Kuna ukakasi fulani kuhusu matumaini; yanakufanya uamini utamu unaowezekana- ikiwa tu uking’ang’ania zaidi- kabla hujavunjika moyo. Kisha yanachipua tena, na muda huu- kama tochi yenye betri...
HABARI WADAU
Natumai mu wazima, nimefurahia kujitokeza tena kwenye kinyang'anyiro cha shindano hili
hapa jukwaani.
Nijikite kwenye mada tajwa hapo juu isemayo: "Uwajibikaji mahali pa kazi hulete...
Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo...
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu...
Constantine J. Samali Mauki
Utangulizi
Nikiwa mtoto, nilijua watu wanaosafiri kwa ndege ni watalii (kwa maana ya wazungu), matajiri, na viongozi wakubwa wa Serikali. Nilipokuwa mkubwa na mpaka...
Utaratibu wa uteuzi kwa jinsi mamlaka husika itakavyoona inafaa huenda ulifaa sana miaka ya zamani kutokana na uhaba wa wasomi na sababu za kiusalama. Kwa miaka ya sasa ambapo mbinu za kiusalama...
Uboreshaji wa Mfumo na Muongozo wa Utoaji wa Taarifa za Serikali nchini Tanzania.
Utangulizi.
Habari ndugu wana JamiiForums! Karibuni tujumuike katika chapisho hili lenye lengo la kuchunguza na...
Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili vijana nchini Tanzania. Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Ajira (NEMA) zinaonyesha kuwa asilimia 16.1 ya vijana nchini Tanzania...
A: UTANGULIZI.
Usafiri ni hali ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa madhumuni mbalimbali.
Maendeleo ni hali ya kukua kifikra, kiuchumi, siasa, kijamii au kiutamaduni kutoka...
UTANGULIZI.
Maafa ni madhara yanayotokana na janga ambayo yanajumuisha uharibifu wa mfumo wa kawaida katika jamii ambao husababisha vifo, majeraha, madhara ya kisaikolojia,, upotevu au uharibifu...
Mapungufu na mapendekezo usafiri wa Mabasi yaendayo kasi(UDART) nchini Tanzania
Heshima zenu wote Wakuu,
UTANGULIZI
Binafsi nikiwa mmoja kati ya wasafiri wanaotumia mabasi yaendayo kasi...
Kijiji kidogo Magharibi mwa Tanzania kilikumbwa na changamoto ya ukame na upungufu wa mavuno. Kundi la vijana chini ya uongozi wa Juma liliongoza harakati za kuleta mabadiliko. Walianzisha kilimo...
UTANGULIZI
Imetokea mara nyingi tumesikia Rais akiteua au kuchangua watu mbalimbali kushika nyadhifa serikalini au pengine watu kuitwa kwenye usaili wa kazi ili kuchambua na kupata wafanyakazi...
Picha; The chanzo.
UTANGULIZI
Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia...
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote, na sekta ya kilimo haipo nyuma. Tanzania, kama nchi inayotegemea kilimo kwa kiasi kikubwa katika uchumi wake, inahitaji...
Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu linalofanywa na serikali kwa lengo la kukusanya takwimu sahihi na za kina kuhusu idadi ya watu na makazi, na tabia zao.
Sensa hutoa taarifa muhimu kwa...
Mabadiliko yanayoweza kufanyika kwenye mazingira ili kuchochea utawala bora au uwajibikaji
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Katika...
Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza...
UHAMISHO WA KUBADILISHANA UNAWANYIMA HAKI WATUMISHI
Nikiwa kama mkereketwa sipendezwi sana na mfumo wa watumishi kuhama (hasa walimu) wanapohitaji kuhama kwa lengo la kupata changamoto mpya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.