I. Introduction: Awakening to the Untapped Potential
What if every mind in Tanzania was a wellspring of creativity and innovation, propelling our nation towards unmatched prosperity? The...
The blue economy refers to the sustainable use of ocean resources for economic growth, improved livelihoods, and jobs while preserving the health of ocean ecosystems. For Tanzania, a nation...
UCHECHEMUZI WA SERA KWA MAENDELEO ENDELEVU NA UTHABITI WA UTAWALA BORA
Tanzania tangu uhuru na muungano kuna maeneo mengi hatujayafikia ili kufikia Maendeleo endelevu kwenye viwango vya kiuchumi...
Katika Nchi tuna utaratibu wa kila chombo cha Moto kupata usajili kupata namba maalumu [maalufu kama Plata Namba]
Kwa magali tunaanza na T AAA na Sasa Tupo T EAA ,na Pikipiki zinaanza MC [Vyombo...
Tanzania ina fursa kubwa kwa sababu ya nguvu kazi yake ifurahiayo. Zaidi ya nusu ya idadi ya watu wanaishi chini ya miaka 35, na wengi wao wana umahiri wa sayansi, teknolojia, uhandisi na...
"Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu"
Utangulizi
Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili...
Tanzania, taifa lililojaliwa kuwa na maliasili nyingi, utajiri wa kitamaduni, na uwezo mkubwa sana, linajikuta katika wakati muhimu katika safari yake ya kuelekea maendeleo na ustawi. Dunia...
Utangulizi
Katika dunia ya leo, maendeleo ya teknolojia yamekuwa msingi mkuu wa ukuaji wa uchumi wa mataifa mbalimbali. Tanzania, ikiwa ni moja ya nchi zinazoendelea, ina nafasi kubwa ya...
I am 24 years old, and the incredible comeback of Air Tanzania, our national airline, has made my dream of becoming a pilot feel more real than ever. The airline, which was once burdened by...
Zaidi ya miaka sitini pamoja na juhudi mbalimbali zilizofanyika bado uchumi wetu niwakujikongoja huku bado tukipambana na maadui wale wale aliowataja mwalimu Nyerere, Umaskini, ujinga na maradhi...
Matumizi ya mifumo ya kielekroniki katika taasisi mbalimbali za serikali yamekua na matokeo mazuri hasa kwa upande wa kupunguza msongamanokupunguza rushwa na hata pia kwenye suala la ukusanyaji...
Huu ni kutokana na ukweli kwamba,hata hizo Nchi ambazo zimeendelea ni kwasababu tu ya usimamizi bora wa mapato ya ndani ya Nchi.
Tunayo mifano mingi ya kuweza tumia kama rejea.Kwa mfano Nchi ya...
TANZANIA TUITAKAYO
UTANGULIZI
Kwa kiasi kikubwa nchi nyingiulimwenguni huweza kuwa na ubalozi katika nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kuwakilisha na kulinda maslahi ya taifa husika katika...
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika maeneo ya mijini ina vijijini inachochewa na uharibifu wa vyanzo vya maji na hivyo kufanya kiwango cha maji kinacho patikana kiwe kichache ukilinganisha na...
Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa...
1. Kuwekeza katika elimu na mafunzo ya ufundi ili kuongeza ujuzi wa nguvu kazi.
2. Kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuboresha mazingira ya biashara.
3. Kuimarisha miundombinu ya...
Tanzania tuna watu mbalimbali waliojaliwa vipaji vya akili na ubunifu wa hali ya juu. Serikali haijaweka mpango wa kuwatafuta watu hawa na kuwatengenezea mazingira ya kuwaweka pamoja ili...
Nchi yetu Tanzania na bara lote la Afrika linapaswa kuanza na mambo yafuatayo ili kuleta mapinduzi ya viwanda. Kwanza, ni muhimu kuunda sera zitakazo ongeza uwezo wa watu wabunifu kujiamini katika...
TANZANIA TUNAYOITAKA NA AFRIKA TUNAYOITAMANI NI ILE AMBAYO MFUMO WAKE WA MALEZI,UONGOZI NA ELIMU UNAWAJENGEA WANUFAIKA WAKE UWEZO WA KUJITEGEMEA BAADA YA MASOMO
Jukumu la kutengeneza kizazi...
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na fursa kubwa za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia uwezo wake kamili, ni muhimu kuwa na miundombinu bora na endelevu. Katika kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.