Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

5 Votes
Ni ukweli Usiopingika kwamba Mifumo yetu ya elimu ni mibovu sana, inaangalia Div 1 ya 7 au Div 1 ya 3 basi na ni mifumo ya enzi za Uhuru na wakati huo huo kuna changes nyingi sana Duniani tangia...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Upvote 5
4 Votes
UTANGULIZI. Upatikanaji wa taarifa mbalimbali kwa haraka ni suala muhimu sana kwa nchi zinazoendelea na zilizoendelea, njia nyingi zimekuwa zikitumika katika utatuzi wa changamoto hii ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 4
2 Votes
 Kwanza salamu hadhira, Hali yenu vipi shwari, Nataka niwape dira, Mimi nipo juu ya dari, Japo kuwa Kuna swira, Sitoiogopa hatari, Nasihitaji ngawira, Isikilizeni habari. Utawala waparaza, Kama...
2 Reactions
2 Replies
601 Views
Upvote 2
3 Votes
Mjadala wa kisayansi juu ya uendelevu wa teknolojia ya ndani Mbadala wa kilimo kidogo mageuzi ya kukabiliana na athari za mabadilko ya hali ya hewa kwenye mazao ya bustani🍃🎋 Akinukuu ripoti ya...
1 Reactions
3 Replies
680 Views
Upvote 3
5 Votes
BIDHAA BANDIA NA HALISI KATIKA SOKO HURIA: Wajibu wa mlaji kabla ya kununua, kutumia na kuharibu mabaki ya bidhaa. Katika zama hizi za soko huria kauli hizi si nadra sana kusikika miongoni mwa...
3 Reactions
6 Replies
788 Views
Upvote 5
4 Votes
Kwenye hoja Moja Kwa Moja. Unakuwa na presha kamtu kanakupandisha presha nyingii mpaka unafikia hatua ya kutaka kuacha kazi. Inatukuta Sana na wengi hii tunaichukulia rahisi na kamtu uka-zoom...
3 Reactions
7 Replies
588 Views
Upvote 4
2 Votes
Suala la kuwajibika ni muhimu sana unapokuwa kiongozi Katika Familia, Hususani Baba, Mama, Kaka au Dada. Kwani Sio baba pekee ndio anaetakiwa kuwajibika kwa maana hata Mama pia huwajibika kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 2
6 Votes
Katika vitu ambavyo nchi nyingi wanakuwa makini navyo basi ni Ubora wa chakula wanacholishwa raia wao. Ndo maana suala la ku-export vyakula je ya nchi ni suala moja gumu sana, hasa kwenye ku-meet...
5 Reactions
9 Replies
847 Views
Upvote 6
2 Votes
Sisi Watanzania tumekuwa tunaidharau sana nchi yetu na wengi tunapenda mara kwenda kuishi Ulaya au hata South Africa. Lakini Jambo ambalo hatujajua katika nchi zote 50+ za Africa, foregners wengi...
1 Reactions
0 Replies
840 Views
Upvote 2
5 Votes
ATHARI ZA BARIDI KALI KATIKA MKOA WA NJOMBE. Habari,nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkoa wa Njombe upo ukanda...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 5
3 Votes
Mfumo wa VICOBA au Saving group ni mfumo ulio asisiwa nchini Inida miaka ya 80 mwishoni na kwa bara la Africa mfumo huo ilingia miaka ya 90 na kuanzia kule Niger. Mfumo Wa VICOBA una madhumuni...
0 Reactions
5 Replies
855 Views
Upvote 3
Back
Top Bottom