Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

1 Vote
Utawala bora na uwajibikaji ni vipengele muhimu kwenye utendaji thabiti wa sekta yoyote pamoja na sekta ya elimu. Utawala bora unahusu taratibu na miundo inayotumika katika kufanya maamuzi na...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Upvote 1
0 Votes
Uongozi ni mfumo rasmi ulikubaliwa na jamii ili kuendesha shughuli mbalimbali za kijamii Kwa manufaa ya jamii. Dhana ya uongozi ni mtambuka , mosi mfumo wa jamii unaweza amua namna ya uongozi...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Upvote 0
0 Votes
Je, Elimu ni ufunguo wa kufungua milango? Na ni milango ipi haswa, ya maisha? Kuna mwimbo maarufu uliimbwa ukisema Elimu ni mwanga, kana kwamba unatuangazia kwenye giza, na sio kwenye mwanga...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Upvote 0
1 Vote
Miaka takribani kumi iliyopita nilipoteza ndugu ambaye alikuwa ni mhanga wa madawa ya kulevya na kilichotokea ni kuwa aliugua ghafla na alipofika hospitali walimpatia matibabu bila kujua kuwa...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Upvote 1
0 Votes
SERIKALI za Mitaa hutafsiriwa kama vyombo vya wananchi ambavyo huundwa kwa ajili ya kuwajibika kwa wananchi. Hapa nchini vyombo hivi vimeanzishwa kwa Ibara ya 145 na 146 ya Katiba ya Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Upvote 0
4 Votes
Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza Kunavyotishia Mustakabali wa Taifa Letu Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi Je, unajua kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha...
4 Reactions
5 Replies
662 Views
Upvote 4
0 Votes
Kuongeza uwajibikaji katika sekta ya elimu ni jambo muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii. Hatua za kuboresha uwajibikaji zinahitaji kufanywa katika ngazi zote za mfumo wa elimu...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Upvote 0
0 Votes
Afya bora kwa wote ni lengo muhimu katika kujenga jamii yenye ustawi na maendeleo endelevu. Utawala bora ni msingi wa kufanikisha lengo hili kwa kuweka mifumo imara na inayozingatia usawa katika...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Upvote 0
1 Vote
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA Utangulizi Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Upvote 1
3 Votes
Katika shule ya sekondari Muungano,mwalimu Ndamo alikuwa yuko darasani na alikuwa anamalizia kipindi katika somo la Historia,alikuwa anaacha kazi kwa ajili ya wanafunzi kuifanya na ndipo wavulana...
1 Reactions
2 Replies
452 Views
Upvote 3
2 Votes
Tangu kuanzishwa kwa teknolojia ya kidijitali, maisha yetu yamepata mabadiliko makubwa. Tunashuhudia mabadiliko haya katika kila nyanja ya maisha, ikiwa ni pamoja na sekta ya afya. Leo hii...
1 Reactions
1 Replies
288 Views
Upvote 2
14 Votes
DIBAJI Tanzania ni nchi yenye historia kubwa na ya muda mrefu ya urasimu ambao umeanza toka kipindi cha ukoloni. Ukiangalia urasimu huu ulipandikizwa na wakoloni ili iwe rahisi kuitawala na...
6 Reactions
13 Replies
741 Views
Upvote 14
3 Votes
Je, wajua kuwa afya ni miongoni mwa rasilimali muhimu? Kujali afya ya kila mmoja ni jukumu la kila mtu. Hivi karibuni, watu wengi wamekuwa wakiugua magonjwa yasiyoambukiza ambayo baadhi yao tuko...
1 Reactions
0 Replies
538 Views
Upvote 3
0 Votes
Utawala Bora ni dhana inayohusu utawala mzuri na wa haki, ukiwezesha ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya serikali yao na kuimarisha mifumo ya kisheria na utawala. Inalenga kuendeleza utawala...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Upvote 0
0 Votes
“Mimi ni msanii, mimi ni msanii, Kioo cha jamii, kioo cha jamii, Mimi naona mbali, mimi naona mbali, Kwa darubini kali, kwa darubini kali.” Nani anakumbuka huu wimbo? Mimi ninaukumbuka sana. Enzi...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Upvote 0
2 Votes
Tunaposema Uwajibikaji ni kitendo Cha kutimiza majukumu Fulani husika Kwa maslahi binafsi au ya jamii husika. Kilimo ni uzalishaji wa mazao ya biashara na ya chakula. Kilimo ni sekta muhimu...
1 Reactions
2 Replies
613 Views
Upvote 2
1 Vote
Hali ilivyo sasa. Sheria za Kodi ya Tanzania inaelekeza ulipaji wa Kodi kwa Kampuni zote zinazoanzishwa (changa) kuwa sawia na kampuni kongwe kama Tanzania Breweries Ltd (TBL), Vodacom Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
463 Views
Upvote 1
1 Vote
NDUGU watanzania tumempuuza Hekima tusiweze kubaini kati ya jema na baya.tusimpuuze Hekima kwasababu ni mng’ao wa mwanga wa milele, kioo Safi cha matendo ya Mungu na mfano wa wema wake .ingawa...
1 Reactions
1 Replies
393 Views
Upvote 1
1 Vote
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KULETA TIJA KWENYE SEKTA YA MICHEZO NA SANAA KWA MASLAHI YA UMMA NCHINI TANZANIA Utangulizi Sekta ya michezo na sanaa ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Upvote 1
1 Vote
Malezi ni jambo ambapo Kila mtu/mwanajimii anapaswa kulitimiza. Malezi pia hutafsiria kwa namna tofauti kulingana na mtazamo wa wahusika, ngazi za elemu na pia aina za kazi au kipato hivyo...
1 Reactions
0 Replies
872 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…