Maisha ni ya thamani kubwa sana. Hata hivyo maisha huambatana na changamoto moja kubwa. Watu hupata maisha(kuzaliwa) wakati wakiwa hawayahitaji na wala hawajui thamani yake, na huyapoteza wakati...
Asilimia kubwa ya wafungwa wanaomaliza vifungo vyao hasa wafungwa wa vifungo vya zaidi ya miaka miwili wamekuwa wakipata changamoto kuyaanza tena maisha ya uraiani kutokana na kukosa ajira na...
Tanzania ni moja ya nchi zenye fursa kubwa za maendeleo barani Afrika kutokana na rasilimali zake za asili, utajiri wa ardhi, na idadi kubwa ya watu wenye vipaji na uwezo. Hata hivyo, ili nchi hii...
Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba...
From Grub to Grain: Tanzania's Insect Farming Revolution and its Global Impact on Food Security
In a world grappling with the looming specter of food insecurity, an unlikely hero emerges from the...
Tunapofikiria mustakabali wa Tanzania, moja ya malengo yetu makubwa ni kuinua Kiswahili hadi hadhi ya lugha ya kimataifa. Mpango huu wa kina unaainisha mipango ya kimkakati itakayotekelezwa katika...
Lugha ya Kiswahili, pamoja na historia yake tajiri na umuhimu wake wa kitamaduni, ina uwezo wa kuwa lingua “franca” ya kimataifa. Kwa kuwa Tanzania inatazamia mustakabali wake, kukitangaza...
Serikali ni muhimili mkuu unao jitegemea katika katika nchi ambao upo kwa ajili kuongoza ,kutawala na kusaidia watu wake . Serikali inahusika katika kufanya kazi zifuatazo , Kukusanya mapato ...
From Waste to Wealth: Revolutionizing Mine Closure in Tanzania
As global mining activities intensify, the challenge of responsible mine closure has become increasingly urgent. Tanzania, with its...
Utangulizi
Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali...
In Tanzania, accessing quality healthcare is a fundamental right, yet it remains a significant challenge for many. The crux of this issue lies in the accessibility and availability of medical...
Mfumo wa Elimu Tanzania umejengwa Kwa namna ambayo inahitaji mwanafunzi kupitia ngazi mbalimbali Kwa muda mrefu kabla ya kuhitim na kuanza maisha ya kikazi.tukiangalia Kwa undani tunaweza kuelewa...
UTANGULIZI
Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali...
As they say "trust the path you choose it will protect you" small semi processing industries(SSPIs) as small and many industries that are specialized to convert intermidiate product in usefull...
Teknolojia ni matumizi sahihi ya maarifa na zana za kisayansi katika kurahisisha na kuboresha kazi.
Haya ni maboresho ya Teknologia Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, katika nchi ya Tanzania ili...
Utangulizi:
Tanzania inakabiliwa na fursa kubwa ya kuboresha biashara na uwekezaji, hususan katika sekta za madini na miundombinu. Makampuni makubwa ya kimataifa kama vile Rio Tinto, BHP, na Vale...
1. Kukuza thamani ya pesa ya Tanzania
2. Kubadisha mfumo wa elimu ya Tanzania
3. Kulipa madeni yote ambayo Tanzania inadaiwa
Kivipi haya yote yatawezekana serikali ya Tanzania inatakiwa kujenga...
Duniani kote nchi zilizoendelea zinategemea uwepo wa nishati bora katika kufanya shughuli zake, nchi maka Marekani, Urusi, china na nyinginezo zimeendelea kwa sababu ya ubora wa nishati...
Nchi yoyote ile ili iwe na uchumi imara inatakiwa kuwa na miundombinu ya uhakika kwa ajili ya usafirishaji, usambazaji wa bidhaa kutoka eneo moja kwenda jingine.
1: Katika Tanzania tuitakayo...
Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi...