TANZANIA TUITAKAYO
mwandishi :Nkwabi Laurent Elias
Utangulizi
Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuwa taifa lenye maendeleo endelevu katika nyanja zote muhimu kama elimu...
Ni mengi yapo katika jamii yetu( nchi yetu) ambayo ni nyenzo kubwa katika maendeleo ya nchi yetu na jamii kwa ujumla. Kuna vipengele mbali mbali kama uchumi, sayansi na teknolojia, siasa, afya na...
Hi my fellow Tanzanians, wengi wetu tuna ndoto ya kuweza kuiona na kuifikia Tanzania tuitakayo lakini hatujaweza kuifikia kwa sababu ya changamoto mbalimbali. Binafsi nmeangalia hili suala la...
Nipende kushauri nchi yangu juu ya suala zima linalohusu rasilimali, maliasili na utalii kama kipaumbele bora na kiini cha kuleta mabadiliko katika sehemu na sekta mbalimbali zilizomo, nchini...
Mdau wa JamiiForums habari kwa majina naitwa DAUD MBUGA MADAKAMA mwenye namba ya simu 0787747300
Kupitia story of change naomba kuzungumzia technologia
Awali ya yote ujio wa technologia umekuwa...
Maendeleo ni mchakato unaohitaji mifumo bora ya uongozi na usimamizi unaozingatia misingi ya haki na uwajibikaji katika nyanja zote za uchumi, jamii, siasa na utamaduni. Katika kufikia Tanzania...
AFYA YA AKILI KWA TANZANIA TUITAKAYO
Kama ilivyo muhimu Kwa nyanja nyingine za afya ndivyo Afya ya akili Kwa Kila mtanzania itainua ubora wa afya ya jamii Kwa watoto, vijana na wazee. Je,afya ya...
Tanzania ikiwa ni moja ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, ni nchi ambayo imebarikiwa maliasili mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini, mbuga za wanyama, Mistu, ardhi yenye rutuba ya kutosha...
Taifa letu linahifadhi kubwa na vivutio vingi sana vya utarii,, lakini hii imekuwa ikizingatiwa kwa maeneno yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo ya kuingiza kipato cha taifa,, na kufanyiwa...
Serikali itengeneze mpango maalumu wa namna ya kupanga miji na vijiji ili kupunguza gharama za kuhudumia miundombinu yake. Hii inamaana kwamba ili kifikia lenho lazima tuwe na mwendelezo sahihi wa...
"Tanzania Tuitakayo: A Prosperous and Sustainable Future"
It is the year 2039, and Tanzania stands as a beacon of progress and innovation in East Africa. The country has undergone a remarkable...
1. The Erosion of Public Trust: A Crisis of Accountability in Tanzania
The 2022/23 audit by the Controller and Auditor General of Tanzania paints a stark picture of widespread financial...
TANZANIA TUITAKAYO.
SEKTA YA ELIMU.
Katika sekta ya elimu serikali ya Tanzania ina fanya jitihada katika kuiboresha sekta hii muhimu ya kadri siku zinavyo zidi kwenda mfano; kwa kutoa elimu bure...
Japo sat on the veranda, sipping his morning chai and gazing at the majestic snow-capped peak of Kilimanjaro. He dreamt of a Tanzania different from the one he knew - a Tanzania Tuitakayo, a...
ELIMU.
1. KUONGEZA UWEKEZAJI: Serikali na wadau wa elimu wanaweza kuongeza bajeti ya elimu ili kuboresha miundombinu,vifaa vya kufundishia, na maslahi ya walimu.
2. MAFUNZO YA WALIMU: Kuwekeza...
Tanzania ikiwa ni moja ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, ni nchi ambayo imebarikiwa maliasili mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini, mbuga za wanyama, Mistu, ardhi yenye rutuba ya kutosha...
Utangulizi
Ushirikishwaji wa wananchi katika uandaaji na mapendekezo ya bajeti ni mchakato muhimu unaoweza kuboresha uwajibikaji wa serikali na taasisi za umma. Kwa kushirikisha wananchi, serikali...
TANZANIA TUITAKAYO IJIKITE ZAIDI KWENYE ELIMU YA VITENDO.
Tanzania kama ilivyo kuanzia ilikotoka hadi sasa iliandaliwa kwa misingi bora na imara ingawa kuna watu wachache wasio waadilifu...
Huduma za afya katika nchi yoyote hutolewa kwa kuzingatia madaraja mbalimbali ya vituo vya kutolea huduma. Hii Ina maana kuwa kuna baadhi ya magonjwa au maradhi ambayo huweza kutibiwa kwenye ngazi...
I. The Challenge & The Promise
In the sun-baked fields of Tanzania, cashew trees promise a golden harvest, a $575 million industry for the nation. Yet, for farmers like Mama Asha, who has...