Utawala bora katika kilimo ni mfumo wa uendeshaji wa shughuli za kilimo ambao unazingatia kanuni za uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji wa wananchi, utawala wa sheria, na ufanisi katika utumiaji wa...
Jambo ni aidia yangu ni wazo zuri natumani utaopokea vyema ni jambo la kuleta maendeleo na faida kwa jamii.
WAFANYA BIASHARA WA CHAKULA; wengi wamekuwa wakipata hasara endapo ile gas ikitokea...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea ambayo imekuwa na changamoto za migogoro ya ardhi kutokana mwingiliano na ongezeko la idadi ya watu hivyo ardhi kugeuka dhahabu. Pamoja na thamani na...
Habari jukwaa,
Ni saa mbili na dakika kumi na tano asubuhi nyuma ya nyumba moja ya vyumba vitatu ya mkazi mmoja katika viunga vya jiji la Amsterdam, Uholanzi, ambapo tunakutana na kundi la watu...
Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa...
Kichwa cha Habari: "Kuendelea Kwa Teknolojia: Mabadiliko Makubwa na Athari Zake"
Teknolojia imekuwa mhimili muhimu katika maendeleo ya kisasa na imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Leo hii...
Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa nchi. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la mjadala na hamasa kuhusu mabadiliko na utawala bora katika nyanja ya elimu...
Wakati wote wa vipindi vya majira ya mwaka hali ya mazingira haikuwa na hiana kwani ilitulia tuli mithili ya maji yaliyomo ndani ya mtungi. Anga tulivu na angavu lenye rangi ya samawati...
Stafeli (soursop), pia inajulikana kama Graviola, ni tunda ambalo asili yake ni Amerika Kusini na Kati. Mti wa mstafeli hutoa tunda kubwa la kijani kibichi na lenye mvuto. Tunda hilo...
Mimi ni fundi ujenzi nimesomea chuo cha ufund Arusha, Mwaka 2018 nilipata kazi ya kitui cha afya umaliziaji wa jengo la mama na mtoto. Nilifanya kazi hiyo nikiwa kama fundi msaidiz kwani alishika...
Mazingira ni eneo lote wanamokaa viumbe, akiwemo mwanadamu pamoja na viumbe visivyo na uhai. Viumbe hai hivi pamoja na vile visivyo uhai hutegemeana ama kwa njia chanya au hasi. Katika kupigania...
Siku moja Heri akiwa katika kutembea alimkuta mwanaume wa makamo akiwa ameketi Kando ya barabara. Mwanaume yule kwa muonekano tu na vile alivyokuwa amekaa pale chini hata wewe ungejua kabisa kuwa...
Nguvu ya Mwanamke Madarakani.
Mwaka wa 2023 ulikuwa mwaka wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania. Watu walikuwa na matumaini makubwa ya kuleta mabadiliko katika serikali na jamii. Walitaka viongozi...
Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji...
Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu
Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya elimu. Ubora wa elimu ulikuwa umeshuka sana. Walimu walikuwa hawana motisha na uwezo...
Picha | Kofi Annan (1938-2018) - kwa hisani ya JOEL SAGET/AFP via Getty Images
UTANGULIZI
Uongozi bora ni muhimu sana katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo. Kama alivyosema Kofi Annan...
Kuna daktari mmoja alikuwa anakaribia kununua nyumba Msasani. Wakati anaendelea na zoezi hilo, ghafla 'taasisi mojawapo ya taasisi zinazopiga kelele', wakaanza makelele yao. Yule dk akaghairi...
Afya ni moja ni moja ya kichochezi katika utawala bora na uwajibikaji katika jamii ivyo maswala ya afya yanaitaji mabadiliko makubwa.
Hivyo maswala ya huduma ya afya yanatakiwa yatolewe kwenye...
mmong'onyoko wa madili kwa watoto
mmong'onyoko wa madili kwa kiasi kikubwauchangiwa na mzazi mlez au mtu wa karibu.
wazazi uchangia kualibika kwa watoto unakuta mzazi anajari kazi zake mda wote...
Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu...