Habarini wakuu.
Najua kuna wimbi kubwa sana la vijana wasio na ajira. Hata wanaothubutu kujiajiri nao bado wanapata changamoto mbalimbali na mitaji yao inapotea pasipo kufanya jambo la maana...
Kilimo ni moja ya sekta muhimu sana hasa kwa taifa ambalo bado ni changa na lina uhitaji wa kufanya mapinduzi ya viwanda na uchumi kwa ujumla.
Kwa upande wa Tanzania kilimo kinatajwa kuwa uti wa...
YANAYOENDELEA ZINAKOFANYIKA BIASHARA HIZI
Uchunguzi wangu umebaini kuwa maeneo ambayo biashara hizi zimekuwa zikifanyika hasa ndani ya jiji la Dar es Salaam, wahusika wamekuwa wakitumia bangi na...
Afrika tumekuwa tukitafsiri siasa tofauti , miaka ya nyuma kidogo hususani miaka ya 2000 vijana wengi tulijua siasa ni uongo mtupu , na jamii nyingi za vijana ziliamini kwamba hupaswi kumuamini...
Habari za wakati huu wan JF. Nimekuja na kitu kingine, sio kipya ila nilikiandika kwa sehemu tu na nikaona imepata mwitikio mkubwa sana, hivyo nikaona kuwa nina wajibu wa kuandika zaidi ili...
Kutokana na ukosefu mkubwa wa ajira unaoikumba nchi yetu vijana wanaweza kutumia fursa zilizopo za kidigitali ili waweze kujikwamua kiuchumi kuliko kiuendelea kuisubiri serikali huku wakati...
Habarini wana jukwaa na wapiga kura!
Naomba leo niandike historia yangu fupi kidogo huku lengo likiwa ni msisitizo kwa wanawake wote wanaopambana kujenga familia imara huku wakiwa na ndoto...
Nilipopata akili nilisimuliwa kuwa wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo sana. Baba alitangulia na baadae Mama. Walezi wangu wakawa babu na bibi ambao ni wakulima kijijini Manda.
Siku moja, nikiwa...
Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na...
Kwenye uzi huu wa mabadiliko nimetumia njia tofauti kidogo, kwani uzi huu hauja lenga kuibadilisha jamii moja kwa moja bali umelenga kubadisha au kuboresha kiunzi cha jamii(wewe msomaji), ili...
Naomba nitambulike hivi hivi kama Mzee wa Old School. Story nitakayo waeleza hapo chini ni ya kweli hivyo ni vizuri ndugu unaesoma usiishie kusisimkwa, kuhuzunika ama kucheka, bali fanyia kazi ili...
Nikiwa muathirika wa ugonjwa huu tangu mwaka 2016, licha ya kuwa na ugonjwa wa kisukari kwa kuwa nafuata maelekezo na masharti yote ya kiafya kutoka kwa wataalamu, basi waweza usiamini Kamba mimi...
Na ,Ibrahim Rojala
Kuanzia Julai 15 ya mwaka huu wanaotuma fedha kwa wakala wa simu za mikononi walianza kulipa kodi ya uzalendo ambayo waziri wa fedha Dkt.Mwigulu Nchemba aliielezea kuwa ni...
Maana ya afya ya akili kisaikolojia:
Afya ya akili ni ustawi wa fikra, tabia na hisia katika kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku katika maisha ya mwanadamu.Wakati mwingine...
Kwanza kabisa kuacha mazoea fulani katika maisha yako si rahisi kama unavyotamka,unaweza kuacha leo lakini ikachukua muda kuacha kabisa.
Leo karibu marika yote na jinsia zote katika jamii ni...
Nina miaka 40 sasa lakini ndio naamka nashtuka kuona kwamba nilipoteza sana muda, pesa na sikuutumia vizuri ujana wangu. Ningewaza haya mapema ningekuwa mbali sana kimaendeleo hata kama si kwa...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo...
Wakati tunahamasisha wahitimu wetu kuingia zaidi kwenye ujasiriamali kama njia ya kukabiliana na ukosefu wa ajira, ninaamini bado kuna nafasi katika soko la ajira la nje hatujaitumia vema. Kwa...
Lengo la makala haya ni kuonesha kwamba kuendekeza ushirikina au uchawi na waganga wa kienyeji (wapiga ramli) kunaathiri maendeleo ya jamii. Tuachane na hiyo imani maana badala ya kutusaidia...
Habari,
Kutokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana huamua kuhamia mijini kujaribu kutatua changamoto hizo.
Lakini pamoja na wimbi hili la vijana ambao ni nguvu kazi kuhamia mijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.