Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
NIKIONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAELEA KILA MWAKA, NAJUA YAMEUNDWA
Utangulizi
Elimu yetu imekuwa ikipitia katika vipindi tofautitofauti na mabadiliko makubwa ili kuiboresha. Mabadiliko haya...
Ati tujifunze Kwa Kiswahili masomo ya sekondari, icho Kiswahili chenyewe mnakijua? au mnataka kuzalisha kizazi cha lomolomo? Je, kwani tumesahau visa na Mikasa ya vijana wadogo maarufu kama panya...
Kwa wafatiliaji wengi wa Habari za ulimwenguni swala la mporomoko wa kiuchumi wa dunia utakua haujakupita. Unaweza usiwe mfatiliaji wa Habari hizo lakini mathwahibu yake ukayasikia hata...
Wakuu,
Kuna msemo ambao sikumbuki niliwahi kuusikia au kusoma wapi lakini unasema "it is now or never"
Yaani kama sio sasa basi ni milele.
Ikiwa na maana wakati wa kuchukua hatua ni sasa na...
UTANGULIZI:
Kama ilivyo misingi ya Utawala Bora ni Pamoja Na Demokrasia, Utawala Wa Sheria, Haki Na Usawa, Ushirikishwaji Wa Wananchi, na Wajibu Na Uwazi. Yapo mambo kadhaa ambayo iwapo...
Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka...
TAALUMA YANGU MASHAKANI.
Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha...
Ndani ya kipindi cha miaka kumi (10), usafiri wa kutumia pikipiki ulionekana kama mkombozi wa maisha ya vijana katika kuisaka ridhiki. Lakini kadri siku zinavyozidi kusogea mbele usafiri huu...
Utawala bora ni dhana inayosimama katika misingi mkuu wa ujumuishaji na ushirikishwaji wa wahusika wote walio ndani ya jamii katika maamuzi na utekelezaji wa maamuzi yanayohusu ustawi wa maendeleo...
SULUHU LA MAUAJI NA UKATILI TANZANIA
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kila kukicha kuna tukio jipya la Ukatili au Mauaji au kujiua.
2021 pekee vifo zaidi 470 vya Watanzania chanzo chake ni...
Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo...
Tatizo la ajira nchi hii linahitaji sana Viwanda ambavyo ni Labour Intensive na sio Machine Intensive.
A to Z Arusha ni moja ya viwanda vikubwa sana vya Labour Intensive, linapo kuja swala la...
UTANGULIZI:
▪︎Mimba zisizotarajiwa zimekuwa tatizo sugu kwa miaka mingi katika jamii yetu. Nataka kusaidia kuondoa mimba zisizopangwa kwa kumuelimisha mtoto wa kiume ambae ndiye huweka mimba.
Ni...
Watu wengi sana wanatamani kufanya ujasiriamali kwa malengo tofauti tofauti ikiwemo kuwa na uhuru wa muda na kuongeza kipato, hata baadhi ya watu ambao wapo kwenye ajira hupendelea kukusanya mtaji...
"Mwanajeshi wa kweli anapambana sio kwa sababu anachukia kilichopo mbele yake, Ila ni kwa sababu anapenda kilichopo nyuma yake".
UTANGULIZI.
Natumai tu wazima na wenye shida na matatizo...
UTANGULIZI
Makala hii inajikita katika kuangalia namna Bora ya kuwa na umoja na ushirikiano wa kitaifa wenye tija Bila kumuathiri mtu au kikundi chochote Cha Watu katika nchi yetu! Ingawa mara...
Elimu yenye Kuleta mabadiliko.
Tanzania ya sasa, inauhitaji mkubwa wa elimu yenye Kuleta mabadiliko kuendana na Kasi ya mabadiliko ya kisayansi na kiteknolojia ya kiulimwengu .
Elimu hii...
Mara nyingi nimekuwa nikitafakari, ni namna gani nimefika hapa nilipo. Siku zote naona ni kama kitendawili kwa maana ni mambo mengi yanahusika hadi mtu kufikia hatua yoyote katika maisha yake, iwe...
By Abou Twika
0784327893
Awali ya yote, nianze kwa kuwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ni imani yangu mu kheri wa afya, na wale wote tuliye na maradhi inshallah, kwa neema...
LUCK and CHOICES
Hakuna mtu ambaye hajawahi kusikia neno BAHATI(LUCK). Ila Hakuna kitu Bahati Lakini Kila kitu ni Bahati. Wazungu wanasema Bahati ni Sawa na Fursa ukaongeza na maandalizi ya hiyoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.