Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa...
In a visionary move to address the pressing need for improvement in Tanzania's education system, extensive plans should be taken to unveil, revamp and elevate the quality of education from primary...
Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, utamaduni mzuri, na watu wenye bidii na vipaji vingi. Hata hivyo, ili kufikia uwezo wake kamili na kufanikiwa katika kuleta maendeleo...
Katika miaka 5 hadi 25 ijayo, tunapoiangalia Tanzania tuitakayo, sekta ya afya inapaswa kuwa mojawapo ya maeneo yenye kipaumbele cha juu. Tanzania yenye afya bora inawezekana kwa kupitia maono ya...
Tanzania Tuitakayo: Kuimarisha Sekta ya Afya kwa Maendeleo Endelevu
Tanzania ni moja ya nchi zinazoendelea barani Afrika ambayo inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Hata...
Utangulizi:
Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha sekta ya afya na kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi wake. Kupitia maono ya kibunifu na mikakati ya utekelezaji, tunaweza kufikia afya bora na...
Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania.
Baadhi ya mifumo ya...
Tarajali ni kipindi ambapo wafanyakazi hupokea mafunzo ya kazi chini ya uangalizi maalumu katika shirika ama kampuni fulani kwa kipindi cha muda fulani ili kupata uzoefu utakao muongezea thamani...
Watumishi wa Umma wamekuwa wakipitia changamoto za kifedha kwasababu ya kukosa kipato Cha ziada,Iwapo mifuko hii itaunganishwa changamoto hii inaweza kupungua.
Kwanza nianze na kueleza maana ya...
Baada ya kutumikia umma kwa miaka mingi na kufikia umri wa miaka Sitini, mfanyakazi alitoa mchango kwa taifa letu huitwa mstaafu. Anaacha kazi na kurudi kwenye jamii akiwa hoi kama sio hai ya...
Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo.
Hivyo serikali inatakiwa...
By considering our ouwn natural resources and dealing with the following we can build the well economized country.
Bay:
Coastal Tourism: Develop eco-friendly tourism along the bay. Promote...
Ujinga, maradhi na umasikini ni maadui ambao wamekuwa wakiitesa nchi ya Tanzania na kati yao ujinga ndiye adui kuu anayewapa nguvu wengine. Maana mojawapo ya ujinga ni ile inayosema kuwa ni...
MAGEUZI
#IDADI YA LAINI ZA SIMU
#MIUNDOMBINU YA KUWASILIANA.
Kwasababu kama barabara zetu za Tanzania ni moja baina ya wapingani wa wili, kwanini na njia za mitandao ya simu isiwe ni moja?
Mfano...
Kwa miaka kadhaa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana wasomi mtaani wasio na ajira, jambo hili limekua likiwavunja moyo wanafunzi waliopo mashulen kwa wakati husika na kupelekea wanafunzi wengine...
I. Amina's Story: A Call to Action
What if the key to unlocking Tanzania's future lies not in gleaming skyscrapers or bustling ports, but in classrooms without roofs and hospitals without...
Kwa furaha zaidi ningependa kumshukuru mungu kwa kunipa afya njema na kunipa pumzi kwa kila siku mpya. Nimeleta mawazo yangu kwenye jukwaa hili yaweze kuleta chachu na mwanga kwenye sekta...
Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania?
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata...
Uwazi na uwajibikaji thabiti katika uongozi; ikiwa taifa litatunga sera,sheria na miongozo ambayo itakwenda kuzilazimisha tawala/watawala kua wawazi katika utendaji na utekelezaji wa shughuli za...
Ili Mwanadamu yoyote aweze kufanikiwa na kupiga hatua katika nyanja mbalimbali lazima awe na afya iliyo imara na Njema, hivyo Afya ni suara Muhimu Kwa Taifa lolote lile.
Katika kuifikia Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.