Safina Inayozama
"Ni majira ya saa 10 jioni kikao kinakaliwa cha kuweka mikakati wa maendeleo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo, lakini kinachowashangaza wazee wa Kijiji cha Wafagiliaji Wanashangazwa na...
1. Kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia kijiji mbaka serikali kuu.
2.wanawake kupewa kipaumbele katika nafasi za vyama vya siasa katika kutenda haki...
STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4)
Andiko linahusu Tanzania tuitakayo
Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni;
Afya...
Salaam Wanajamvi
Kuelekea ujenzi wa Tanzania ile tunayotaka, Mimi napenda kuchangia mawazo yangu na kufungua mjadala katika suala zima la utatuzi wa ajira hapa nchini. kati ya changamoto kubwa...
Utangulizi:
Katika ulimwengu uliounganishwa, mawasiliano bora ni muhimu kwa ajili ya kukuza mahusiano ya kimataifa na kukuza fursa za maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kielimu, afya, teknolojia...
UTANGULIZI
Urithi wa Jeshi la Polisi wa kikoloni umekuwa na athari kubwa katika utendaji na muundo wa jeshi la polisi la Tanzania. Wakoloni walianzisha mtindo wa polisi ambao uliundwa kwa misingi...
Mageuzi tunayohitaji ya Vyombo vya Habari katika Jamii ya Kitanzania kuanzia Sasa mpaka miaka ijayo
Mwandaaji: Johnson Paulo Meibaku
Itakapofika mwaka wa 2029, Tanzania inahitaji mabadiliko...
Tanzania Tuitakayo, huweza kuja kwa kuwa na taifa moja ambalo ni rafiki zaidi ya ndugu (Special Relationship) kama urafiki (Special Relationship) uliopo kati ya mataifa yaliyoendelea zaidi...
Tanzania bado tuna changamoto katika suala zima la elimu ikiwa ni pamoja na mazingira mabovu ya kujifunzia, uchache wa vifaa bora vya kufundishia nakujifunzia, uchache wa shule katika baadhi ya...
Serikali katika suala la elimu ihakikishe
Inatatua changamoto ya uhaba wa walimu kwa baadhi ya shule
Ukosefu wa vifaa vizuri vya kufundishia na kujifunzia
Kuongeza mashule hususani katika maeneo...
UZURI NA UBAYA WA MTI NI MWONEKANO WA MATAWI YAKE
Serikali kuu inafinyangwa na serikali ndogo ndogo pamoja na sekta mbalimbali zilizopo nchini.
Hivyo zikiweka taswira hasi kiutendaji basi zijuwe...
Tanzania, tuitakayo kwa miaka ishirini na mitano (25) ijayo;
SIASA;
1.Mfumo wa upigaji kura wa elektroniki,
Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya...
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi yetu ya Tanzania kila wilaya kwasasa wanafunzi wetu wanapofaulu wanauhakika wa kuendelea na kidato cha kwanza pia na ukaribu wa sehemu...
Hata sidhani kama story itatosha kitabu, ila kiuhalisia mitandao ya kijamii na teknolojia kiujumla imebadilisha dira nzima ya Tanzania. Hivyo kupelekea tamaduni na mila halisi walizoacha kina babu...
Kwa kiasi kikubwa haiwezi kupingika ya kuwa ili tuwe na Tanzania bora tunayohitaji lazima tuweke nguvu kubwa katika swala zima la malezi ya watoto na vijana kwani wao kwa kiasi kikubwa ndio...
UTANGULIZI
Huduma za afya nchini Tanzania zimekuwa za mbovu hali ambayo inapelekea wananchi wa kawaida kulalalamikia serikali kila mara na wengine kushindwa kuhudhuria shughuli za kimaendeleo...
Fundi Cherehani (Tailor) na Fundi Mbao (Carpenter) ni mafundi wenye maajabu.
Wewe kama huamini haya maneno au hujawahi kuona maajabu yao basi mtafute ndungu yako au rafiki yako wa karibu amabaye...
Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu...
Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.