Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

13 Votes
Ili tuweze Kufikia malengo tunahitaji kuwa na juhudi, tuweze kuvuka vikwazo na kukamilisha mipango sahihi. Viongozi wetu waonyeshe dira, pamoja tufanye kazi, tuweze kuzalisha ili tufikie...
1 Reactions
3 Replies
256 Views
Upvote 13
1 Vote
Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo tofauti nchini Tanzania ni kuboresha miundombinu ya barabara zetu ambazo ndio chachu ya maendeleo kwa kiasi kikubwa kwani itapelekea Watu kuwahi...
1 Reactions
1 Replies
96 Views
Upvote 1
1 Vote
Munakasha wa kipi kianze kati ya vitu hivyo viwili umekua ni endelevu na wa muda mrefu na mgumu. Aina zote mbili za uhuru ni misingi ya jamii za kidemokrasia na maendeleo binafsi na taifa kwa...
1 Reactions
0 Replies
163 Views
Upvote 1
2 Votes
Nimushukuru mwenyezi mungu Kwa kunipa afya njema nami niwakaribishe watanzania wenzangu katika #storyofchange na jamii forums. Kama ambavyo bendera yetu ikiwakilisha rangi zake nne blue(bahari na...
2 Reactions
1 Replies
116 Views
Upvote 2
6 Votes
Je! watanzania tunaowataka ni wa aina gani? Majibu mepesi ni kwamba tunahitaji Watanzania wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye maendeleo ya mtu mmoja mmoja kwajili ya afya ya taifa lenye...
1 Reactions
6 Replies
170 Views
Upvote 6
2 Votes
Kabla ya kuendelea na mada husika ningependa kwanza tuelewe maana ya ujuzi. UJUZI ni maarifa aliyonayo mtu katika kubuni, kufikiri, kuunda na kutenda jambo au kitu kitakachomsaidia yeye mwenyewe...
2 Reactions
1 Replies
169 Views
Upvote 2
2 Votes
NATAKA TANZANIA IWE YA MAFANO DUNIANI (USHAIRI) --------------------------------------------------- maono yalo moyoni, kichwani mwangu akili asilimia Imani, naona hiyo fahali Miji paka jijini...
2 Reactions
2 Replies
138 Views
Upvote 2
3 Votes
UTANGULIZI. Kwa miaka mingi sasa Jeshi la Polisi limekuwa likilalamikiwa na wananchi pamoja na taasisi mbalimbali zinazojihusisha na haki za binadamu na uhuru wa watu kwamba linajihusisha na...
1 Reactions
0 Replies
185 Views
Upvote 3
7 Votes
Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengi duniani, inajitahidi kuunda jamii yenye usawa zaidi. Usawa wa kijinsia umekuwa kipaumbele katika ajenda za kitaifa na kimataifa, na kwa hakika, tumepiga...
2 Reactions
7 Replies
431 Views
Upvote 7
1 Vote
Tanzania ni nchi yenye amani iliyosheheni watu wa rika zote. Kijana wa Tanzania Tuitakayo ni mfano wa kisiwa katikati ya bahari. Hivi ndivyo ninavyomfananisha kijana mmoja aliye katika jamii...
1 Reactions
1 Replies
541 Views
Upvote 1
7 Votes
1. Usawa: Usawa ni kipengele muhimu katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo ya kudumu. Tanzania inahitaji kuzingatia usawa katika nyanja mbalimbali Kijinsia: Lengo ni kuhakikisha kuwa...
2 Reactions
2 Replies
422 Views
Upvote 7
4 Votes
I envision our country as having immense potential to become the business hub of Africa. Blessed with natural harbors and bordered by eight countries, many of which are landlocked, we possess a...
2 Reactions
1 Replies
120 Views
Upvote 4
2 Votes
Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi...
1 Reactions
3 Replies
254 Views
Upvote 2
13 Votes
Kijana mwenye adabu kamwe awezi kukaa kwenye kiti iwapo kuna mzee kasimama, iwe kwenye daladala au sehemu nyingine, na hii ni kulingana na hii ni kulingana na utamaduni wetu wa kitanzania, lakini...
4 Reactions
9 Replies
344 Views
Upvote 13
3 Votes
Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado...
2 Reactions
2 Replies
284 Views
Upvote 3
7 Votes
Mabadiriko yanatakiwa kufanyika katika utendaji wa Takukuru na CAG ili kuzuia ubadhirifu na ufisadi katika miradi na fedha za uma zinazotolewa na serikali. Kama sheria ya 2007 inayoipa takukuru...
1 Reactions
7 Replies
248 Views
Upvote 7
3 Votes
Kumetokea sasaiv wimbi la vijana wasiotaka kuoa lakini wana vipato vizuri, wengi wao wanasingizia kuwa bado hawajajipanga, lakini hao hao ndio wanaongoza kufanya uasherati wamekuwa wanawapa...
3 Reactions
3 Replies
192 Views
Upvote 3
2 Votes
Wakazi wa Mwanza ukaushaji dagaa bado ni kitendawili kwao kutokana na mwalo wa kuanikia dagaa kujaa maji. Wakizungumza na NyakiTv wakazi wa Kijiwenu Chifunfu Sengerema Mwanza wameeleza changamoto...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Upvote 2
5 Votes
Kilimo ni ukombozi, japokuwa kwa nchi yetu kinaonekana ni kazi ya walala hoi, isiyo na thamani na inayowahusu watu masikini. Kwa kupitia uzoefu mdogo nilioupata kwenye kilimo, ninadiriki kusema...
1 Reactions
3 Replies
408 Views
Upvote 5
0 Votes
The Digital Maasai: Empowering Tanzania's Indigenous Communities Through Technology As the sun rises over the Serengeti, Kipas, a young Maasai herder, stands atop a rolling hill. In one hand, he...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Upvote 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…