TAFAKURI TUNDUIZI TIBA YA MAENDELEO
UTANGULIZI
Umewahi kujiuliza kwanini watu hugombana katika mijadala? Kwanini kuna migogoro kati ya nchi na chi, mtu na mtu ama jamii na jamii? Kwanini baadhi...
Habari zenu wanafamilia wa JamiiForums? Ni imani yangu kuwa mu bukheri wa afya na mnaendelea kushiba chakula cha maandishi kinachopikwa asubuhi, mchana na jioni na waandishi chipukizi kwenye...
Masala sayi
08, August 2021
Chuo Kikuu cha Iringa.
Kila ifikapo tarehe 08, August ya kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima ambapo lengo kuu la sikukuu hiyo ni kuangalia mafanikio...
Asilimia kubwa ya vijana waliokuwa katika mifumo rasmi ya Elimu hutumia takribani muda wa zaidi ya Miaka 17 kutumikia katika ngazi tofauti tofauti za elimu zao lakini ndio kundi kubwa la watu...
Ukweli ni kwamba, mwanadamu ana mipaka ya uwezo katika utendaji wake; yani mwanadamu ana mapungufu katika namna moja ama nyingine, hivyo kushindwa kufanya mambo fulani kwa ukamilifu- hivyo hukosea...
WABABA: CHANGAMOTO ZA MALEZI YA WATOTO & SABABU ZA KUFA MAPEMA. JE, WAMAMA WANAHUSIKA?!!
Wanaume ee,
Mnajionaje na hali wapambanaji wenzangu?!! Poleni na hongereni kwa siku nyingine tena. Ni...
Maana halisi ya nguvu za kiume inaweza kuwa tofauti kulingana na mtazamo wa mtu na mtu. Nitajaribu kuelezea kuhusu matatatizo au tatizo la nguvu za kiume na kutoa suluhuhisho rahisi ambalo kila...
Habari wana JF,Kwanza Tumshukuru Mungu kwa neema ya uhai anayoendelea kutujalia hapa
Pili niwashukuru watendaji wa JF Kwa kutuletea changamoto hii, tatu niende moja kwa moja kwenye story...
Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye...
Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako
Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi...
1: UTANGULIZI
Nchi yetu imebahatika kuwa na ardhi nzuri yenye uwezo wa kustawisha mazao ya aina nyingi yakiwemo ya biashara na chakula. Mikoa kama Morogoro, Mbeya, Rukwa, Rumuma , Kilimanjaro...
Mauaji yanayohusisha wivu wa kimapenzi
Mauaji yanayohusisha Wivu wa kimapenzi ni jambo ambalo kwa Tanzania linaongezeka kwa Kasi katika mikoa yote ambapo lisipotafutiwa ufumbuzi litaweza...
Miaka 0-5; umri huu watoto wengi katika jamii zetu huwa bado wapo nyumbani wakijifunza kuongea, kunawa, kula, kutambaa, kutembea, kukimbia, kurukaruka, kucheza na mambo mengine mengi...
Habari zenu wanajukwaa. Natumaini ni wazima wa afya. Namshukuru Mungu kwa uzima aliotupa siku ya leo.
Mnamo Juni, 13 2021, Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alitoa wito kwa Benki Kuu (BOT)...
Lishe bora ni aina mbalimbali za michanganyiko ya vyakula ambavyo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu. Swala la lishe kwa watoto hasa katika nchi zinazoendelea limekuwa ni changamoto...
Katika hatua za mwanzo kabisa za Maisha ya mwanadamu hakukuwepo na kitu kinaitwa Pesa. Njia pekee ya kununua na kuuza ilikuwa ni kupitia mabadilishano. Unahitaji ngombe wangu unanipa gunia kadhaa...
Tanzania ni miongoni mwa nchi sita (6) zinazounda jumuiya ya Afrika Mashariki yenye nchi za Uganda, Kenya, Rwanda, Sudani ya Kusini, Burundi na Tanzania yenyewe. Eneo lote la Afrika Mashariki...
1. UTANGULIZI;
Habarini zenu wadau wote wa jamii forums, vijana wenzangu, waandaaji
na wafuatiliaji wa jukwaa hili la “story of change”, Makala hii fupi ni kwa lengo la...
Watu wengi hawaamini kuwa wameumbwa kushangaza dunia. wengi hawajui kuwa ndani yao wamebeba kitu cha thamani kinachoweza kushangaza dunia. Kama nikishikilia mbegu ya chungwa mkononi mwangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.