Huu ni mradi bunifu wa kuitangaza Tanzania kwa njia ya vitabu, kwamba vitabu vinavyohusu hadithi na matukio ya kitalii, vivutio, wanyama pekee, picha za maeneo ya kitalii vitakuwa katika simulizi...
Nchi yetu Tanzania, ni fahari ya Watanzania,
Lazima tujue mipaka, na tusifanye mzaha,
Siasa iwe njia, njia ya kuleta ufanisi,
Lakini taaluma iheshimike, na isiburuzwe na siasa.
Uongozi bora ni...
Bila mapinduzi ya elimu, Tanzania tuitakayo ni ndoto ya mchana
Yapo mengi ninayoyataka nchini kwetu lakini, hatimaye, Tanzania tuitakayo itajengwa na watoto na vijana wetu na waitakayo wao. Na...
Tunafahamu kuwa kilimo ndiyo sekta kubwa hapa nchini Tanzania ambayo imeajiri watu wengi sana kuliko sekta yoyote nchini hivyo basi ili wananchi wajikwamue kupitia sekta hii muhimu kabisa ni...
Bila shaka ni kwamba tunahitaji dira ya maendeleo itakayotuongoza kwa kipindi cha muda fulani,ili kufikia Malengo thabiti yenye maslahi mapana kwa nchi.
je tuna sera imara ambazo zitawabana...
Ni wazi kwamba Ajira kwa vijana imekuwa ni kilio kwa kila Familia hapa nchini.
Na hata kuwa Agenda/Fursa kwa wanasiasa pia.
Ila mwiba wa hicho kilio kinapaswa pia kianzie na sera madhubuti...
Kuijenga Tanzania imara miaka mitano hadi ishirini na tano ijayo yaweza kuwa kama ndoto za chizi maarufu hapa nchini kuota kawa Rais wa nchi hii hapo baadae endapo tatizo la uogozi mbovu...
Utangulizi
Rushwa ni tatizo kubwa linaloathiri maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Licha ya juhudi za serikali na taasisi mbalimbali kama TAKUKURU, wananchi wengi hawaripoti vitendo...
Serikali pamoja na taasisi zake zote inapaswa kuwa mstari wa mbele kwenye matumizi ya wataalam inayozalisha na ijikite kwenye kuwazalisha na kuwatumia.
Sekta nyingi za kiserikali zimekuqa na...
Ningefikiria zaidi juu ya kazi ya Urais kuwa na muda wa kutulia zaidi ofisini licha ya shughuli za kila siku za Rais ofisini, hii itampa muda zaidi wa kuyapitia mambo mbalimbali yahusuyo uamuzi wa...
Kwanza nipende kuwapongeza serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Elimu Zanzibar, wizara ya Elimu Tanzania na Taasisi zake zote za Elimu katika kuendelea kuboresha mifumo ya Elimu.Pia niwapongeze...
Monetary savings by individuals is a crucial issue since it calls for every individual to develop personal discipline in creating savings on the earnings one gets through salaries, businesses...
Introduction
In the pursuit of the 'Tanzania We Want,' combating corruption and fraud stands as a paramount challenge. Corruption undermines social cohesion, hampers economic progress, and erodes...
Awali ya yote shukrani za kipekee ziende Kwa JamiiForums kwa jukwaa hili lenye lengo chanya katika kufikia Tanzania tuitakayo, katika kuifikia Tanzania tuitakayo nitagusia katika sekta kadhaa...
Healthcare is a cornerstone of any thriving society, and Tanzania, with its diverse population and unique challenges, is no exception. Over the next 25 years, the transformation of Tanzania's...
Hivi karibuni,tumeshuhudia wingi wa ofisi ndongo ndogo za mikopo katika nchi Yetu,mikopo iliyopewa majina tofauti tofauti,lakini ikiwa inasadifu ugumu wa mikopo iyo katika urejeshwaji wake. Hapa...
Utangulizi
Elimu ina umuhimu mkubwa katika kuunda maisha ya baadaye ya mtu binafsi. Inatoa maarifa na ujuzi, na pia husaidia katika ukuaji wa kibinafsi na maendeleo. Pamoja na umuhimu wake, baadhi...
HUsika na kichwa cha habari hapo juu, Taifa la Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayokuwa kwa kasi sana africa na africa mashariki
Lakin mbali na ukuaji wake bado kuna maeneo hasa miji iliyopo...
Tanzania has a rich history, culture, and potential, but why does it continue to adopt Western frameworks that frequently fail to meet the country’s complicated tapestry of needs and aspirations...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.