Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

4 Votes
Utangulizi Kwa muda mrefu nimekuwa nasikia kampeni ya kuchangia damu kwa hiari kwa ajili ya kuwekeza katika Benki ya Damu Salama, kwa ajili ya kuwaongezea wagonjwa (wenye uhitaji huo)...
3 Reactions
3 Replies
794 Views
Upvote 4
7 Votes
Utangulizi Miaka ya nyuma, magonjwa mengi yasioambukiza yalitawala sana nchi zilizoendelea, magonjwa haya ni shinikinizo la juu la damu, kisukari, saratani, magonjwa ya figo, na kadhalika; ambayo...
6 Reactions
4 Replies
875 Views
Upvote 7
7 Votes
Kuna maneno matatu ambayo ni vigumu sana kuyatenganisha, hata kuyaelezea maana yake ni vigumu kumaliza bila kuhusianisha na neno au maneno mengine kati yake. Maneno haya ni RUSHWA, UBADHIRIFU na...
4 Reactions
8 Replies
838 Views
Upvote 7
8 Votes
VVU ni nini? Hiki ni kifupisho cha neno Virusi vya Ukimwi, na Ukimwi ni kifupisho cha Upungufu wa Kinga Mwilini. Ugonjwa wa VVU/UKIMWI (Virusi vya Ukimwi/ Upungufu wa Kinga Mwilini) umeingia...
8 Reactions
4 Replies
868 Views
Upvote 8
8 Votes
Nimevutiwa kuandika Makala hii kutokana na mjadala unaoendelea hivi sasa, kuhusu mchakato wa bandari ya Dar-es-Salaam kuingia mkataba wa uendeshaji na kampuni ya DP World ya Dubai. Ni habari...
6 Reactions
9 Replies
739 Views
Upvote 8
6 Votes
“Electronic Balloting System (EBS)”, ni mfumo wa kupiga kura kidigitali, yaani kwa kutumia vifaa maalum vya tarakilishi. Mfumo wa kutumia tarakilishi katika uchaguzi sii mgeni hapa Tanzania, kwani...
6 Reactions
9 Replies
581 Views
Upvote 6
5 Votes
Utangulizi Wakati ninasoma, nilidhani kuwa watalii ni lazima wawe wazungu kutoka Ulaya, na pia nilidhani utalii unafanyika katika mbuga za Wanyama pekee. Nikiwa bado shuleni, nilibahatika kwenda...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 5
15 Votes
Kawaida, kwa Tanzania ukizungumza juu ya majimbo, watu wengi hudhani ni yale yanayowakilishwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majimbo ninayozungumzia hapa, ni mikoa...
9 Reactions
16 Replies
958 Views
Upvote 15
7 Votes
JINSI MAFUNZO YA ELIMU KWA VITENDO (FIELD/INTERNS) YANAVYOCHOCHEA UWAJIBIKAJI KWA WAHITIMU NA WASOMI WA ELIMU YA JUU KAZINI HAPA NCHINI. Nchini Tanzania kutokana na ongezeko la vyuo vikuu...
2 Reactions
3 Replies
633 Views
Upvote 7
2 Votes
Utawala bora na uwajibikaji ni mada muhimu ambayo ina athari kubwa katika nyanja mbalimbali za jamii. Mabadiliko katika namna tunavyoendesha mambo yetu ni suala ambalo linapaswa kuhamasishwa ili...
2 Reactions
2 Replies
541 Views
Upvote 2
2 Votes
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika nchi yoyote, ikiwemo Tanzania. Sekta zote nchini zinahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya...
2 Reactions
2 Replies
384 Views
Upvote 2
4 Votes
Utangulizi Kimsingi, maeneo yote ya wazi ni ya umma. Ni maeneo yaliyotengwa na serikali kwa ajili ya shughuli za kijamii na hata kiserikali. Maeneo haya sii lazima yawe tupu; ni maeneo yasiyokuwa...
4 Reactions
2 Replies
397 Views
Upvote 4
8 Votes
Utangulizi Kama nchi nyingine za Afrika, Tanzania ina rasilimali nyingi sana ambazo kama zingetumika vizuri, nchi ingeendelea na Maisha Bora kwa kila Mtanzania yangewezekana. Wakati Mhe. Jakaya...
8 Reactions
8 Replies
493 Views
Upvote 8
0 Votes
Utangulizi Kumekuwa na jitihada kubwa za kuleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali za jamii. Lakini ili mabadiliko haya yaweze kuwa endelevu na yenye manufaa kwa wote, ni lazima kuweka...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Upvote 0
3 Votes
Katika historia, mawasiliano ya umma yamecheza jukumu muhimu katika kuunda jamii, na redio, kwa hakika, imejitokeza kama muhimili wenye nguvu katika kusambaza habari na kuathiri umma, ikileta...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 3
3 Votes
MATUMIZI YA MIFUMO YA KIDIGITALI KATIKA UCHAGUZI & SENSA YA WATU NA MAKAZI. Miongoni mwa mambo mazito katika utekelezaji ususani kwa nchi zinazoendelea ni maswala mazima ya kuendesha na kusimamia...
3 Reactions
2 Replies
572 Views
Upvote 3
0 Votes
Kiongozi ni mtu yeyote anayechaguliwa au kuteuliwa na mtu au watu kwaajili ya kuwaongoza wengine katika misingi ya utawala bora na kuwasimamia wengine katika njia sahihi yenye kuleta mabadiliko...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Upvote 0
3 Votes
UTANGULIZI. Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi. Bunge...
2 Reactions
2 Replies
527 Views
Upvote 3
1 Vote
1. Uwajibikaji Kupitia Ulimwengu wa akili Bandia (AI) Tanzania inaingia katika wakati wa kusisimua ambapo teknolojia za kidijiti, kama vile Ulimwengu wa akili Bandia (AI), zinaweza kuleta...
1 Reactions
1 Replies
274 Views
Upvote 1
1 Vote
Jibu kwangu ni hapana, kwangu naona Tanzania haihitaji katiba mpya sio kwasababu katiba ya sasa hivi ni nzuri hapana. Kuna kitu nahisi Bado hakipo sawa kwanza tujikumbushe kuwa katiba na sheria za...
1 Reactions
1 Replies
261 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…