Nchini Tanzania ukiwazungumzia vijana asilimia kubwa utawakuta kwenye sekta ya utamaduni, sanaa na michezo, wengi wanashiriki katika michezo, muziki, maigizo, ucheshi na sanaa nyingine hali...
UTANGULIZI
Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma...
From Conflict to Coexistence: Tanzania's 15-Year Vision for a Wildlife-Integrated Urban Future
The air in Arusha's bustling marketplace hangs thick with the scent of ripe mangoes and diesel fumes...
Tanzania ni nchi ambayo inahamasisha sana katika utunzaji wa mazingira. Maeneo ya miji mikubwa kama DAR ES SALAAM, ARUSHA na MWANZA wanapambana ipasavyo kuhakikisha mazingira yanakuwa safi, na...
Utangulizi
Watoto wa kike nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika safari yao ya maisha. Changamoto hizi huanzia chini kabisa kwenye malezi na ukuaji wao na huzidi kuibuka...
Tanzania, kama nchi ambayo ukuaji wake wa kiuchumi unategemea sekta mbalimbali basi Masoko ya jumla yana nafasi kubwa na chanya katika pato la Taifa, kwani ukusanyaji wa mapato huwa ni kwa kiasi...
Tanzania ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali barani Afrika. Ni nchi iliyojaliwa raslimali nyingi kama madini, maji, misitu, mbuga za Wanyama na watu...
Kariakoo ni soko kubwa Afrika mashariki na kati kutokana na haswa ikichagizwa na ubora wa bandari yetu ya Dar es salaam kupitisha asilimia kubwa ya mizigo yote kwa Afrika mashariki na kati.
Soko...
Kiukweli watumishi watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi wanakubwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi,kijamii,kisiasa na kiuchumi pia suala hili serikali isipolipa uzito mapema matokeo...
Tanzania ni nchi iliyo barikiwa sana ilikuifikia Tanzania tuitakayo ,ningependa kutoa maoni yangu katika secta ya madini Nchi yetu ina madini ya kutosha hususani madini ya chuma yanayo patikana...
Taasisi ya elimu ingeandaa masomo ya kizalendo kwa watoto sio ti stadi za kazi.Watoto wanabidi wafundishwe uzuri wa nchi yao na pia kupenda nchi yao maana ndio urithi wao ni kazi yao kuilinda...
Watanzania tunapopatwa na changamoto fulani, wengi wetu huishia kulalamika tu, badala ya kuchukua hatua. Hali hii imefanya watesi wetu kuzidi kutuonea Kwa sababu hata wao wanajua Kuwa hatutochukua...
Tunajua kwamba elimu ni kitu ambayo tunaenda kuongeza maarifa na kufungua akili zetu.Pale ambapo akili za kawaida zinaishia ukiongezea na za elimu basi tunaweza kuvuka kona nyingine.Lakini elimu...
Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, Tanzania ina nafasi ya kipekee ya kuibuka kama kiongozi wa maendeleo endelevu barani Afrika. Ili kufikia azma hii, ni muhimu kuwekeza katika ubunifu na...
"Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora
UTANGULIZI
Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au...
Tanzania is a nation with the merger of Tanganyika and Zanzibar, where the merger took place in 1964, Tanzania has been making various efforts to achieve a middle-class economy, including...
Tanzania inakabiliwa na fursa na changamoto nyingi katika juhudi za kujenga taifa imara na lenye maendeleo endelevu. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, mkazo mkubwa unatakiwa kuwekwa...
Tanzania, yenye utajiri mkubwa wa vyanzo vya maji kama mito mikubwa na maziwa, bado inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wake. Licha ya rasilimali...
Tanzania kwa kiwango cha uchumi tulichopo kuna haja kubwa ya kufungua na kutoa uhuru kwa wananchi kujishughulisha na kazi yoyote ilmradi haigharimu taifa kiuchumi.
Kiu kubwa ni kuwepo kwa mianya...
Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.