Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

1 Vote
Hii ina maanisha kuwa endapo serikali yetu kwa pamoja na mashirika binafsi au hospital binafs zinaajiri wataalamu kwa ajili ya kutoa elimu au ushauri kwa vyanzo vya magojwa hii itasaidia...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Upvote 1
1 Vote
TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Upvote 1
1 Vote
utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Upvote 1
2 Votes
KWANINI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WATANZANIA WASIJIANDIKISHIE NIDA Kubadilisha mavazi, Tabia, Magari, Nyumba na Majumba sio dhambi na sio kosa kisheria kama vitu vyote vyako hivyo...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Upvote 2
2 Votes
Kabla ya yote, nachukua nafasi hii kumshukuru allah (sw) kwa kunijaalia uzima wa afya na uhai pia kuniwezesha kushiriki katika shindano hili la kuandika andiko la kutoa mawazo ya kibunifu kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Upvote 2
6 Votes
Tanzania ni mojawapo ya nchi zilizo na idadi kubwa ya mifugo barani Afrika. Sekta ya ufugaji ni muhimu sana katika uchumi na maisha ya watu wa Tanzania. Idadi kubwa ya mifugo inajumuisha ng'ombe...
3 Reactions
1 Replies
670 Views
Upvote 6
2 Votes
Mambo matano ya kuyafanya 1. Kuweka mkazo katika sera zake za uendeshaji wa mashirika binafsi kuzalisha malighafi za viwandani kama alizeti, miwa pamoja na mazao ya chakula. 2. Kupunguza ushuru...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Upvote 2
2 Votes
UTANGULIZI Katika nchi yeyote duniani ili kuendelea ni lazima iwe na katiba nzuri na yenye kujali maslahi makubwa ya wananchi , bila hivyo tutajidanganya wote tunafahamu kuwa katiba nzuri ndo...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Upvote 2
2 Votes
Kwa kuzingatia ombi lako, "Tanzania Tuitakayo": --- Tanzania, nchi yenye utajiri wa asili na utamaduni, imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika miaka ya hivi karibuni. "Tanzania Tuitakayo"...
2 Reactions
4 Replies
340 Views
Upvote 2
3 Votes
Katika Tanzania tuitakayo Serikali iboreshe katika sekta ya kilimo kwani ndio uti wa mgongo katika kuimalisha uchumi wa nchi yetu. Mambo yakufanyiwa kazi ni pamoja na:- 1. Kutoa elimu juu ya...
1 Reactions
1 Replies
265 Views
Upvote 3
6 Votes
Sehemu ya Kwanza: Kuanzisha Misingi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inaendelea na safari yake ya kufikia ustawi na maendeleo endelevu. Safari hii imejaa changamoto na fursa, lakini kwa...
0 Reactions
1 Replies
309 Views
Upvote 6
3 Votes
Mara kadhaa kama jamii tumejikuta tukiwa na dhana mbaya sana kuhusu maafisa usalama hususani ni askari polisi, mgambo na kadhalika. Takwimu nyingi zimeonesha kuwa jamii haina imani kabsa na...
1 Reactions
2 Replies
687 Views
Upvote 3
3 Votes
Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Upvote 3
0 Votes
Umma utafanikiwa pengine ukapiga hatua kama utatambua thamani ya kuwapa madaraka watu wa miongoni mwao, wenye uwezo yakinifu, waliojawa na imani ya chachu ya kutaka mabadiliko na wakatambua...
0 Reactions
1 Replies
182 Views
Upvote 0
2 Votes
Tanzania Tuitakayo: Mawazo ya Kibunifu kwa Mabadiliko Tanzania ni nchi tajiri yenye rasilimali nyingi na watu wenye jitihada na uwezo mkubwa. Hata hivyo, ili tuweze kufikia Tanzania Tuitakayo...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Upvote 2
3 Votes
jiolojia imekuwa ikiwa nyuma katika vipaumbele vya maendeleo ikilinganishwa na wanasayansi na wahandisi katika nchi nyingi, ikiwa ni pamoja na Tanzania. Sekta ya jiolojia mara nyingi inakabiliwa...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
Upvote 3
1 Vote
Kuelekea uchumi wa viwanda Tanzania ina ulazima wa kusimama imara katika nyanja mbalimbali za ubunifu wa kiteknolojia, uwepo wa nguvu kazi, malighafi, wawekezaji, ambapo tegemezi lake Kubwa ni...
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Upvote 1
1 Vote
"Tanzania, njia ya mafanikio, tunakumbatia fikra mpya, tukiendeleza rasilimali zetu na uvumbuzi. Kwa miaka ishirini na tano ijayo, tunajiwekea malengo ya kubadilisha uchumi wetu kupitia viwanda...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Upvote 1
1 Vote
In the heart of East Africa, Tanzania stood poised at a crossroads, facing the dawn of a new era—Tanzania Tuitakayo, the Tanzania we desire. With a vision set on the horizon of the next five years...
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Upvote 1
5 Votes
UTANGULIZI Magonjwa yasiyoambukizwa ni magonjwa ambayo hayatokani na kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwengine. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani, magonjwa...
0 Reactions
2 Replies
469 Views
Upvote 5
Back
Top Bottom