Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

1 Vote
Ile pesa tuma kwa namba hii 07!!22!!21, jina litakuja ZAMA ZIMEBADILIKA, usitumie tena ile ya zamani,hii ni karne ya 21,Mama anashukuru sana kwa hela uliyomtumia mwezi jana ilimsaidia sana kwenye...
0 Reactions
4 Replies
412 Views
Upvote 1
4 Votes
Soko la fedha za kigeni linaweza kuwapa fursa nzuri wafanyabiashara katika zote maishani.Inaewezekana kabisa kupata matunda mazuri ya uwekezaji wako na kufanikiwa kugeuza biashara hii katika kazi...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Upvote 4
0 Votes
Ijapokuwa changamoto za mfumo huu huwa zipo maeneo mbalimbali lakini napenda kujikita zaidi kwa wahitimu wa kada za Afya nchini ambao ni Madaktari, Afisa Tabibu, Wauguzi, wateknolojia Dawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
1 Vote
MAZOEA YANA TABU Mazoea ni nini Mazoea ni kufanya /kuchukulia vitu au watu kikawaida kawaida. Nini maana ya neno kawaida, Kawaida ni kutotoa heshima inayostahiki juu ya kitu /jambo au watu Fulani...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 1
2 Votes
Kiswahili ni nini? Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye asili ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi katika bara la Afrika. Kiswahili ni lugha yenye mawanda mapana kimatumizi na katika mwendo...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Upvote 2
13 Votes
Na Dibwi Tafiti mbalimbali duniani, zimeonyesha Bara la Afrika na Asia kuongoza kwa kuwa na utitiri wa Mashirika na Taasisi nyingi hasa zile za Umma, kutozingatia suala la kuajiri watendaji walio...
4 Reactions
9 Replies
718 Views
Upvote 13
1 Vote
1. Upendo ni kuthamini, Kisicho Thamini, Na sioni Kunufaika, Kwa kuondoa upendo, Bora niondoe kosa, Kuliko upendo, Upendo ni kuthamini, kisicho thaminika. 02. Kuondoa kosa, si maringo...
0 Reactions
2 Replies
573 Views
Upvote 1
2 Votes
Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi...
1 Reactions
2 Replies
385 Views
Upvote 2
7 Votes
1. Acha iende Usije ukaharibu siku yako njema ya leo, siku yenye furaha, siku yenye nuru njema kwa sababu ya siku mbaya ya jana. Jambo linalorudisha sana watu nyuma pengine kimaendeleo...
4 Reactions
8 Replies
863 Views
Upvote 7
0 Votes
Abeid Abubakar Katuni ya Kipanya katika gazeti la Mwananchi Julai 21 mwaka huu ukurasa wa 10, inafikirisha. Ni tafakuri tunduizi. Katuni inamuonyesha kipanya mdogo akisema: Msitusahau kwenye...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Upvote 0
1 Vote
Ni mchakato wa kupanga sera ya fedha na biashara, ambayo mojawapo ya mgao na mfuko wa kuelekea mafanikio. Na kazi ya mpangilio wa kibiashara kwa mfano nyaraka inayoonesha mahitaji ya kifedha...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Upvote 1
1 Vote
Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa...
1 Reactions
0 Replies
395 Views
Upvote 1
1 Vote
UTANGULIZI. Kwanza kabisa,nisemi mimi sio mkinga wala sina vinasaba na wakinga.Ila nimewahi kuishi na wakinga na nimekuwa nikiwauliza masuala mengi. Kutokana na kukaa nao kuna vitu nimejifunza na...
1 Reactions
0 Replies
596 Views
Upvote 1
1 Vote
ELIMU NCHINI TANZANIA Mwandishi: Shida Masuba 1.0. Fasili ya Elimu Kwa mujibu wa sera ya Elimu na Mafunzo (2010:1) inafasili elimu kuwa ni “mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua na...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Upvote 1
0 Votes
Na mwandishi Nosim. Elimu ni ujuzi, utambuzi au maarifa. Kwa kulitambua hili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano waTanzania imejidhatiti katika sekta ya elimu kwa kuipa kipaumbele. Serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
8 Votes
Swali kubwa linaloibuwa mijadala miongoni mwa jamii ni kwa namna gani inawezekana kukidhi mahitaji ya muhimu ya ki-jamii bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao wenyewe. Katika...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 8
6 Votes
“NIPE DILI” NYUMBANI Ni saa tatu asubuhi naamka napiga miayo aaaaaaaahhhhh, naamka toka kwenye kitanda cha nyumbani kwa mzee Wamwise, kinachoniamsha ni kelele za kufoka za mzee Wamwise na mkewe...
5 Reactions
1 Replies
607 Views
Upvote 6
1 Vote
SERA YA MFUMO MPYA WA ELIMU. Binafsi, Kama kijana naumia sana kuona watoto, vijana na watu wengine kwenye jamii zetu wanapoteza uwezo wao wa kipekee walio zaliwa nao eti kisa, MFUMO WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
0 Votes
Abeid Abubakar Asubuhi moja mwaka huu namuona utingo wa lori lenye tela, akihangaika kuvuta kibao kilichowekwa barabarani kuashiria kuwa hapo kuna kituo cha abiria. Lengo lake ni kukipindisha...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Upvote 0
0 Votes
Abeid Abubakar Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika habari iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi la Julai 23, 2022 ukurasa wa 23, alinukuliwa akisema kuwa Watanzania wapo hatarini kupata upofu kwa...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Upvote 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…