Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA Ni aina ya magonjwa ambayo hayawezi kusambaa kutoka Kwa mtu moja kwenda kwa mwingine. Mfano; magonjwa ya moto, saratani(cancer), Pumu, kisukari n.k Ni kweli tafiti...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Upvote 0
1 Vote
Tunaishi katika ulimwengu unaounganishwa na teknolojia, ambapo teknolojia imewezesha shughuli nyingi za kielimu, kiafya, kibiashara n.k. Teknolojia ina athari kubwa kwa jinsi wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Upvote 1
0 Votes
Jamii ya sasa imekuja na nadharia ya maendeleo ya Leo ambayo kwa kiasi Fulani imeshika hatamu katika kuifanya jamii iache kufata utamaduni wao . Nadharia hiii ndiyo iliowavisha dada zetu vimini...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Upvote 0
3 Votes
UTANGULIZI Sekta ya afya ni sekta yenye wadau na wahitaji wengi lakini bado imeonekana kutokuwa na tija katika maendeleo ya taifa na watu wake kwa ujumla Ili hali watumiaji na wahitaji ni wengi...
2 Reactions
3 Replies
365 Views
Upvote 3
10 Votes
Utangulizi Natumauni ni mzima wa afya, leo nitagusia baadhi ya kozi zinazohusiana na masuala ya teknolojia. Katika karne hii inakupasa ufahamu baadhi ya vitu ili uweze kuelewa tupo wapi na...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Upvote 10
0 Votes
Nchi ya Jamhuri ilikuwa inaongozwa na katiba ya vyama vingi, katiba hio ilikuwa inaruhusu kila chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika nyanja mbalimbali za uongozi ili kurahisisha...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Upvote 0
1 Vote
Samadi ya maji ya majumbani ni mchanganyiko wa samadi ya kuku, kinyesi cha wanyama wa kufugwa katika hali zote mbili yaan unyevu au ukavu. Wanyama hao ni ng'ombe, nguruwe, mbuzi na kondoo pamoja...
2 Reactions
0 Replies
536 Views
Upvote 1
0 Votes
Wengi watanzania tumekua ni watu wa kulalamika, kuhuzunika, kunyanyasika, kunyanyasana na kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwasababu za kiuchumi, elimu, nyadhifa, makabila, ujinga/upumbavu, imani...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Upvote 0
1 Vote
UTANGULIZI "MITAALA YA ELIMU NA AJIRA KWA VIJANA" miongoni mwa sekta ambayo nchi ya Tanzania imekuwa ikifanya juhudi ili kupata maendeleo ni sekta ya Elimu,katika awamu ya Tano ya Raisi John...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Upvote 1
17 Votes
Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza itakua utangulizi hapa nitaelezea maana ya mfumo wa malipo ya mishahara ya waajiriwa, Sehemu ya pili hapa nitatoa changamoto au madhaifu...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
Upvote 17
0 Votes
Maendeleo ya nchi yetu yamekuwa ya polepole sana sababu kuu ni matumizi makubwa ya pesa kwa watu wachache yasiyo ya lazima,vnchi yetu inakadiriwa kuwa na watu 60M. Nni nchi inayokabiliwa na...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Upvote 0
0 Votes
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na wimbi kubwa la Imani potofu ambayo watu kutoka nje ya kisiwa Cha Pemba wanaifanya iendelee kuota mizizi siku hadi siku. Hiii ni kutokana na baadhi ya watu...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Upvote 0
0 Votes
Bunge letu bado ni dhaifu katika maamuzi Leo naomba nizungumzie bunge hasa nikizungumzia kazi zinazohusu bunge na wajibu wa muhimili huu mkuu wa nchi katika ile mihimili mitatu mikuu nchini...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Upvote 0
0 Votes
KAMA NINGEKUWA MIMI. Leo nazungumzia vijana na ajira kupitia Mikopo inayotolewa na serikali kwa vikundi vya vijana, akina mama na watu wenye Ulemavu. Utaratibu wa sasa ili kupata mkopo watu...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Upvote 0
2 Votes
Kwenye maisha kila mtu Mungu alimleta kwa makusudi yake na wakati wake pia. Lakini wengi husahau kuwa kupitia kusudi aliloitiwa duniani, yampasa akubali pia njia atakayopitia kufikia kusudi hilo...
1 Reactions
4 Replies
653 Views
Upvote 2
1 Vote
Niliamka asubuhi na mapema sana kuwahi kazini. Nadhani ungeniona mida nnatoka nyumbani ungeamini mimi nnaondoka asubuhi sana kwelekea kazini lakini hapana sio kawaida yangu. Niliondoka asubuhi...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Upvote 1
12 Votes
Kwenye swala la kuhustle watanzania wengi tumekuwa na juhudi za kuanzisha kitu cha kando au biashara au miradi ya kando ili basi iweze kutusaidia kupambana na miasha ikisaidiwa na mshahara tunao...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Upvote 12
1 Vote
Mwili wa binaadamu hujengwa kwa vyakula na lishe bora ya kiasili isiyo na kemikali ikiwemo kula mboga mboga, kunywa maji kwa wingi, kula matunda, kula vyakula visivyokua na mafuta mengi, kula...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 1
1 Vote
Kutokuwa na haki na usawa ndio mwanzo wa matatizo yote tulionayo, iwe vita, iwe umaskini au uongozi mbovu yote yanasababishwa kutokuwa na haki pamoja na usawa. Na bila kujenga haki na usawa hata...
1 Reactions
2 Replies
381 Views
Upvote 1
0 Votes
Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao seli kwenye matiti hukua bila kudhibitiwa na huweza kutengeneza uvimbe. Saratani ya matiti inaweza kusababishwa na mchanganyiko wa vinasaba, mazingira, homoni...
0 Reactions
2 Replies
478 Views
Upvote 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…