Kufanya Mapinduzi Makubwa ya Viwanda Tanzania Katika Miaka 15 Ijayo: Mkakati wa Kutekeleza
Ili kufanikisha mapinduzi makubwa ya viwanda nchini Tanzania katika miaka 15 ijayo, juhudi za pamoja na...
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ni mpango wa bima ya afya ya umma nchini Tanzania. Mfuko huu ulianzishwa mwaka 2002 kwa Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Sura ya 395 ya Sheria za...
Introduction.
Tanzania, like many other developing countries, faces a unique set of health challenges. In order to address these issues, the comprehensive approaches that consider the social...
UTANGULIZI
Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya...
Khairooni ni binti mwenye umri wa miak 27. Nimeamua kuwa mmoja wapo wa washiriki wa SHINDANO LA JAMII FORUMS. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa afya na uhai pia kunijalia...
Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili...
UTANGULIZI.
Walimu wamekuwa chachu na msaada mkubwa sana katika taifa letu, kwani wao ndiyo daraja la mafanikio ya watu wengi, tunakubaliana kuwa, walimu wamekuwa kama wazazi/walezi wetu na kuna...
Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano
hii inaainisha mikakati ya kuboresha sekta mbalimbali za uchumi nchini Tanzania kwa miaka mitano ijayo, ikilenga kuimarisha uchimbaji madini, nishati mbadala...
TANZANIA TUITAKAYO: Mageuzi Endelevu ya Kiuchumi katika Miaka 5 Hadi 25
Utangulizi
Katika juhudi za kuleta mageuzi endelevu ya kiuchumi, Tanzania inahitaji kuwa na mikakati madhubuti na mipango...
UTANGULIZI
Ongezeko la mahitaji ya taulo za kike limekuwa kubwa kutokana na elimu ya umuhimu wa kutunza afya kwa wasichana na wanawake ambayo imekuwa ikitolewa nchini Tanzania kwa njia mbalimbali...
Utangulizi
Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia...
Afya ndiyo mtaji wa maisha ya binaadamu,bila kuwa na afya bora huwezi kufanya shughuli za uzalishaji mali na badala yake ni kupoteza kile ulichokuwa ukikifanya kama chanzo cha mapato, sababu hiyo...
Tanzania is a country with great potential for economic growth and development. However, in order to achieve significant progress in the next five to ten years, there are several key areas that...
Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata...
Tunapozungumzia ukuaji wa maendeleo hapa nchini,hatuwezi kusahau matumizi ya nishati mbadala ya gesi safi ya kupikia majumbani.
Inakadiriwa zaidi ya hekta 469,420 ya misitu huharibiwa kila mwaka...
UTANGULIZI.
Taifa lolote ili liendelee linahitaji watu ambao watapandikizwa elimu sahihi, Elimu sahihi inajengwa na mfumo bora wa elimu. Kulingana na ulimwengu tuliopo sasa ili kupiga hatua...
THE STORY OF CHANGE
Kutokana na ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania bara kutoka milioni 33.5 sensa ya mwaka 2002 hadi milioni 44.92 sensa ya mwaka 2012, na kufikia milioni 59.851 sensa ya...
Wizara ya ardhi ni miongoni mwa sekta nyeti sana ambayo mtu yeyote anayepewa nafasi ya kuiongoza wizara hii hapaswi kucheza nayo hata kidogo mathalani viongozi wa vijiji na watendaji wote katika...
Nashauri bajeti ya Wizara ya Ulinzi iongezwe kwa kiasi kikubwa sana, ili kuliwezesha jeshi letu kwenda na kasi ya maendeleo ya kijeshi duniani. Pia vigezo vya kujiunga na jeshi viangaliwe. Yaani...
Ni jioni tulivu kabisa, naamua kuperuzi mtandaoni kupitia simu yangu ya kiganjani. nakutana na tangazo kutoka jamii forums linalohusu stories for change, ambalo kama nitaamua kushiriki napaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.