Utawala bora na uwajibikaji ni vipengele muhimu kwenye utendaji thabiti wa sekta yoyote pamoja na sekta ya elimu. Utawala bora unahusu taratibu na miundo inayotumika katika kufanya maamuzi na...
Uongozi ni mfumo rasmi ulikubaliwa na jamii ili kuendesha shughuli mbalimbali za kijamii Kwa manufaa ya jamii.
Dhana ya uongozi ni mtambuka , mosi mfumo wa jamii unaweza amua namna ya uongozi...
Je, Elimu ni ufunguo wa kufungua milango? Na ni milango ipi haswa, ya maisha?
Kuna mwimbo maarufu uliimbwa ukisema Elimu ni mwanga, kana kwamba unatuangazia kwenye giza, na sio kwenye mwanga...
Miaka takribani kumi iliyopita nilipoteza ndugu ambaye alikuwa ni mhanga wa madawa ya kulevya na kilichotokea ni kuwa aliugua ghafla na alipofika hospitali walimpatia matibabu bila kujua kuwa...
SERIKALI za Mitaa hutafsiriwa kama vyombo vya wananchi ambavyo huundwa kwa ajili ya kuwajibika kwa wananchi.
Hapa nchini vyombo hivi vimeanzishwa kwa Ibara ya 145 na 146 ya Katiba ya Jamhuri ya...
Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza Kunavyotishia Mustakabali wa Taifa Letu
Mwandishi: MwlRCT
1. Utangulizi
Je, unajua kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha...
Kuongeza uwajibikaji katika sekta ya elimu ni jambo muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii. Hatua za kuboresha uwajibikaji zinahitaji kufanywa katika ngazi zote za mfumo wa elimu...
Afya bora kwa wote ni lengo muhimu katika kujenga jamii yenye ustawi na maendeleo endelevu. Utawala bora ni msingi wa kufanikisha lengo hili kwa kuweka mifumo imara na inayozingatia usawa katika...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA
Utangulizi
Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu...
Katika shule ya sekondari Muungano,mwalimu Ndamo alikuwa yuko darasani na alikuwa anamalizia kipindi katika somo la Historia,alikuwa anaacha kazi kwa ajili ya wanafunzi kuifanya na ndipo wavulana...
Tangu kuanzishwa kwa teknolojia ya kidijitali, maisha yetu yamepata mabadiliko makubwa. Tunashuhudia mabadiliko haya katika kila nyanja ya maisha, ikiwa ni pamoja na sekta ya afya. Leo hii...
DIBAJI
Tanzania ni nchi yenye historia kubwa na ya muda mrefu ya urasimu ambao umeanza toka kipindi cha ukoloni. Ukiangalia urasimu huu ulipandikizwa na wakoloni ili iwe rahisi kuitawala na...
Je, wajua kuwa afya ni miongoni mwa rasilimali muhimu? Kujali afya ya kila mmoja ni jukumu la kila mtu.
Hivi karibuni, watu wengi wamekuwa wakiugua magonjwa yasiyoambukiza ambayo baadhi yao tuko...
Utawala Bora ni dhana inayohusu utawala mzuri na wa haki, ukiwezesha ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya serikali yao na kuimarisha mifumo ya kisheria na utawala. Inalenga kuendeleza utawala...
“Mimi ni msanii, mimi ni msanii,
Kioo cha jamii, kioo cha jamii,
Mimi naona mbali, mimi naona mbali,
Kwa darubini kali, kwa darubini kali.”
Nani anakumbuka huu wimbo? Mimi ninaukumbuka sana. Enzi...
Tunaposema Uwajibikaji ni kitendo Cha kutimiza majukumu Fulani husika Kwa maslahi binafsi au ya jamii husika. Kilimo ni uzalishaji wa mazao ya biashara na ya chakula. Kilimo ni sekta muhimu...
Hali ilivyo sasa.
Sheria za Kodi ya Tanzania inaelekeza ulipaji wa Kodi kwa Kampuni zote zinazoanzishwa (changa) kuwa sawia na kampuni kongwe kama Tanzania Breweries Ltd (TBL), Vodacom Tanzania...
NDUGU watanzania tumempuuza Hekima tusiweze kubaini kati ya jema na baya.tusimpuuze Hekima kwasababu ni mng’ao wa mwanga wa milele, kioo Safi cha matendo ya Mungu na mfano wa wema wake .ingawa...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KULETA TIJA KWENYE SEKTA YA MICHEZO NA SANAA KWA MASLAHI YA UMMA NCHINI TANZANIA
Utangulizi
Sekta ya michezo na sanaa ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha...
Malezi ni jambo ambapo Kila mtu/mwanajimii anapaswa kulitimiza. Malezi pia hutafsiria kwa namna tofauti kulingana na mtazamo wa wahusika, ngazi za elemu na pia aina za kazi au kipato hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.