Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

2 Votes
MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII. Mada kuu; je ipi matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa vijana wa kitanzania (miaka 10 -45) hivi leo? Maana halisi ya dhana kuu; mitandao ya kijamii ni nini...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Upvote 2
1 Vote
Habari za wakati huu wana JamiiForums. Leo napenda kuongea na waandaaji wa filamu Tanzania. Kwanza niwapongeze kwa kazi kubwa mfanyayo ya kuielimisha na kuiburudisha jamii. Pia, niwapongeze kwa...
1 Reactions
0 Replies
367 Views
Upvote 1
0 Votes
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Upvote 0
0 Votes
Hata kulalamika kwamba umeme unakatika kila siku wakati hata ule kidogo uliopo unautumia kuchajia simu ni kufikiri ndani ya kasha. Wachina wanautumia umeme kubadili usiku kuwa mchana ili wafanye...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Upvote 0
1 Vote
VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Upvote 1
0 Votes
NYUMBANI Ilikuwa saa saba mchana , jumatatu ya tarehe kumi mwezi wa kumi na mbili mwaka elfu mbili na arobaini na tano, Ilisomeka hivyo kwenye saa ya kidigitali iliyotoa mwanga ulioelea hewani...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Upvote 0
21 Votes
FAIDA ZA KUWA WAZALENDO UTANGULIZI Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake na kuweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Na mara nyingi...
9 Reactions
18 Replies
4K Views
Upvote 21
0 Votes
1) Wabunge 20 wataalamu waongezwe Tofauti na wabunge wa majimbo. -Hawa watakuwepo bungeni kuwakilisha taaluma au fani mojawapo muhimu katika maisha ya watanzania. Mifano ya fani hizo ni Elimu...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Upvote 0
0 Votes
LEO MWISHO “ Hivi Jacob lini utaelewa Kwamba maisha sio kitu cha mchezo, leo mimi nipo kesho na keshokutwa nitakufa , hivi utakuwa mgeni wa nani?” kama kawaida Martin alirudia wimbo ule ule kwa...
0 Reactions
1 Replies
493 Views
Upvote 0
19 Votes
SIKIA HII Tanzania ni nchi ya pili kwa mifugo mingi barani Afrika nyuma ya Ethiopia.Uwepo wa mifugo mingi ni fursa kubwa ya kuwekeza na kukuza biashara ya ngozi. Tuko wapi? ,Licha ya kuwa na...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Upvote 19
4 Votes
Utawala ni Hali inayoakisi sifa nyingi zilizopo kwenye Matabaka Makuu Mawili ambayo yanaunganishwa na Tabaka liitwalo Mifumo/Mfumo. Sifa kama Utii,Uzalendo,Ukarimu,Ubunifu,Kujitoa,Misimamo...
4 Reactions
4 Replies
559 Views
Upvote 4
0 Votes
Ufaulu wa mwanafunzi unategemea vitu vingi ikiwemo nyenzo za kusomea mfano vitabu, marudio ya mitihani nk Walimu bora, mazingira mazuri ya kujisomea nk Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Upvote 0
0 Votes
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa hili la Tanzania.Sekta ya kilimo huchangia asilimia sitini katika kutoa ajira kwa vijana.Wizara ya kilimo huchangia asilimia ishirini na tano katika pato la taifa...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Upvote 0
1 Vote
Stories of change; Aplikesheni mkombozi. Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wengi wa Kitanzania ni moja kati ya matatizo ambayo mpaka sasa halijaweza kutatuliwa kikamilifu. Sio tu Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
426 Views
Upvote 1
0 Votes
UTANGULIZI Uzalendo ni neno lenye maana pana inayohusisha mapenzi ya dhati na uwajibikaji kwa nchi yako. Tanzania ni moja kati ya nchi kubwa barani Africa yenye mtaji wa watu zaidi ya milioni...
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Upvote 0
6 Votes
Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 6
3 Votes
Kwa mujibu wa shirika la watu duniani UNFPA, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto ni moja ya majanga makubwa ya ukandamizaji wa haki za binaadamu duniani ikiwemo Tanzania. Inakadiriwa...
2 Reactions
3 Replies
634 Views
Upvote 3
0 Votes
Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania. Utangulizi; Ukosefu wa ajira imekuwa tatizo kubwa Sana kwa nchi zinazoendelea na nchi yetu Tanzania ikiwa miongoni. Tatizo linaanzia kwa mfumo wa elimu...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Upvote 0
1 Vote
Kijana kama unataka kufanikiwa maishani, epuka tabia zifuatazo: 1: KUKOSA UAMINIFU KAZINI Vijana wengi sio waaminifu kabisa, wengi wana tamaa ya mali nyingi ndani ya muda mfupi, hata kama ni kwa...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Upvote 1
0 Votes
Maji na uchumi wa Tanzania Maji ni unyevunyevu usio na rangi wala harufu, Na Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao, Maji yana nafasi kubwa katika...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom