Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha kumekuwa na mahususiono mengi ambayo yamejawa na kutokuaminiana ndani yake, maana yake nini? Tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu suala la kutokuamiana hasa kwa...
Kila mtu anayezaliwa katika dunia yetu amekuja na akili ambayo ndani yake hakuna mawazo ya aina yoyote kuhusiana na maisha. Uelewa wetu tulionao kuhusiana na maisha ni matokeo ya mawazo ambayo...
Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshuhudia wimbi kubwa sana la wageni wa kiarabu, kutokea nchini Misri wakizungusha Vyombo/bidhaa zao, kwenye Ofisi,shule,hospital na hata majumbani, wakiuza na...
Utapia mloa ni changamoto kubwa sana Tanzania, na utapia mloa ni ukosefu wa virutubiaho muhimu mwilini hasa sana Protein. Utapia Mlo ni ugonjwa wa Aibu kubwa sana hivyo ni lazima tuchukue hatua...
Kwa asilimia kubwa Sana taifa limekua liki tafuta na kuwepo katika jukwa la kimataifa kuzungumzia utajiri hasiria ambao Umekua kua ukichangia Sana katika pato la taifa pamoja na watu binafsi...
UTANGULIZI
Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati.
MATARAJIO YANGU
- Wananchi na viongozi wajitolee...
Africa Ni bara tajiri MUNGU amelipa Mali nyingi but still bado Ni maskini. Tuliosoma darasani sababu za bara hili kua maskini kwa mtazamo wangu sio kweli .Tujiulize yafuatayo.
Nikweli Africa...
Katika elimu ya chuo kikuu.
1: Kwenye mfumo wa elimu ya chuo kikuu kwa sasa mwanafunzi anapoanza chuo huwa anasoma masomo mengi tofauti tofauti ambayo mengine ni nje ya kile ambacho amelenga...
INTRODUCTION.
NB: picture courtesy of the internet. (Christian and Muslim religious leaders greeting each other is a great solidar
ity)
👉In envisioning the Tanzania we want, fostering a...
(ombeni hamadi silaa)
UTANGULIZI,
MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA
Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado...
TANZANIA TUITAKAYO
Tanzania ni nchi inayopatikana barani afrika katika ukanda wa afrika mashariki, ni nchi iliyojariwa vyanzo mbalimbali vya kuvutia kama madini , mbuga za wanyama mbalimbali...
Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi...
Utangulizi
Salamu kwenu wana jukwaa. Andiko langu kwa Tanzania niitakayo litajikita katika Nyanja ya Elimu ya awali, msingi mpaka sekondari (Kidato cha Nne)
Mfumo wa Elimu yetu bado haujaweza...
Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi...
Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni umeonekana kulegalega mno. Hali inayosababisha kupoteza imani kwa mashirika ya ndani na nje katika kiwatumia wataalamu wetu. Ni ukweli...
UTANGULIZI
Katika sekta ya afya kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa vipimo vya awali katika zahanati za serikali , hii hali inapelekea vifo au hali hatarishi zaidi kwa zile jamii ambavyo vipo...
Kuboresha Sekta ya Afya kwa Matumizi ya Teknolojia ya Telemedicine na AI(Akili bandia) kwa Miaka 25:
Maono na Utekelezaji
Utangulizi
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya...
Kwanza nipende kushukuru kwa kupata kufahamu juu ya fursa hii, watanzania wote wanaweza kutoa mawazo yao tofauti tofauti,
Pia nichukue nafasi hii kuipongeza serikali toka awamu ya tano na ya sita...
Dunia ya sasa ipo katika MAPINDUZI makubwa sana ya Teknolojia na hii imepelekea karibia KILA kitu SASA kinafanywa KWA Teknolojia kubwa bila kujarisha ni sekta gani.
Nina tarajia na kuzishauri...