Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

2 Votes
Na sanidi andiko hili kwa masilahi sufufu ya ardhi hii ambayo ndio chimbuko la Chifu Mkwawa, asili ya Chifu Mirambo, alipozaliwa Chifu Kimweri na Mtemi Isike na ndio taifa liongozwalo na Chifu...
0 Reactions
4 Replies
235 Views
Upvote 2
1 Vote
Hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi ambayo ipo kwenye damu yako, uipendayo kwa muda mrefu. Kwa nchi za wenzetu zilizoendelea ni kwamba mtoto huwa mtu huwa anaandaliwa kuwa mfanyakazi fulani tangu...
1 Reactions
0 Replies
549 Views
Upvote 1
1 Vote
Shule za ufundi au technical schools ziongezwe ili kuweza kuwajengea wanafunzi ujuzi na uwezo katoka nyanja mbalimbali ikiwemo baadhi ya ujuzi wa veta kuingizwa katika mitaala ya elimu ya...
1 Reactions
0 Replies
320 Views
Upvote 1
0 Votes
Kupitia ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano na Habari, Tanzania imeweza kuunda mifumo ya usimamizi wa Taarifa za wagonjwa. Mifumo hii iliyoundwa bado kwa sasa imekuwa ina changamoto kubwa ambayo...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Upvote 0
21 Votes
Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa...
12 Reactions
12 Replies
894 Views
Upvote 21
1 Vote
Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Upvote 1
1 Vote
Tunapotarajia mustakabali wa Tanzania, ni muhimu kutengeneza dira ya kina na ya mbele inayoshughulikia sekta mbalimbali kama vile elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira na miundombinu. Lengo...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Upvote 1
1 Vote
Ili kuweza kudhibitiana na mabadiliko ya tabia ya nchi nivema serikali ikaanzisha kitengo kipya kitakachoanzia ngazi ya mtaa/Kijiji hadi taifa watakaokuwa wanashughulikia suala la upandaji wa miti...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Upvote 1
1 Vote
Tunaposimama kwenye njia panda za maendeleo na utunzaji wa mazingira, wakati umefika kwa Tanzania kuweka njia dhabiti na yenye dira kuelekea mustakabali endelevu na wenye mafanikio. Changamoto...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Upvote 1
1 Vote
Tanzania nchi nzuri yenye udongo wenye rutuba ajabu kubwa sana ni kwamba imekaliwa na mapoli ambayo hayana future yoyote maono yangu MAONO YA MIAKA 5 Kwanza elimu yetu ya veta na kilimo iwe ndo...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Upvote 1
2 Votes
Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali. Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi...
1 Reactions
0 Replies
152 Views
Upvote 2
2 Votes
SCOPE YA TATIZO: Tangu kuanza kwa karne ya 21 Taifa limekuwa katika mageuzi makubwa ya kuasili mifumo mbalimbali ya Tehama, lengo likiwa kuendana na ulimwengu. Mageuzi haya ya utandawazi...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Upvote 2
2 Votes
Tanzania Tuitakayo: Ajira na Tenda kwa Miaka 25 Ijayo Utangulizi Katika kijiji kidogo cha Mkwajuni, kulikuwa na kijana mwenye ndoto kubwa, Juma. Alikuwa na elimu ya chuo kikuu lakini alipambana...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Upvote 2
1 Vote
Utangulizi: Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Upvote 1
2 Votes
Moja - Itengwe bajeti ya kutosha katika sekta hii; zitolewe fedha ambazo zitakidhi mahitaji ya sekta ya (UCHUKUZI), hata kama sio kwa asiilimia mia moja. Hii itasaidia miradi mfano...
1 Reactions
0 Replies
157 Views
Upvote 2
2 Votes
Ili kuendana na teknolojia ya dunia na kukimbia kwa kasi tunapaswa kuwa na teknolojia ambayo itaketa vitu vingi Kwa pamoja na kurahisisha huduma katika sehemu moja Moja ya huduma hizi ni pamoja...
1 Reactions
0 Replies
289 Views
Upvote 2
4 Votes
TANZANIA TUITAKAYO. Tukumbuke jina Tanzania halikuwepo kabla ya 26/4/1964, lakini ardhi na mipaka yake ilikuwepo. Hivyo pamoja na uumbaji wa Mungu, lakini utashi wa mwanadamu uliweza kuamua...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Upvote 4
6 Votes
UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza...
0 Reactions
4 Replies
287 Views
Upvote 6
1 Vote
1.Tausi -Portal Tausi -core 2. RITA 3. EGA 4. BIMA 5. KULAZA WAGONJWA HOSPITALI -Private - Goverment 6. UHAMIHAJI -Passport Visa 7. NIDA 8. MIFUMO YA KUHAMISHA WATUMISHI 9. MIFUMO YA MAHAKAMA 10...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Upvote 1
2 Votes
Sekta ya ajira nchini Tanzania inalazimika kukabiliana na changamoto kadhaa, ikiwemo upungufu wa wafanyakazi wenye stadi na ujuzi unaotakiwa katika soko la ajira. Hili limekuwa ndio changamoto...
1 Reactions
0 Replies
307 Views
Upvote 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…