Kila kukicha tunasikia neno Utawala bora, na ni ndoto ya kila taifa kutamani kuwa na utawala bora. Lakini ndoto hiyo imebakia kuwa kama ndoto ya mchana kutokana na ubadhilifu unaofanywa na...
KUWAJIBIKA KWA SERIKALI KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU
Utangulizi
Katika enzi hii ya maendeleo, dunia imekabiliwa na changamoto kubwa za kijamii, kiuchumi, na kimazingira...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA.
Wazia nchi ambayo uwazi na uwajibikaji huunda msingi wa utawala wake. Wananchi wana ufikiaji kamili wa taarifa kuhusu jinsi fedha zao za kodi zinavyotumiwa, na ufisadi...
Afya ya msingi(PHC)
Upatikanaji wa huduma ya afya na mipango ya afya ya msingi katika ngazi ya jamii, Zahanati,na vituo vya afya ni changamoto ngumu sana katika nchi zinazoendelea. Utawala Bora...
Utawala bora ni mchakato wa kupima jinsi taasisi za umma zinavyoendesha shughuli zake, kusimamia rasilimali za umma na kuhakikisha utekelezwaji wa haki za binadamu kwa njia ambayo kimsingi haina...
Teknolojia za kidijitali ni sehemu ya Maisha yetu, na zina uwezo mkubwa sana wa kuboresha afya-za-watu iwapo zitatumika katika sekta-ya-afya.
Mkakati-wa-kimataifa kuhusu Afya ya Kidijitali...
Nimekuwa nikijiuliza haya maswali muda mrefu mimi kama Mtanzania nisiweze kuyapatia majibu thabiti kutokana na kuona jinsi hali ya mazingira yaliyotuzunguka yalivyo ni kutokana na ongezeko kubwa...
Edogun Mzalendo ni kijana wa miaka ishirini na minne, muhitimu wa stashahada ya sayansi ya kompyuta na mmiliki wa steshenari ndogo inayopatikana mjini Kahama.
Ni miaka miwili tu imepita toka...
Ufuatiliaji wa kijamii njia kwa wagonjwa na jamii nzima kuangalia kama programu za afya na huduma za afya zinafaa/zinafikiwa na kila mtu, ni za ubora mzuri na zina matokeo yanayotarajiwa.
Kanuni...
Katika nchi ya Tanzania, uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Uwajibikaji unahusisha uwezo wa viongozi na taasisi za umma kutekeleza majukumu...
Ni dhahiri kua mapambano dhidi ya Mifumo kandamizi umekuepo tangu zamanI baada tu ya harakati za kudai uhuru kumalizika, japokua wanawake walikua wakishiriki bega kwa bega na wanaume kudai uhuru...
Tanzania ni moja ya nchi duniani inayotumia mfumo wa uongozi wa demokrasia. Na mfumo huu ulianza haswa kuvuma miaka ya 1990 baada ya kurudishwa mfumo wa vyama baada ya miaka thelathini katika...
Sekta ya madini ya Tanzania ni mchangiaji muhimu katika uchumi wa nchi, hasa kutokana na juhudi za wachimbaji wadogo wanaofanya kazi kwa uhuru. Katika uchambuzi huu wa kina, tunaangazia masuala...
Picha: Gazeti la Mtanzania
UTANGULIZI.
Katika jamii, familia ni msingi thabiti wa ujenzi wa maadili na tabia za kijamii na kizazi kijacho. Kama vile jiko linavyokuwa kitovu cha mapishi, familia...
Mwandishi MZT company limited, kazi za jamii.
Yanachochea mabadiliko katika utawala bora.
UZAZI WA MPANGO NI NINI?
Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari unaofanywa na mtu binafsi, mwenzi au wote...
NPHI Card ni KADI ya kielectroniki inayotumia umeme na mtandao (Intermet data) lli mtu aweze kusoma/kuingia ndani ya kadi na kupata taarifa zilizopo ndani yake, utatengenezwa mfumo usioshikika kwa...
Mtandao umekuwa sehemu muhimu ya Maisha yetu ya kisasa, ukiathiri kila kona ua jamii, elimu, na biashara. Kupitia mtandao , watu wanaweza kuwasiliana, kujifunza, na kufanya kazi kwa njia isiyo ya...
Wahenga wanasema utamu wa ngoma uingie ucheze, ukweli wa jambo kama halijakukuta wewe wakati mwingine ni ngumu kumuelewa Yule anaelipitia, katika maisha yangu sikuwahi kuwaza kama kuna siku uzazi...
Msingi wa mafanikio na maendeleo ya mtu mmoja mmoja mpaka taifa zima ni afya bora, hakuna shughuli yoyote ambayo binadamu anaweza kuifanya pasipo kuwa na mtaji namba moja ambao ni afya.
Katika...
Utangulizi:
Tanzania ni nchi iliyopo Afrika Mashariki. Nchi hii imejikita katika kukuza maendeleo na ustawi wa wananchi wake.
Mojawapo ya nguzo muhimu katika kufanikisha lengo hili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.