Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na...
Tanzania, nchi yangu nzuri, inayotajwa kufikia uchumi wa kati wa chini, imebarikiwa kuwa na rasilimali za aina mbalimbali kama vile ardhi nzuri ya kilimo, madini, misitu, n.k; bado inakuza uchumi...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ni taasisi iliyoanzishwa chini ya Sheria Na.9 ya 2004 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2007, 2014 na 2016) kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa...
HISTORIA YA KISWAHILI.
Kuna nadharia mbalimbali kuhusiana na historia ya lugha ya Kiswahili. Wapo wanaodai chimbuko la Kiswahili kuwa ni pwani ya Afrika mashariki, wataalamu kama Nae Freeman...
Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi wanapaswa kuchukua hatua endelevu kutatua tatizo la ukosefu wa ajira ili kukuza uchumi.
UKOSEFU WA AJIRA NI NINI?
- Ni ile hali ya mtu kutafuta...
Chanzo: Picha na JamiiForums
Yafanyike haya kuikomboa NHIF
Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa...
Maisha ni safari ndefu na kila hatua anayoipitia mwanadamu katika safari ya maisha ulimwenguni ina mazingatio makubwa sana. Kuzaliwa ndio pito namba moja la mwanadamu yeyote kuianza safari ya...
Kwa mujibu wa tovuti ya tathimini ya idadi ya watu duniani ya mwaka 2022, makadirio ya umri wa ukomo wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 66. Kwa mtanzania aliye bahatika kuhitimu shahada yake ya...
Jina langu nililopewa na walimwengu najulikana kama KITABU MFUMBUZI WA MATATIZO.Nimezaliwa DUNIANI kote kwa mwaka usiokuwa na jina toka Enzi katika kila Pembe ya Dunia, Ninaishi TANZANIA, Nchi...
KILIMO BIASHARA ANZIA SOKONI.
Mkulima ili aweze kufanya uchaguzi wa kilimo anachotaka kufanya inatakiwa afanye ziara katika soko ili aweze kujua ni nini wateja wanahitaji, na nikwa kiasi gani, na...
UTANGULIZI.
Elimu ni mfumo wa mafunzo utolewao mashuleni na hata katika jamii zetu tunazoishi.Elimu ni moja ya nguzo kubwa sana iletayo mapinduzi makubwa kwa kuirahisishia jamii kupambana na...
Utangulizi
Utayari ni hali ya kuafiki au kukubali jambo fulani. Hivi sasa kumekuwa na mikanganyiko ya aina mbalimbali baina ya nchi na watu wake, huku ikionekana kuwapo kwa upinzani kutoka kwa...
Katika ulimwengu wenye takribani ya watu zaidi ya bilioni 7, watu wenye umri chini ya miaka thelathini (30) wanadhaniwa kuwa ni zaidi ya 50% duniani kote. Na katika hali ya kawaida kundi hili...
Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia...
Hii ni moja ya tabia muhimu za pesa(financial behaviour) ya kuwa nayo.Hii ni tabia ambayo anaweza kuwa nayo mtu yeyote bila kujali jinsia yake na ukubwa/udogo wa kipato chake.Watu wengi tuna...
Habari wana jukwaa wote!
Kwa majina naitwa Amina kama nilivyojisajili kwa forum hii.
Mimi ni mtanzania ambae nimetokea katika familia maskini sana kule SIMIYU kijiji cha itilima. Nilizaliwa...
MAANA
Saratani ya shingo ya kizazi ni ile inayoanzia sehemu ya mwisho ya nyumba ya kizazi , pale sehemu hiyo inapoungana na sehemu ya juu ya uke.
JE, NINI CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI...
AFYA: Ni hali ya kujisikia vizuri kimwili kiakili na kiutu bila kusubuliwa na kitu chochote. Pia afya inaeza kuelezewa kwa hali ya ubora wa kiumbe hai kuweza kufanya vizuri katika mazingira yake...
Kwa Utangulizi: Sayansi Ni mmarifa au ujuzi unaopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainshwa hazijathibitishwa.Sayansi imegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo...
Utambulisho
Habari Wana jamii Forum,kwa majina naitwa Lenny Godfrey mkazi wa wilaya ya kinondoni jijini Dar-Es-Salaam.Na pia Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu Cha Sayansi na Teknologia Cha...