Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia...
Kindly assist..Nafikiria kufungua duka la kuuza vyakula tu hili duka la Mangi..Msaada kujua mtaji kias gan napashwa kuanza nao..Na Vipi vya kuzingatia kusimamisha biashara?
Vijana wawezeshwe kujitegemea katika kukuza uchumi wa nchi kwa kutumia changamoto kama fursa.
Mungu ametujalia ardhi yenye rasilimali nyingi ambazo asilimia kubwa hatuzitumii katika kuziongeza...
Utangulizi
Nchini Tanzania, tumekuwa na nyumba nyingi sana za kupokea wageni; nyumba za kitalii, nyumba za kawaida na hata nyumba za asili kwa ajili ya kuwapa huduma mbalimbali wageni wetu mara tu...
Kutokana na wimbi la uhalifu kuongezeka mitaani huku chanzo kikiwa ni ukosefu wa ajira pamoja na elimu stahiki nashauri serikali ianzishe veta kwenye magereza.
Wakianzisha veta pale magereza...
TEHAMA NA TANZANIA YA KESHO:
Teknolojia ni elimu ya utengenezaji, utumiaji wa vifaa vya maarifa, mashine, mifumo au njia zitumikazo kutatua tatizo kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa jambo Fulani...
Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu...
Utangulizi
Kila mwananchi wa taifa fulani, hupenda kuona taifa lake likiwa kinara kwenye uchumi. Hii ni kwasababu, mafanikio ya taifa lolote duniani huanzia kwenye uimara wa uchumi kwanza, kwani...
Kutumia nambari za utambulisho zilizopo za raia wa Tanzania au vitambulisho vya uraia kupiga kura kwenye mtandao kunaweza kuwa chaguo zuri la kurahisisha mchakato wa upigaji kura na kupunguza...
UTANGULIZI
Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha...
Naandika kutokea Ghetto hii ni story ya Ghettominds. Anaesoma hii namuomba samahani kwa kumkumbusha machungu aliyopitia, katika ngazi ya elimu ya juu yani chuo. Hii ngazi wengi humu tumepitia na...
Tanzania Ni Nchi ambayo imebahatika kuwa na Kila kitu hivyo
1: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi
Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inatumia demokrasia katika kuongoza, hivyo viongozi wanaichaguliwa ni...
Utangulizi
Migogoro ya ardhi imekuwa ni changamoto ya muda mrefu sana nchini Tanzania ikihusisha umiliki wa ardhi, mipaka na haki ya matumizi ya ardhi. Migogoro hii mara nyingi hutokea kutokana na...
TUNAWEZAJE KUTOKOMEZA VIONGOZI MACHAWA SERIKALINI
Tangu nchi yetu ya Tanganyika ipate uhuru mwaka 1961 tumekuwa na katiba tofauti tofauti zinazoongoza taifa hili, ambapo katiba hizi zimekuwa...
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili...
Mto ni mwendo wa asili wa maji ambao hufuata njia yake kutoka sehemu za juu za ardhi (kama vile milima au vilima) kuelekea sehemu za chini, kama vile maziwa au bahari. Maji hufuata mtelemko kutoka...
In today's rapidly evolving world, the empowerment of youth is more crucial than ever. The youth represent the future of society, and their voices, ideas, and actions have the power to bring about...
TANZANIA TUITAKAYO
Tanzania tuitakayo ni ile ambayo itabana mianya ya rushwa, Rushwa ni tishio kubwa kwa uwajibikaji na utawala bora. Serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti kupambana na rushwa...
AFYA: Tanzania kama nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa kwenye afya katika miaka mitano ijay, sasa kama nchi...
Mambo yakutekerezwa katika miaka ijayo ndani ya sekta ya viwanda.
1. Kuboresha miundombinu (barabara, umeme, usafiri na maji) pamoja nakufufua viwanda vyote vilivyokufa katika maeneo mbalimbali...