Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

4 Votes
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeendelea kushuhudia mabadiliko makubwa katika mifumo ya utoaji taarifa, hasa kutokana na mabadiliko ya teknolojia na ushirikishwaji wa takukuru katika...
2 Reactions
1 Replies
175 Views
Upvote 4
4 Votes
Namna bora ya kufikisha Elimu ya Rushwa katika jamii Maboresho ya namna ya kufanya elimu ya Rushwa inawafikia wananchi kwa urahisi, Takukukuru inapashwa ifanye yafuatayo juu mwenendo wa...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Upvote 4
2 Votes
Tanzania ni moja kati ya nchi 55 za bara la Afrika, bara linalokabiliwa na changamoto nyingi zaidi duniani. Pia ni nchi inayopatikana katika ukanda wa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Saharra na...
1 Reactions
0 Replies
145 Views
Upvote 2
2 Votes
RUSHWA. Serikali inatakiwa uzingatia yafutayo katika utengenezaji wa miundombinu, kuepuka rushwa, hiki ni kikwazo kikubwa, katika, maendeleo ya taifa, bajeti elekezi inayotolewa kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Upvote 2
2 Votes
Viwanda vya Msingi ni viwanda vidogo vidogo vinavyofanya uchakataji wa malighafi mbalimbali ili kuleta bidhaa katika soko. Mwananchi anapowezeshwa kumudu kuanzisha kiwanda kidogo nyumbani...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Upvote 2
8 Votes
TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya...
0 Reactions
13 Replies
740 Views
Upvote 8
4 Votes
TURUDISHE TABASAMU KWA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI. Picha na: www.shutterstock.com Kuelekea Tanzania tuitakayo ni muhimu kuandaa Sera, Sheria na Mipango ambayo itawalinda na kuwarudishia...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Upvote 4
6 Votes
The united republic of Tanzania is the democratic country .It gives a room for its citizens to give out their ideas on how to arrive to a better Tanzania that is ideal to everyone living in...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Upvote 6
10 Votes
WANAWAKE WAWEZESHWE KUWA NA NGUVU YA KIUCHUMI, ILI KUONGEZA USHIRIKI WAO KWENYE SHUGHULI ZA SIASA Kwa Mujibu wa wikpedia inatafisri Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika ngazi mbalimbali za...
4 Reactions
31 Replies
722 Views
Upvote 10
3 Votes
TANZANIA TUITAKAYO MWANZO Vijana ni hazina kwa taifa lolote lile duniani, taifa lisilokuwa na vijana wengi hukosa nguvu kazi hasa katika shughuli za uzalishaji mali, vijana wana nguvu, maarifa...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Upvote 3
4 Votes
Leo tena nimerudi kuleta andiko langu kuhusu Cashless itakavyoongeza pato la Taifa. Kwa hali ilivyo nchini kwetu hakuna kitu kinachotuzuia kuachana na matumizi ya fedha Taslimu kwenye malipo...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Upvote 4
3 Votes
Napenda kutoa ponzi na shukrani kwa uongozi wa jamiiForums kisha natoa salam kwa watanzania wenznagu pamoja na viongozi wetu,hakika Mungu atuzidishie afya. Hakika kwa mtazamo wangu.Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
143 Views
Upvote 3
8 Votes
SULUHISHO LA MGAO WA UMEME, ITAKAYOPUNGUZA GHARAMA NA MGAO Tatizo la umeme Tanzania limekuwa na viswahili vingi kutoka kwa Mamlaka na ni changamoto kubwa inayokwamisha maendeleo ya kiuchumi na...
2 Reactions
4 Replies
286 Views
Upvote 8
3 Votes
Serikali yoyote inayoheshimu utawala wa kidemokrasia huongoza Kwa kugawa mamlaka Katika ngazi tofautitofauti. Lengo likiwa ni kumrshishia kiongozi mkuu wa nchi na serikali ambaye ndiye Rais na...
1 Reactions
0 Replies
227 Views
Upvote 3
9 Votes
Umeme ni nishati muhimu sana na tunu katika manufaa makubwa ya maisha yetu ya kila siku. Umeme unaumuhimu mkubwa sana katika nyanja zifuatazo; 1. Uendeshaji wa viwanda vikubwa na vidogo vidogo...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Upvote 9
8 Votes
TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA...
3 Reactions
9 Replies
528 Views
Upvote 8
1 Vote
Beneath the Waves: A 25-Year Voyage Towards Abundance in Tanzania's Waters The air hangs heavy with the scent of salt and fish as a weathered dhow glides across the turquoise canvas of the Indian...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Upvote 1
3 Votes
Tanzania tuitakayo ndani ya miaka mitano-25 ijayo MAENDELEO ya Taifa lolote lile duniani hutegemea sana mipango murua, nguvu kazi ya kutosha, uchumi usio wa mashaka na nyenzo madhubuti...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Upvote 3
4 Votes
Akili bandia ni uwezo wa kompyuta au mashine kufikiri na kufanya maamuzi kama binadamu. Teknolojia hii inajumuisha uwezo wa programu za kompyuta kujifunza na kuboresha utendaji wao kwa muda. Akili...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Upvote 4
8 Votes
Sio ujinga kweli kudhania kwamba, tuyakuza uchumi kwa kuzalisha tu, bila kujali tunauzaje kilichozalishwa? Kufikiri nusunusu ni ishara ya kutokomaa kiakili. Nini hupelekea maonesho ya...
2 Reactions
5 Replies
299 Views
Upvote 8
Back
Top Bottom