Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

13 Votes
Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii. Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya...
11 Reactions
45 Replies
15K Views
Upvote 13
1 Vote
Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Pia bawasiri unaweza kusababisha kujitokeza kwa kinyama kwenye njia ya...
4 Reactions
14 Replies
11K Views
Upvote 1
3 Votes
Nipo sehemu kwenye mgundi wangu wa kila siku nimekaa, nikitafakari mambo mbalimbali katika maisha ila likubwa tambua biashara inakulazimisha kutambua haya mambo mawili ili uweze kufanikiwa...
5 Reactions
10 Replies
4K Views
Upvote 3
7 Votes
KUTOKA UFUGAJI WA KUKU KUMI NA MOJA MPAKA MAELFU YANAYO HITAJIKA 1. Kuku(tetea) kumi (10) na Jogoo mmoja (1) 2. Banda lenye ubora 3. Vyombo kwaajili ya chakula na maji 4. Chakula bora na kilicho...
18 Reactions
30 Replies
11K Views
Upvote 7
0 Votes
Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na...
7 Reactions
3 Replies
3K Views
Upvote 0
7 Votes
UTANGULIZI Migogoro ya wakulima na wafugaji imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo vijijini na mahusiano baina ya wakulima na wafugaji katika nchi nyingi zilizo katika ukanda wa kusini mwa jangwa...
15 Reactions
13 Replies
4K Views
Upvote 7
11 Votes
Takribani saa tatu usiku sasa, tunamaliza pika Ugali – Dagaa, tunakula huku maongezi ya hapa na pale yanaendelea na mashujaa wangu hapa, wako mbali kabisa na makazi ya watu, ndio nawajuza...
8 Reactions
11 Replies
4K Views
Upvote 11
1 Vote
Vyuo vikuu wanafundishwa na wakufunzi ambao awana uzoefu wa kazi yani mtu anakufundisha ukafanye kazi ikiwa yeye mwenyewe ajawahi fanya kazi. Hii imetengeneza elimu kutokuwa na uhalisia maana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 1
3 Votes
Habari wanaJamiiForums, habari watanzania wenzangu. Naitwa suzana, kama mwandishi wa habari wa kujitegemea nimepata Fursa ya kuonana na kuzungumza na binti mmoja, muhanga wa mila potofu (nyumba...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Upvote 3
8 Votes
Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Hakuna sumu yenye kuidhuru akili yenye mawazo chanya na hakuna dawa yenye kutibu akili yenye mawazo hasi” bahati mbaya sana akili za watu wengi zimetawaliwa sana na...
12 Reactions
13 Replies
5K Views
Upvote 8
2 Votes
UTANGULIZI Mfumo wa elimu katika nchi yetu hauna mchango mkubwa sana kwa kuzingatia mahitaji ya ulimwengu wa sasa. Ulimwengu wa sasa unataka ubunifu,uwezo wa kutatua changamoto zilizo katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 2
17 Votes
Mwanzo nilikuwa binti mwenye nuru sana, pamoja na kufiwa na wazazi wote wawili wakati nikiwa na miaka 8 lakini sikuwahi kuwa na maisha ya ukiwa hata kidgo, ndugu zangu upande wa mama...
15 Reactions
25 Replies
5K Views
Upvote 17
3 Votes
Mwaka 2014 February majira ya baridi kali yakiwa yanamalizikia Jiji Wuhan China ndipo mwandishi wako nilifika Uchinani baada ya kupitia changamoto mbalimbali. Ilikuwa ni safari ya miaka sita ya...
17 Reactions
17 Replies
4K Views
Upvote 3
19 Votes
KISASI SAHIHI CHA KUPONYA JERAHA LAKO LA MAPENZI KULINDA AFYA YA AKILI Hivi karibuni mahusiano yameingia dosari kubwa ya kutisha, wapenzi/wenza wamekuwa wakifanyiana unyama wa kuchomana moto...
17 Reactions
18 Replies
5K Views
Upvote 19
5 Votes
Hivi kweli Afrika ni masikini? Na kama ni kweli Afrika ni masikini kwanini Afrika ni masikini? Hili ni swali ambalo waafrika wengi na watanzania wamekuwa wakijiuliza, lakini je kwanza tujiulize ni...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 5
24 Votes
Muhtasari: Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali...
10 Reactions
31 Replies
11K Views
Upvote 24
334 Votes
Kwa miaka mingi kabla na hata baada ya uhuru, watanzania wengi na hata watu wengine duniani kote, wamekuwa na imani ya kuwa, elimu ndio ufunguo wa maisha. Lakini katika uhalisia wake elimu na...
271 Reactions
237 Replies
25K Views
Upvote 334
1 Vote
Asilimia kubwa ya wasomaji wa andiko hili wanamjua Elon Musk na matajiri wengi wenye utajiri unaokadiriwa kufikia hadi mamia ya mabilioni ya dola za kimarekani. Kinyume na uhalisia wa hapa...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 1
11 Votes
Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Upvote 11
5 Votes
Hakuna maisha bora na ukuaji sahihi kwa mtoto kama kuwa karibu na mama, baba na nduguze wakati wa ukuaji. Kumbukumbu nyingi, hali ya kujiamini, kuona mapenzi ya hali ya juu ya wazazi katika umri...
11 Reactions
8 Replies
3K Views
Upvote 5
Back
Top Bottom