Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

0 Votes
Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni...
0 Reactions
2 Replies
269 Views
Upvote 0
2 Votes
-Ni wazi kwamba dunia nzima matumizi ya simujanja(smart phones) na kompyuta yametawala kwa kiasi kikubwa. -Ni vyema kwa serikali kuanzisha mfumo utakaojulikana kama NATIONAL DIGITAL MARKETING...
1 Reactions
1 Replies
285 Views
Upvote 2
6 Votes
Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inaangalia mbele kwa matumaini katika kuleta mabadiliko makubwa katika sekta muhimu za uchumi wake: madini, utalii, na viwanda. Kwa...
2 Reactions
5 Replies
827 Views
Upvote 6
5 Votes
NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia...
1 Reactions
3 Replies
299 Views
Upvote 5
2 Votes
TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia...
0 Reactions
6 Replies
458 Views
Upvote 2
1 Vote
TUJIANDAE NA KUISHA MATUMIZI KWA BAADHI YA MALI ASILI Mwisho wa matumizi ya baadhi ya Mali asili uko karibu sana, kama nchi tujiandae na tuchukue hatua sasa. Mali asili ni moja ya utajiri wa...
0 Reactions
4 Replies
433 Views
Upvote 1
0 Votes
ELIMU: Tunajua kuwa elimu ni kitendo kinachohusishaa masuala mazima ya mabadilishano au urithishwaji wa maarifa, mawazo na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwinginee ay jamii moja kwenda...
0 Reactions
2 Replies
198 Views
Upvote 0
1 Vote
Utangulizi Tanzania kama zilivyo nchi za Jumuiya ya Madola zina mfumo wa uwakilishi wa wananchi unaofanana kwa asilimia kubwa. Hata kanuni, miongozo na sheria zinazotumika kwenye mabunge ya nchi...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
Upvote 1
2 Votes
Ninaandika story hii nikiwa ghetto, hivyo hii ni story ya Ghettominds. Hivi karibu kumekuwa na ongezeko la lawama kwa serikali na vijana wa nchi hii. Imekuwa ni kama mpira wa mchezo wa tennis...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
Upvote 2
1 Vote
Utangulizi Tanzania kama nchi nyingine yingi zinazo endelea inakabiliwa na ukopaji wa fedha kutoka Kwa wafadhili mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kufadhili bajeti ya Taifa. Utatuzi wa changamoto...
1 Reactions
2 Replies
255 Views
Upvote 1
3 Votes
MATUMIZI YA VIUMBE HAI WADOGO (BAKTERIA NA FANGASI)” KATIKA KUOZESHA TAKA ILI KUONDOA TATIZO LA UCHAFU KATIKA MAZINGIRA YETU NA KULINDA AFYA ZETU NA VIUMBE HAI WENGINE Utangulizi: Tanzania kama...
1 Reactions
3 Replies
534 Views
Upvote 3
1 Vote
Tanzania tuitatayo katika suala zima la nishati yafuatayo yakizingatiwa nadhani tutakuwa tumejenga na siyo kubomoa. 1. Kuhakikisha umeme unafika maeneo yote ambayo bado yako gizani na sio kusema...
0 Reactions
2 Replies
192 Views
Upvote 1
2 Votes
TANZANIA TUITAKAYO. Being a citizen of the country like Tanzania is a blessing and it is a something that I am always proud of, for the fact that it is a beautiful place that everybody wishes to...
0 Reactions
2 Replies
278 Views
Upvote 2
2 Votes
Introduction: Education is fundamental for the growth and development of any nation. In Tanzania, despite significant progress in increasing access to education, challenges persist in ensuring...
1 Reactions
3 Replies
512 Views
Upvote 2
2 Votes
Katika ulimwengu unaobadilika haraka leo, kuwawezesha vijana ni muhimu kuliko wakati wowote. Vijana wanawakilisha mustakabali wa jamii, na sauti zao, mawazo, na hatua zao zina uwezo wa kuleta...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Upvote 2
3 Votes
Utangulizi: Matumizi ya dawa za asili yamekuwa ni sehemu muhimu ya utamaduni na afya katika jamii nyingi nchini Tanzania. Hata hivyo, ongezeko la matumizi ya dawa hizi limeibua hoja ya kuwepo kwa...
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Upvote 3
2 Votes
Gesi ni moja ya rasilimali zinazopatikana hapa katika nchi ya Tanzania japokuwa gesi ni rafiki wa mazingira, lakini watu wamekuwa na mwamko mdogo wa kuitumia kwa sababu hizi zifuatazo:-...
1 Reactions
1 Replies
214 Views
Upvote 2
2 Votes
“It was the morning” Once upon a time in the vibrant and diverse landscape of Tanzania, there existed a young woman named Amina. Amina hailed from Katunguru a remote village found in Kibondo...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Upvote 2
15 Votes
Utangulizi Katika mfumo wa elimu wa tanzania mwanafunzi anaanza kitado cha kwanza hadi cha nne, ukifaulu vizuri unaendelea kidato cha tano na sita mpaka chuo, lakini kumekuwa na uanzishwaji wa...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Upvote 15
2 Votes
KWANINI HATUNUFAIKI SANA NA UBUNIFU WA WATANZANIA Ubunifu Ni uwezo alionao mtu au kikundi cha watu,kuvumbua/kugundua kuanzisha kitu Fulani kipya au cha tofauti chenye kuleta tija kwa jamii...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom