Michezo ni ajira!
Lakini ni ukweli usio na shaka kua hatuna dira maalumu inayoweza kukuza sekta hii. Badala yake kumekua na siasa na mipango ya zimamoto badala ya maandalizi ya muda mrefu...
Katiba ya nchi yetu inatambua lugha ya kiswahili kama lugha rasmi ya taifa la Tanzania, bado inashangaza sana kuona mikataba ya kazi inaandikwa kwa lugha ya kingereza tu, kwa kutumia jicho la...
MIKATABA YENYE USAWA: JINSI YA KULINDA MASLAHI YA NCHI
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI:
Mikataba ni sehemu muhimu ya uhusiano kati ya nchi na nchi, au kati ya nchi na makampuni. Mikataba...
Ili tuendelee kuilinda amani ya nchi yetu,
Kwanza kabisa viongozi wa nchi wanatakiwa wawe waadilifu, waaminifu pia wawe na hofu ya MUNGU kwa lolote wanalolifanya ili kuwatumi wananchi...
Sekta ya elimu ni moja ya nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na Tanzania haijatengwa katika hilo. Kuleta mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora katika sekta hii ni hatua muhimu...
Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania
Mwandishi: MwlRCT
Utangulizi
Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma...
Katika kijiji cha Dhahabu, kijiji kilichajaa fursa nyingi za kibiashara na kilimo, ina ardhi yenye rutuba na mimea mingi ama kweli jina lake linaakisi uzuri wa kijiji hiko, japokuwa nyumba zao...
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Kuna mabadiliko mengi yanayoweza kufanyika katika maeneo mbalimbali kama afya, elimu, kilimo...
Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio
Mwandishi: MwlRCT
Utangulizi
Umeme ni nguzo ya maendeleo. Umeme unawezesha wananchi wa vijijini kufanya shughuli za kiuchumi, kijamii...
MATUMIZI YA MITA KWENYE MITUNGI YA GESI
Utangulizi
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye hifadhi kubwa ya gesi asilia. Ripoti mbalimbali zinaonyesha kwamba Tanzania inakadiriwa kuwa na gesi asilia...
Tanzania ni nchi ambayo ina utajili wa ardhi na ardhi yetu ina asilimia 80% ya kuzalisha mazao yenye tija kwa nchi pamoja na familia zetu. Nchi yetu ingeweka mipango sahihi wa kuwasaidia vijana...
Maendeleo ya teknolojia yameathiri kila sekta, kuanzia jinsi tunavyoshirikiana na watu wengine hadi jinsi tunavyofanya kazi, na hata jinsi tunavyopata taarifa na kuzitunza au kuzichakata taarifa...
Tanzania, pamoja na eneo kubwa la kijiografia na uchumi unaokua, imetambua umuhimu wa sekta ya usafirishaji kwa maendeleo yake kwa ujumla. Mtandao wa vifaa unaofanya kazi vizuri ni muhimu kwa...
Sekta ya ELIMU ni sekta nyeti sana kwani ndiyo chanzo Cha wataalamu mbalimbali nchini watakaotumika katika sekta nyingine.
Kufuatia umuhimu wake yafuatayo ikiwa yatazingatiwa tutegemee mabadiliko...
Utangulizi
Katika mambo magumu katika nchi nyingi zinazoendelea hasa za Bara la Afrika, ni kujiuzulu au kwa maneno mengine, kuachia ngazi kwa viongozi katika nafasi wanazozishikilia pale ambapo...
Utangulizi
Baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, nikimaanisha wale waliofikia kiwango cha kumiliki makampuni makubwa na/au viwanda vikubwa, wana tabia ya kuwameza wafanyabiashara wadogowadogo, kwa...
ConstantineJ. Samali Mauki
Utangulizi
Serikali za mitaa ni chombo cha utawala wa umma, kilichopewa madaraka ya kuamua na kuendesha shughuli zake katika sehemu ndogo ya nchi au Taifa. Hizi ni...
Utangulizi
Nimesoma machapisho mbalimbali kuhusiana na utajiri wa Afrika, nikagundua Bara la Afrika ni Tajiri kuliko mabara yote duniani. Tumebarikiwa kwa Ardhi kubwa yenye rutuba; na yenye...
Utawala bora na haki za binadamu vinahusiana sana. Kanuni za haki za binadamu hutoa seti ya maadili ya kuongoza kazi ya serikali na watendaji wengine wa kisiasa na kijamii. Pia hutoa seti ya...
Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?
Mwandishi: MwlRCT
1. Utangulizi:
Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa...