Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

3 Votes
Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika...
1 Reactions
1 Replies
735 Views
Upvote 3
2 Votes
UTANGULIZI Mfumo wa elimu ya juu hasa vyuo vya afya ni mfumo ulio systematic na watu wengi hawaufahamu huu mfumo ndo maana malalamiko yanakuwa mengi wakihisi watu wanaotoa maamuzi ya mwisho...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Upvote 2
7 Votes
Andiko hili linahusu ELIMU YA MAZINGIRA. Na hayo Ni mazungumzo baina ya wahusika wawili; Kao : Mzee shikamoo, Oka : Marhaba mjukuu, unaitwa nani?  Kao : Naitwa oka, naomba kuuliza mzee wangu...
4 Reactions
12 Replies
772 Views
Upvote 7
105 Votes
AFYA BORA KWA WATANZANIA: Afya ni hali ya kuhisi/kujisikia vizuri kimwili pamoja na kiakili pia.Hivyo afya bora sio kula vizuri tu, bali hali nzuri yenye utulivu katika mwili na akili...
10 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 105
0 Votes
Kumekuwa na hamasa nyingi sana tangu awamu zilizo pita kuhusu Tanzania ya Viwanda, na kumekuwa na mikakati mingi sana ya Tanzania ya viwanda, awamu ya 5 ilifikia wakati tukawa tunapewa na idadi ya...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Upvote 0
1 Vote
JE! KAFARA YA AINA YOYOTE INAWEZA KUKUINUA KIUCHUMI?. Kumekuwepo na upotoshwaji wa kimila kwa baadhi ya makabila katika dhana halisi ya TAMADUNI za kiimani haswa imani za kishirikina, ambazo...
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Upvote 1
0 Votes
Machozi yakimbubujika Zakia (KE: Sio jina halisi) kamavile mpira wa maji ya kumwagilia bustani, yakidondoka mpaka kwenye kona ya kidevu! jicho jekunduu...akashusha simu kutoka sikioni kwa haraka...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Upvote 0
8 Votes
Chapisho hili lina lengo la kutoa ushauri kwa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) kuhusu Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanaoshindwa kufaulu mitihani ya Taifa wapewe nafasi nyingine ya...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Upvote 8
0 Votes
Jina: Hussein Juma Jitihadi 1.0 UTANGULIZI Elimu ni chachu katika maendeleo ya kila kitu, mfano teknolojia, uchumi, biashara n.k. Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na athari chanya...
0 Reactions
1 Replies
547 Views
Upvote 0
1 Vote
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO visa vya utoaji mimba takribani milioni 25 hutokea kila mwaka kote duniani, huku nusu ya visa hivyo ambavyo hukadiriwa kama milioni 12 pekee hutolewa kwa...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Upvote 1
2 Votes
Sera ya vijana ya mwaka 2007 nchini Tanzania inatambua kwamba vijana ni watu wote wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35, ambapo kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ni asilimia 34.7 ya...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Upvote 2
0 Votes
Habari wana JF Nipo hapa kushiriki shindano la "stories of change" Andiko langu limetokana na kisa kinachomuhusu dada mmoja ambaye alifika ninapoishi akiwa na wanawe kutafuta kazi Mazingira yake...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Upvote 0
1 Vote
Baada ya kufeli chuo kikuu akiwa amebakisha mwaka mmoja, kwa kukosa ada, bwana Juma Ramadhani Kingambe akarudi nyumbani na hakuwa mtu mwenye kukata tamaa bali alikubaliana na kile kilichomkuta na...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Upvote 1
10 Votes
Kwenye mnakasha huu nitaangazia Ajenda za vijana na matatizo yanayo wakumba na Suluhu ya Changamoto zao. Kulingana na sensa ya 2012 vijana ndio kundi kubwa kwenye muundo wa demographic ya nchi...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Upvote 10
4 Votes
Wenu Mtambo Mtoka mbali utangulizi. Makala haya imeandikwa kwa kuzingatia tafiti mbalimbali zilizofanywa na wanazuoni,tume ya makweta (1982),taasisi ya haki elimu (2008),tamko la waziri mkuchika...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 4
2 Votes
Mfumo wa elimu inahusisha sera na Sheria zote zinazoongoza mwenendo wa uendeshaji shughuli zote za elimu nchini. Makala hii ni andiko linalotoa mapendekezo Kwa serikali na wadau wengine wa elimu...
2 Reactions
1 Replies
467 Views
Upvote 2
6 Votes
MRADI MDOGO WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI WENYE TIJA YANAYO HITAJIKA 1. Kuku(tetea) kumi (10) na Jogoo mmoja (1) 2. Banda lenye ubora 3. Vyombo kwaajili ya chakula na maji 4. Chakula bora na kilicho...
4 Reactions
8 Replies
967 Views
Upvote 6
1 Vote
Binadamu hupitia nyakati tofauti katika maisha yake. Kuna nyakati za mafanikio na Kuna nyakati za mkwamo. Tofauti hizi za nyakati zinaonesha jinsi maisha ya mwanadamu yanavyopata mabadiliko ya...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Upvote 1
2 Votes
Maisha ya wanadamu hupangwa na Mungu ila kijituma na kutokata tamaa ndo msingi wa mafanikio kwa mwanadamu, Katika kijiji kimoja alikuweko kijana aliyeitwa Amour, Amour alikuwa na umri wa miaka 15...
1 Reactions
1 Replies
457 Views
Upvote 2
1 Vote
Si kila tajiri amesoma na si kila maskini ndivyo alivyopangiwa na Mungu bali utajiri hupatikana kwa jitihada za mtu katika maisha yake haijalishi hujaingia darasani ila una nini kichwan kwako...
1 Reactions
0 Replies
647 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom