Katika nchi ya Tanzania, uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi.
Uwajibikaji unahusisha uwezo wa viongozi na taasisi za umma kutekeleza...
Sekta ya elimu nchini Tanzania ni msingi muhimu wa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto za kimfumo katika sekta hii, ambazo zimekuwa zikichangia tatizo la ajira...
Kuna haja ya serikali kuvipa vipaumbele vitu muhimu ambavyo vitahitajika katika miradi tarajiwa.
Serikali inasiaid mikataba mikubwa ambayo ilipitisha muundo na bajeti ya mradi fulani bila...
Kama ningepewa nafasi kuongea na viongozi wangu wa Tanzania kuhusu sekta moja inayo hitaji uwajibikaji kati ya sekta nyingi zenye chanagamoto ningechagua kilimo. kwani haya ndio ndio natamani...
Ajira ni kazi au shughuli afanyayo mtu kwa ajili ya kujipatia kipato au fedha kama malipo ya hiyo shughuli hivyo inaweza kuwa ni ofisi za binafsi, serikali, shirika/taasisi kwa mkataba maalum kati...
UTANGULIZI
Umoja wa kitaifa ni hali ya mshikamano kati ya watu wa taifa. Ni hisia ya kuhusishwa na utambulisho wa pamoja ambao huwaunganisha watu na kuwaleta pamoja, bila kujali tofauti zao za...
Picha na Ebony FM
UTANGULIZI
Nafasi ya upinzani katika kukuza uwajibikaji wa chama tawala ni tata na limedumu kuwa swala mtambuka. Vyama vya upinzani vinaweza kuchukua jukumu hili muhimu katika...
Picha: RF studio
DIBAJI
Uwajibikaji ni moja ya nguzo muhimu sana ya ustawi wa taifa lolote duniani. Hata maitaifa makubwa na yenye ustawi kimaendeleo kama Marekani yamezingatia uwajibikaji ili...
Kumekuwa na Malalamiko ya Wastaafu kutokupata Mafao yao kwa wakati huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni Waajiri wanachelewa kuwasilisha michango Kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kusababisha...
Tarehe ni 20 Februari,2023. Majeshi ya urusi yanaivamia Ukraini, moja ya nchi zilizounda umoja wa kisosholisti wa kisoviet (USSR).
Vita hii ilikamikisha utabiri wa wanasiasa wengi kutoka...
Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania
Mwandishi: MwlRCT
UTANGULIZI
a) Muktadha wa mada na umuhimu wake:
Tanzania ni nchi...
Usimamizi ni kitendo cha kuweka watu pamoja ili kutimiza malengo na madhumuni yatakakinayo. Usimamizi unajumuisha Mipango, Maandalizi, Mahusiano, Majukumu n.k baina ya mtu mmoja au kikundi cha...
Matatizo ya Kisaikolojia Yanavyodumaza Utendaji na Kuathiri Uwajibikaji na Utawala Bora
Utangulizi
Matatizo ya kisaikolojia ni changamoto ambazo zinaweza kuathiri utendaji na maamuzi ya watu...
Uwajibikaji na Utawala Bora katika Kilimo ni Nyenzo ya Kuinua Uchumi
Utangulizi
Tanzania, kama nchi inayojivunia utajiri wa rasilimali za ardhi na kilimo, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wake...
MIMI NI NANI?
Naishi maisha katika giza kila nifanyalo haliendi likienda sifikii malengo niliyojiwekea
MIMI NI NANI?
Marafiki wananipoteza sioni ubaya katika wema kila ninaloishi leo ni...
Inaeleweka kwamba mwanafunzi anayepata chakula lishe shuleni humsaidia kuacha utoro, kuwa na afya njema ya akili na mwili, mimba za utotoni na ukatili mwingineo wa kijinsia, na usikivu mzuri...
Miaka ya nyuma sikuwa najua kuwa sio Kila anaekuja kwenye maisha yako basi ni rafiki yako.
Nimesoma shule Moja hivi nikiwaa secondari(ya wasichana tu)kiukweli nilikuwa mpweke sana kwa sababu...
MABORESHO SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL)
Shirika la ndege tanzania (ATCL)
Ni shirika la kiserikali linalojihusisha na usafirishaji kwa wa mizigo na watu kwa njia ya anga lililopo chini ya...
UHABA WA DAWA NA VIFAATIBA NI KILIO KIKUBWA KWA JAMII NI VYEMA SERIKALI KUHAKIKISHA HALI HII INAKOMA
Utangulizi
Uhaba wa dawa na vifaatiba kwenye hospitali, zahanati na vituo mbalimbali vya afya...
Utawala Bora na Uwajibikaji katika Kuenzi Rasilimali za Asili na Uhifadhi wa Mazingira
Utangulizi
Rasilimali za asili na mazingira ni hazina muhimu kwa maendeleo na ustawi wa jamii na taifa...