Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
Viwanda vidogo vidogo ni miongoni mwa sekta muhimu ambazo zinasaidia saaana kutatua changamoto za uhaba wa ajira na kukuza uchumi wa mtanzania mtu mmoja mmoja. Mfano wa viwanda hivyo ni kama...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Upvote 0
0 Votes
Kwenye maisha kuna vitu vinakuja na kuondoka wakati tukiwa bado tunavihitaji, pia kuna wakati unapaswa kufanya maamuzi magumu kwa ajiri ya mtu mwingine, haijarishi yatakuathiri kiasi gani. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Upvote 0
1 Vote
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathiriwa na janga la UVIKO-19 pamoja na vita kati ya Urusi na Ukraine katika Nyanja ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla. Majanga haya...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Upvote 1
1 Vote
UMUHIMU UTOAJI WA ELIMU YA AFYA NA MAZINGIRA KATIKA JAMII. Mazingira ni jumla ya vitu vinavyomzunguka mwanadamu. Elimu ya mazingira ni namna/taratibu/njia au mafunzo yanayoelekeza njia za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
2 Votes
Katika nchi ya Tanzania tangu tulivyoingia kwenye mabadiliko ya mfumo wa kidunia tulibeba dhana kwamba elimu ni mojawapo wa msingi wa ukombozi wa fikra kati yetu lakini pia elimu ndio nyenzo kuu...
2 Reactions
1 Replies
375 Views
Upvote 2
1 Vote
ELIMU NDANI YA JAMII -Elimu nini? -jamii nini? -faida ya elimu katika jamii nini? -Aina ya elimu na inamahusiano gani ndani ya jamii? Hivi ndio vitu ambavyo tutavizingatia ndani ya andiko hili...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Upvote 1
3 Votes
UHIMU WA KUWEPO KWA DARASA MAALUMU KUHUSU ELIMU YA KUJITEGEMEA KWA VIJANA WA KITANZANIA Ni hali ya kawaida sana kwa jamii ya kitanzania kuona kijana aliyehitimu chuo au masomo yake, au kijana...
2 Reactions
1 Replies
568 Views
Upvote 3
0 Votes
Huu ni Utumwa Katika Elimu. Ni wazi kuwa hakuna umuhimu wa Elimu bure maana cha bure hakina Thamani. Udogoni tumekimbia sana kukwepa kujisomea jioni na wazazi walituacha tu ila hatukujaribu...
0 Reactions
2 Replies
424 Views
Upvote 0
5 Votes
UTANGULIZI Ufugaji Nyuki ni sanaa na ni sayansi pia inayohusisha ukusanyaji , usimamizi na uongezaji wa makundi ya Nyuki kwa lengo la kuzalisha mazao ya mbalimbali ya Nyuki kama vile Asali, nta ...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 5
7 Votes
Kwenye maisha yetu ya kila siku usalama na haki ya kuishi ni jambo muhimu sana kuliko mahitaji yote lakin kwa dunia ya Leo swala la usalama wa maisha linazidi kuwa changamoto kila kukicha. Ni wazi...
6 Reactions
8 Replies
649 Views
Upvote 7
8 Votes
Uraibu hutazamwa kama ugonjwa au utumwa wa ndani unaotokana na hali ya kuzoea kufanya kufanya kitu chenye madhara bila kujizuia . mara nyingi watu huzingatia Zaidi uraibu wa dawa za kulevya na...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 8
2 Votes
(ANDIKO) KUWAJIBIKA SIO USHAMBA, NI HESHIMA. Kutokana na mfumo wetu wa siasa tumeaminishwa lazima mwanasiasa awe msemaji na kiongozi wako, marehemu Mtikila aliona mbali hasa katika kupambania...
0 Reactions
4 Replies
870 Views
Upvote 2
3 Votes
Ni matumaini yangu kwamba ewe msomaji ubuheri Wa afya. Leo nimekuja na makala fupi ambayo itatupa mwongozo na kutufanya tujikwamue Kutoka gizani(kwenye kiza) na kutufanya tuifikie nuru. Makala...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 3
3 Votes
Athari za Matumizi ya Simu Barabarani na Sheria Utangulizi Kulingana na tafiti za Shirika la Afya Duniani(WHO) za mwaka 2022; ajali za barabarani zinaongoza duniani kwa kusababisha vifo, ambapo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 3
2 Votes
ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NA ATHARI ZAKE BY : RASHID ABUNAYA Email : rashidabunaya@gmail.com Assalaam aleykum ndugu wana jamii, Ni matumaini yangu mu buhery wa afya kwa wale mlio na shida za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 2
1 Vote
Kwa sababu hii kurasa inaelezea vingi. Kwenye Maisha sio mapenzi, kazi, mahusiano ya kindugu au siasa tu, ndio vya msingi bali akili ya fedha ni sehemu Mojawapo muhimu. Leo hatutazungumzia...
1 Reactions
0 Replies
616 Views
Upvote 1
5 Votes
Ilikuwa kwamiaka 23 au nazaidi sikumbuki, ninachokumbuka nikwamba ulifanya kila uwezalo kuipatia nchi uhuru, ukaweka jitihada kubwa za kuliunganisha Taifa na mwisho mikakati madhubuti yakuleta...
4 Reactions
7 Replies
810 Views
Upvote 5
0 Votes
Mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla, umeandaliwa kuandaa kundi la watu ambao wataajiriwa. Hivyo kupelekea kutengeneza kundi kubwa la Vijana wasio na ajira kutokana na ushindani...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Upvote 0
3 Votes
Malezi mengi ya watoto kwa sasa yamekua majukumu ya mama hili linachangiwa na sababu mbalimbali ikiwemo talaka, mimba za utoto, ubakaji,utelekezwaji pamoja na mtindo wa maisha. Katika mada ya Leo...
0 Reactions
4 Replies
670 Views
Upvote 3
2 Votes
UCHUMI WA KIMKAKATI WA KIKANDA NA ELIMU KWA WAKAZI WAKE Kwa nionavyo mimi, ili kukuza UCHUMI unahitajika mpango mkakati wa kuzipeleka fursa maeneo jumuishi. Upande wa Mbuga za Wanyama...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Upvote 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…