Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Umeshawahi kujiuliza kuwa ni nini utakachokifanya ikitokea utapata kila kitu unachokihitaji maishani? Ukiwa na kila kitu unachokitaka. Ukiwa na mpenzi au familia unayoitaka, kiasi cha fedha...
Tunaweza kubadili Familia zetu Mke/Mme/Watoto kupenda Kilimo na Ufugaji
Katika Maisha yetu ya sasa sio siri tuna kizazi kisicho penda sana kilimo wala kufuga,na walio oa wengi t mtakubaliana na...
UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI)
Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani...
Kwa majina naitwa Steven J ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha Dodoma, Shahada ya utawala katika elimu. Naomba nikuletee makala fupi kuhusiana na Funguo za kupata Fursa zaidi, ambavyo ni vitu...
MAMLAKA YA KISERIKALI NA UTAWALA WA SHERIA.
(Governmental powers and rule of law)
UTANGULIZI.
Ni kuhusu madaraka ya serikali na utawala wa sheria je, serikali inapo telekeleza mamlaka yake...
Utangulizi.
Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi...
Husika na mada tajwa hapo juu. Kwa majina naitwa Mwanachi Tanzania nimzaliwa wa Dodoma mwaka 1961 nimekuandikia barua hii Rais wangu najua utaipata hapa jamiiforamu .
MWANZO: Mh Rais na...
Katika mazingira ya kawaida tunayoishi katika jamii yetu Kuna dhana ambayo imejengeka kila kizazi kujiona bora kuliko kizazi kingine hapa nazungumzia kizazi Cha zamani kinachoishi mpaka Sasa na...
Ujauzito ni hatua muhimu katika maisha ya kila mwanamke.
Kuna wamama wanao furahia kipindi chote wanachobeba ujauzito na wengine huanza kuwa na khofu pindi tu anapojigundua kuwa ana ujauzito...
Ni swali adimu leo hii kuliskia viongozi wakiulizwa leo hii, pamoja na ukweli kwamba vijana wamefikia 70% ya Watu wote nchini. Isitoshe pale unaposkia vijana wakitajwa au kuzungumziwa mara nyingi...
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia...
Kila mtu anatamani kufanikiwa katika kila jambo lakini ni wachache wanaoyafikia mafanikio na kuonekana wenye bahati sana. Ulishawahi jiuliza kwanini kuna watu wanaumwa magonjwa yanayosemekana...
UTANGULIZI.
Rasilimali ni nyenzo ya muhimu ambayo huleta faida kwa kurahisisha maisha ya mwanadamu kulingana na mahitaji yake. Rasilimali inaweza kuwa ni ya asili au si ya asili kwa mfano vyanzo...
MAFANIKIO
KAMA ilivyo ada kila mtu anahitaji kuwa na mafanikio katika maisha yake. Vivyohivyo hata mimi ninatamani kuwa miongoni mwao.
Swali la kujiuliza ni kwanini tuliowengi hatufanikiwi na...
Habari Yako mpendwa msomi, natumai uhali njema. Nataka nitumie fursa hii kukupa muangaza ya mengi wanayopitia vijana wenzangu kwani mengi yanaumiza na kusikitisha. Natumai mwisho wa makala hii...
Mama ni mwanamke mwenye jukumu la kulea familia. Miaka ya nyuma katika jamii za kiafrika mama alikuwa hapewi kipao mbele katika suala zima la maendeleo, kazi yake kuu ilikuwa Ni kuzaa na kutunza...
WIVU NA TAMAA NI ADUI MKUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU
Tamaa ni nini Tamaa ni Hali ya uhitaji Uliopitiliza Juu ya Jambo Fulani au ni Hali ya uhitaji wa Ghafla juu ya jambo Fulani bila kuangalia...
Mwaka 2013 nilipataga Binti wa kazi kutoka Mkoa wa Kigoma wailaya ya Kakonko, Binti alikuwa na miaka 13 na ndo alikuwa amemaliza Darasa la Saba na kwa sababu yachangamoto za amaisha ndo ikambidi...
Habari wakuu!
Niwazi kuwa vijana wanapitia changamoto za ukosefu wa ajira licha ya kuwa na sifa za kuajirika. Wimbi la wasomi linazidi kuongezeka ilhali namba ya waajiri ikiwa pale pale ua...
Kwanza kabisa nipende kumshukuru mungu kwa nafasi hii, Natumai sote tuwazima. Wenye maradhi na shida mbalimbali mungu awaongoze na awasaidie.
UTANGULIZI .
Nini maana ya utawala ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.