maalumu ya watu kama vile walemavu, wasiojiweza, wazee, watoto na familia Zisizojiweza, huduma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
4 Votes
Dunia inatangaziwa kutatokea mafuriko baada ya siku tano. Dalai Lama anawaambia waumini wa kibudha inatakiwa wafanye tahajudi (meditation) na wasubiri kuzaliwa upya (reincarnation). Papa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Upvote 4
2 Votes
VIJANA TUAMKENI MUDA HAUTUSUBIRI Habarini ndugu, jamaa na marafiki. Kwanza kabisa nitumie fursa hii kuwakumbusha Mafanikio yoyote ni Kuchukua hatua tuache kukaa nakuzungumza bila kuchukua hatua...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 2
3 Votes
Dunia inatangaziwa kutatokea mafuriko baada ya siku tano. Dalai Lama anawaambia waumini wa Kibudha inatakiwa wafanye tahajudi (meditation) na wasubiri kuzaliwa upya (reincarnation). Papa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 3
3 Votes
Mambo yamebadilika.dunia ya sasa inakabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana na sisi kama walezi au wazazi tunapaswa kuwa na mitazamo tofauti kwa watoto wetu juu ya ajira. Yafuatayo tunapaswa...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 3
1 Vote
MTOA MADA:- ##JURUDYIZA## Sheria hii kwetu Tanzania kama ilivyo kwa nchi baadhi za Afrika ililetwa na meli kutoka ulaya hasa kipindi cha muingereza miaka ya 1930 kabla hatujapata uhuru wetu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
3 Votes
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri na mapambano dhidi ya dawa za kulevya yaendelee!! Kutana na kijana Mtanzania Faraja, umri wake ni miaka 23, hakumaliza masomo yake kwenye chuo cha sanaa Bagamoyo...
1 Reactions
1 Replies
671 Views
Upvote 3
0 Votes
Viumbe vyote ulimwenguni vina asili inayofanana sana. Viumbe vyote vinahitaji kukua na vinahitaji uhuru katika ukuaji huo. Kwa binadamu pia kama sehemu ya viumbe wengine ukuaji ni jambo la...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Upvote 0
1 Vote
Katika jambo linalotafakarisha sana ni kitendo cha wananchi kuburuzwa na wanasiasa kwa namna wanayotaka. Wanasiasa huwaona wananchi kama watu wasiojitambua wala kujielewa hivyo wanaamini wanaweza...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Upvote 1
1 Vote
Naitwa Dickson Hynes natamani kusimulia safari yangu ya usomaji mpaka kufikia chuo kikuu. Nimezaliwa Tanzania mkoa wa Kagera halmashauri ya wilaya ya Bukoba tarafa Bugabo kata Kaagya. Nimesomea...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
8 Votes
Utangulizi Katika karne ya sasa, watu wengi wamekumbwa na misongo ya mawazo kutokana na hali tofauti tofauti wanazokutana nazo katika mahusiano. Baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 8
5 Votes
Mazingira ya biashara ni nini? Ni yale mambo yote ambayo yanaweza kuchochea biashara kukua au kudidimia katika muktadha tofauti tofauti...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Upvote 5
4 Votes
Nipende kuwasalimu ninyi nyote, habari za muda huu Tanzania ni kati ya nchi maskini duniani japo ina rasilimali muhimu na nyingi karibia kila mkoa. Je, tatizo linatokea wapi mpaka ongezeko la...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 4
0 Votes
“Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli, iwafae maishani.” Wahenga tutakuwa tunaukumbuka...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Upvote 0
3 Votes
Watoto wetu wa leo ndio taifa letu la kesho, Ikiwa tutawaandaa vyema tutatengeneza jamii na taifa bora pia lenye nguvu baadae na kufikia malengo kwa haraka zaidi . Tukitaka kufikia malengo na...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 3
3 Votes
Kiswahili ni lugha adhim inayotumika sana katika ukanda wa afrika ya mashaliki, Asili yake ni inchini Tanzania ambako ndiko kuna waswahili wenyewe hasa, Pamoja na juhudi za Kiswahili kama lugha...
2 Reactions
1 Replies
748 Views
Upvote 3
1 Vote
MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA MABASI YA MWENDO KASI Mabasi yaendayo haraka ni mradi uliobuniwa kurahisisha huduma za usafiri kwa wakazi wa majiji makubwa yenye msongamano...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Upvote 1
10 Votes
HIVI UNAJUA MAPENGO YA KINYWA CHA SANAA YANAWEZA KUZIBIKA KAMA TUKIAMUA? 'Licha ya jopo la madaktari kupambana Na changamoto za kinywa hiki, bado tatizo sugu la mapengo limeonekana kuwazidi...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Upvote 10
2 Votes
Kufanikiwa ni nini? Ni kutoka kwenye hatua moja ya chini ya kimaisha kwenda hatua inayofuata.Maranyingi watu wa mataifa yanayo endelea hasa yakipato cha chini au cha kati kiwango chao cha...
2 Reactions
0 Replies
901 Views
Upvote 2
8 Votes
Kila mara tumekuwa tukishuhudia na kusikia matukio ya ukatili na unyanyasaji wa watoto yakiongezeka na kuripotiwa nchini Tanzania. Kutokana na ongezeko hili, jitihada mbalimbali zimechekuliwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…