Baada ya kuhitimu masomo yake ya kidato cha sita mwaka 2013 katika shule ya sekondari ya wasichana Kilakala, Jojina alirudi nyumbani kwao Gairo. Jirani yao Mzee Mkude alikuwa amefungua duka la...
Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo fanya haya
1. MTANGULIZE MUNGU KATIKA MASOMO YAKO.
Hili ndio jambo kubwa katika mafinikio ya kielimu.Mungu ndio kila kitu,hakikisha unajenga tabia ya...
ELIMU BORA ITAKAYO FANYA MAPINDUZI YA KIUCHUMI TANZANIA.
Neno elimi lina dhana pana sana ki maana, wapo walio sema elimu ni dira, elimu ni ufunguo wa maisha n.k
Kwa maana hiyo basi elimu ni...
Watanzania tumekuwa na Changamoto kubwa sana kwenye swala la kuandaa Msimamizi wa Mali/Biashara pindi Mungu anapo tuita.
İmekuwa ni kawaida kuona baadhi ya Biashara zikifa ndani ya mwezi au mwaka...
Kuna eneo linaweza kutoa ajira, japo litahitaji mtaji mkubwa kidogo. Wangalau 50m itawezesha kuendesha huduma hii. Inafahamika kuna watu wengi wanaobanwa na kazi siku nzima kiasi kukosa muda, na...
Nipende kuwasalimu ninyi nyote, habari za muda huu! Niende kwenye mada moja kwa moja. Tanzania ni kati ya nchi maskini duniani japo ina rasilimali muhimu na nyingi karibia kila mkoa.
Je tatizo...
Rushwa ya ngono imekuwa janga kwenye nchi yetu kuanzia Shuleni, Vyuoni na Kazini.
Je tunafanya nini kudhibiti rushwa ya ngono na mahusiano?
I:SHULENI
Nafikiri kila sehemu janga hili...
Muda ni moja ya dhana muhimu ya kujadiliwa katika mtazamo wa Kiafrika juu ya maendeleo. Dhana ya Kiafrika ya muda inafunua njia kamili za maisha kati ya Waafrika katika kutazama hali halisi. Hii...
I’m kidding! But today I want to write to the professionals and the soon to be!
As you explore into the horizon of your career, remember no employer or organization has put it in their business...
DIRA YA TANZANIA YETU NA SUALA LA AJIRA KWA VIJANA WASOMI
Ndugu wana JF habari.
Kabla ya kuingia katika kiini cha habari hii nipende kutoa maana halisi ya maneno ya msingi yatakayotumika katika...
Down the memory lane did you ever play those child-playing marbles in your heydays? This game used to sharpen our geometry skills as we tried hard to position ourselves to a point where we would...
Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam?
Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na...
Habari zenu wapendwa.. Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya na mapambano yakiendelea kwa kila mtu na nafasi yake.
Leo napenda tuzungumzie umuhimu wa afya ya akili hasa katika mabadiliko...
Moja ya mambo yanayovunja ndoa za siku hizi ni ongezeko la wanandoa kutokuwa waaminifu. Usaliti unaumiza, Usaliti unaua, Usaliti ni moja ya majanga yasiyosemwa ndani ya jamii yetu yaliyomo kwenye...
WANAFUNZI WA VYUO VIKUU NA VIJANA TUWAZE KUJIAJIRI KULIKO KUAJIRIWA.
Habari za wakati huu Watanzania wenzangu.
Leo nimeamua kuja kuandika chapisho hili ili kuweza kuwafungua akili wanafunzi...
Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya...
Habari Vijana wa Tanzania, kokote mlipo Duniani! Nina furaha kubwa kupata fursa hii kuandika ujumbe huu kwenu. Hii ni kuhusu Elimu ya Juu na Maisha Halisi. Kama niwashaurivyo ninyi, nami pia...
Adhabu na vitendo vya ukatili katika elimu vinaathiri maendeleo ya watoto wa shule katika harakati za kujipatia elimu , vitendo hivyo vinapingana pia na sera ya elimu ya Tanzania ya mwaka 2014...
Kuna matukio mengi sana hutokea kwenye jamii na wanajamii huyachukulia poa. Na pengine baadhi ya hayo matukio umekuwa ukiyashuhudia kwa macho au umekuwa ukiyatenda kila kukicha pasi na kutambua...
Dunia ilipofikia hivi sasa kilimo cha kutegemea mvua ambazo kwa mwaka huja mara moja au mara mbili kimepitwa na wakati na kinaonekana kutokua na tija kwa jamii. Jambo ambalo limeilazimu jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.