Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

4 Votes
Uhali gani mwanafamilia wa JF Karibu katika makara maalumu leo naomba nikuelekeze katika Maendeleo ya kijamii na kwa kuanza makara hii naomba nitangulize shukurani kwa mda wako wewe msomaji...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Upvote 4
3 Votes
Ni ukweli usiopingika kuwa maji ni uhai, na ni dhahiri maji ni huduma isiyo na mbadala. Kwa mtazamo wangu iwapo maji yatafika kila sehemu ndani ya nchi hii, kila mtu atakuwa na uhakika wa kupata...
2 Reactions
1 Replies
421 Views
Upvote 3
3 Votes
UTANGULIZI TEHAMA au Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni mkusanyiko wa watu,vifaa vya kompyuta na mawasiliano,programu na data ambazo zinachakatwa na kutoa au kupata taarifa zinazo tumika...
1 Reactions
0 Replies
630 Views
Upvote 3
1 Vote
Tatizo la ajira limekuwa Tatizo kubwa Sana katika nchini mbalimbali za bara la Africa, Tatizo hili ni matokeo ya mfumo wa elimu tulionao katika nchi yetu ya jamuhuri ya muungano Tanzania. Tangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
4 Votes
Mada yangu itajikita zaidi kuonesha namna uhuru wa fikra na kusema unaweza kuwa ni chachu ya kuleta mapinduzi ya maendeleo ya kiuchumi kwa jamii, hususani ya watanzania. Hivo, natoa pia fursa kwa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 4
1 Vote
WANAFUNZI WAFUNDISHWE SANAA SHULENI. Sanaa ni ufundi au ujuzi ambao unatokana na fikra za mwanadamu na kuwasilisha kwa wengine. Sanaa imebaba matawi mbalimbali kama vile ushonaji, muziki, uhunzi...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Upvote 1
5 Votes
Kijana ambae umemaliza KIDATO Cha sita na hukufaulu kujiunga na elimu ya juu yaani chuo kikuu kutokana na kutokufikisha alama sitahiki kwa ajili ya kujiunga chuo kikuu zingatia haya yafuatayo...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 5
2 Votes
Awali ya yote ninamshukuru Mungu aliyetuweka hai mpaka sasa mimi na wewe tupo pamoja katika ukurasa wetu wa jamii. Mwanajamii, karibu tuangalie kwa pamoja kwa jinsi gani tunaweza kuchukua hatua...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Upvote 2
1 Vote
ALHAMISI ya Julai 15, 2021 inaweza kuwa moja ya siku yenye kumbukumbu ya kuchosha akili za mamilioni ya Watanzania, ambao simu imekuwa tegemeo lao la kufanya miamala ili kufanikisha shughuli...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
1 Vote
Kwa miaka mingi dunia ilipitia changamoto nyingi sana kwa baadhi ya jamii kuzitawala jamii nyingine au taifa moja kulitawala taifa jingine katika kila nyanja kuanzia siasa, uchumi, biashara na...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Upvote 1
2 Votes
Swala la elimu ni pana sana ni kweli kabisa. Pia tunaelewa kuwa mfumo huu wa elimu ndio umetufikisha hapa leo hii. Lakini Serikali kila siku inakubali kuwa teknolojia inazidi kukua,lakini bado kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
Sia ni binti ambaye wakati Fulani tuliwahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi,Japokuwa ndio kwanza tulikuwa tumetoka masomoni kwa kuhitimu kidato cha sita.Si jina lake halisi ,Lakini naamini...
1 Reactions
2 Replies
739 Views
Upvote 2
7 Votes
Tunayategemea mazingira, tunaishi ndani yake, hapana Shaka bila ya mazingira maisha yetu hayawezekaniki, pengine niseme, Sisi ni watoto wa mazingira, nayo ndiyo Mama yetu anayetulea Kwa kutupatia...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 7
2 Votes
Ni wazi kuwa kwa sasa kuna tatizo kubwa la ajira nchini. Ni jambo la kawaida kabisa Watu 1000 kugombea nafasi tano za kazi. Rejea Ajira za Elimu na Aya zilizotolewa na Tamisemi mwaka Huu 2021...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
1 Vote
KILIMO - BIASHARA Sekta ya kilimo ni sekta inayotegemewa sana katika kukuza uchumi na kuendeleza maisha ya watanzania walio wengi. Hata hivyo sekta hii imeendelea kutawaliwa na wakulima wadogo...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Upvote 1
5 Votes
Kwanza naomba niseme mimi sio mwanachama wa chama chochote lakini kama mtu huru ninao uwezo wa kuishauri serikali na Rais wetu njia bora ya kupata Katiba mpya Kuna watu watauliza je kwanini...
4 Reactions
7 Replies
720 Views
Upvote 5
1 Vote
Nawasalimu wana jukwaa,amani iwe nanyi! Kwanza kabisa naomba nimshukuru Mungu kwa kunijaalia uzima hadi ninapoandika andiko hili sina budi kusema Alhamndulilah! Bado kuna upungufu wa walimu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
6 Votes
Njia ya mafanikio ina changamoto nyingi sana. Changamoto ambazo anahitajika mpambanaji ajizatiti kwa ngao ya kutokata tamaa na ajikinge kwa silaha ya uvumilivu. Vikatisha tamaa katika maisha ni...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Upvote 6
1 Vote
Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote. Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Upvote 1
3 Votes
Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…